Wanawake Above 30 hata 40 Marriage is a Hypocrytical Institution, Kama Fungu la kukosa utakosa tu!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!

Nimesoma mada ya mgiriki ambayo iko highly biased, insestive and discriminatory against our sisters at 30 and above and all the women race. Imenisikitisha sanaaa kuona baadhi ya wanawake wanaunga mkono mada kama ile simply because they are married or below 30! Hahahaaaaaa! (Make sure to detect a lot of sarcasam, syncism and hypocracy in that laugh) Who are we kidding?

AND YES! MARRIAGE IS A HYPOCRITICA INSTITUTION,! ( kama nawaona hapo mmebaki mdomo wazi mnajitahidi kusema SHE JUST DIDNT SAY THAT! AND YES I SAID IT OUT LOUD IN CAPITAL LETTERS AND IT IS TRUE! Times have changed, its now a free country forgive my lack of manners, sense of humor and communication skills for calling a spade a spade but it is what it is a HYPOCRITICAL INSTITUTION! For once lets take out the skeletons in the closset, and not sweep the dirty under the carpet.

Atleast kila mtu ana ndoa walau sample ya 20 tu toka awe na akili anazijua inside out. HOW ARE THINGS AND THE HYPOCRACY LEVELS? Hahahaaaaaaa! Astonishing! Afu watu kwa kujifariji NDOA YAKO SIO LAZIMA IWE NA VIMBWANGA KAMA ZA WENZAKO! Hahahaaaa! WHAT MAKES YOU SO SPECIAL? Ndo hii hypocracy nayosemea. Sababu wenzako are the fools of the highest order n you are the smartest! Hulalalaaaaa! NO BODY IS SPECIAL MAYBE MWANA WA ADAMU PEKE YAKE NDO MAANA HAKUOA WALA KUZAA SABABU HAKUKUWA NA SPECIAL MWENZIE. As long as wote binadamu no body is special. Wenzio wakinyolewa zako tia maji uzilainishe kabisaa SHIT HAPPENS BECAUSE IT JUST DOES!

Tena kitika hio hypocritical institution MMU ndo wanaongoza na highest level of HYPOCRACY! IS IT JUST ME AU NDOA ZA WATU WOTE HUMU MMU NI ONE OF A KIND, WAKO PARADISE 24 HRS, 7 DAYS A WEEK, 366 DAYS A YEAR AND 10 YEARS A DECADE.? Haswaa MASTAA WA MMU (Leo kila mtu atakataa sio star humu,! Hahahaaa) Maana mwaka wa 3 sijaona mkiomba ushauri au kutoa testimony even once japo kwenye comment kuwa leo kuna trouble in the paradise! Au Mtu akitaka kuomba ushauri wa midhoruba ana sajili ID mpya? Mara moja nilimuona snowhite alitumia genuine id kuomb ushauri wa anormal thoruba inayokumba 78% ya ndoa zote. I repected you for that. Kwa hio in 3yrs ndoa moja tu ya snowhite ndo ilikubwa dhoruba? YOU PEOPLE IN THE SHAMEOLOGY YOU GOT NONE LEFT! Ndo maana mimi sitakagi mtu anishauri kitu.

Anyway sio nyie tu hata mtaani, PEOPLE COVER UP AND DRESS FACTS MPAKA VIFO NUSRA, NUSRA ALMANUSRA KUWAUMBUA. Mtu anapewa kichapo analazwa, nilianguka na boda boda. Mtu mumewe anagwadua nje balaa na anajua badala azibe ufa, ndo ndoa ya kikiristo mume ana watoto 3 nje, 2 ndani na utawalea vizuri. (Jambo kama hili zamani lilikuwa UNACCEPTABLE, ila hypocracy ilivozidi aaah watoto unawale mama zao wanakuja kuwaona na wanapasha kiporo na baba kama kawaida na unajua wanaongeza kakid kadogo n ya kids see n they will be like dady when they grow up. NO BODY IS BOLD ENOUGH TO SAY DAD YOU ARE WRONG ITS NOT ACCEPTABLE HATUKUSAMEHI FACE THE CONSEQUENCES! Noo! Dady aliteleza tu, tusamehe tusahau, 2nd kid, keep forgiving.) Irresponsibility mtu anakuwa BEYOND SELFISH anakunywa bia tuu na kukaza vimada mkewe anahaha kutafuta ada, maisha magumu n the wife covers up. Si watazamaji hayatuhusu banaaa ila watoto ndo wanatutia imani. Mke wa bosi anakukopa??? Mmmmmh! Wanaume wengine hawalali ndani wamehama n the wife covers for him, kasafiri, atashinda kwenye maombi wee, its just the world we live in. Wengine wanaleta ungonjwa humo humo ndani anau mke na vi last born. Divorce rate watu wanavoachana sasa? ETC ETC! THIS IS THE STAFF THE SOCIETY SHOULD PUT ON THE TABLE! KWENYE MAANDALIZI YA HARUSI KUGUSIA HAYA MAMBO NI ABOMINATION! Kutokomeza tatizo hatua ya kwanza ni KUKUBALI TIMES HAVE CHANGED SO DID THE PEOPLE AND THERE IS A PROBLEM kuliko hii fumbia macho tatizo na omba mungu nusra nusra almanusra akunusuru na kizazi chako.

I aint sayin there are NO HAPPY MARRIAGES AT ALL! Hapanaaa! THERE MIGHT BE LOT OF HAPPINESS IN MARRIAGE LAKINI MARRIAGE IS A JOURNEY! Unaweza ukawa unache leo, kesho ukatia huruma nad vice versa! YA MUNGU MENGI kuna uncertainities kama Death of one partner, ajali hizi ulemavu, uchawi mume analogwa hataki hata kukusikia, change of mind, umzeeka hakutaki tena, mambo kibaoooo yaliyo nje ya uwezo wako. MARRIAGE IS JOURNEY WITH BOTH HAPPY TIMES AND BITTER TIMES INATAKIWA UJIANDAE VIZURI UKIKURUPUKA WEEE! Yakiibuka majaribu uwe tayari.

Ndo maana i call for girls WAJIANDAE KIUCHUMI, SAIKOLOJIA, ET AL kwa hio JOURNEY OF MARRIAGE. Ndo maana mnaambiwa msomeee, mjasirie mali, muwe na malengo coz kuna leo na kesho. Sawa mume ana hela husumbuki for now, kesho upepo ukitwist utakula jeuri yako. Au astakafiru sikuombei mume kakwamaa mtafanya vipi maana pia yule binadamu! Au akishindwa kufikia expectations zako? MSITUMIE UMRI KAMA FACTOR! Riziki anagawa Mungu tu KAMA IPO IPO TU WHEATHER YOU ARE 30 OR 40 MUAMINI MUNGU WAKO!

Namalizia kwa kukumbushia ishu iliyomkuta mama yangu nishaisemaga humu siku moja. Mimi mama yangu akiwa na watoto 2 wachanga, mdingi wangu alipata bahati kwenda nje miaka ya early 1990's sasa coz ilivoisha kiroho safi wenzie wakarudi kazini yeye akatuma barua mi naenda nchi ingine tena kutafuta maisha. Mtu umeacha nyumbani watoto wadogo na ndugu zako kibao!!! Mke akaona ni jambo zuri mtu kujilipua kujitesa nchi za watu, as a wife alikuwa proud hubby kaenda extra mile kuboresha maisha. Huku kazini mshahara ukasimamishwa. Mmmh! Kule mawasiliano kasimamisha! Hatujui kafa au vipi! Na enzi zile za DARK 90s barua tu ndo mawasiliano na ile adress ya mwanzo kahama. Mmmmh! Mwaka ukaisha kimyaaa! Ikabidi ukoo umruhusu we ukiamua olewa tu tena, mahari tumesamehe, mwaka ni mda wa kutosha sema kama ndugu arobaini hatufanyi sababu tunajifariji ndugu yetu atarudi. Umeona majaribu hayooo?
Ikabidi sasa akawa anazunguka jiji zima kutafuta watu wanaoenda hio nchi anawapa hela wakamtafute mtaa alioelekeza wa mwisho kuwa atakuwa anakaa! Na wanamkuta wanatuma barua na picha wanamwambia yupo ni mzima kasema ataru june! Holaaa! Anatuma mtu mwengine huku familia analisha, huku ndugu zake nao zigo lingine, khaaaaa! Ndugu zake wakawa wanamwambia huyo keshaoa! Hakati tamaa. Katuma watu kibao ilipita miaka 4 sijui 5. Mamkubwa akaamua kumfata huko huko akamwambia we hata ukae miaka 100 huku mwenzio hatokata tamaa anakungoja kule. Sana sana atakufata tu huku iko siku. Kumbe bwana maisha hayakumkubali ndo maana akawa anona noma kurudi. Akamwambia we rudi tu nyumbani hata kule kuna maisha. Unamtesa mwenzio kulea watoto na ndugu zako peke yake wakati wewe unafukuza ndoto huku. Nauli hii hapa, fanya urudi haraka. Mwezi ule ule alirudi na kibegi tu miaka yote aliokaa hulo! Hahahaaaa! (Hio kibegi nimtia chimvu tu, alirudi na vitu vingi sema sio kiasi alichokuwa anataka) Sasa bi mkubwa angekuwa hajiwezi kiuchumi si angeumbukaaaa? NDOA MTIHANI ULE KUPASI UWE NA NYENZO NA UMEJIANDAA VYA KUTOSHA NA MBINGU ZIWE UPANDE WAKO!
 
Last edited by a moderator:
Sometime nakubaliana na wewe kwamba si kila dada wa above 30 years kwamba basi amekosa wa kumuoa, big no wapo wa 30 years hawajapata right person na ipo siku watampata mtu sahihi.Marriage is not that easy thing ambayo mtu anawezaamka akasema naolewa,lazima uwe umetuliza kichwa maana ndoa ni zaidi ya boyfriend na girlfriend.Nakubaliana na wewe kabisa kuwa siyo kila mdada wa above 30 basi eti haoleki ama eti amekwama
 
Mtu anapewa kichapo analazwa, nilianguka na boda boda.Hahahahahaha boda boda kumbe zafichaga maasi ya watuee!!
Na sie binadamu kwa UNAFIKI aaah! Tunaona hizi ngumi tu maana damu imewifia kabisaa! Ila tunaunga mkono hoja sababu unafiki ni jadi yetu! AAAAAH! POLEEEEE SANAAN YAANI SERIKALI IZIPIGE MARUFUKU TU HIZI BODABODA ZITATUMALIZAAAAA!
 
ngoja nianze kuwachunguza mastaa uliowasema wenye miaka zaidi ya mitatu humu afu wengi huwa wanajikaza kisabuni hata mambo yaende kombo hawaji kuomba ushauri humu kwamba wamekwama wapi wanaona aibuu
 
Hahahahah tena wasikia wasema hawa boda boda wabaya sana alitaka kukupindisha shavuu maana limevia damu teh teh pole sana.
Ukimpa kisogo aanza mxuuuuu wamdanganya nani mtu damu imevia vile ngumi kabisa iyo kapigwa teh teh, wapewa pole yakinafiki na wewe kwakuzani umewakamata kua kweli umeangunga na boda boda waitikia bila aibu AHSANTE Looooh!!
Na sie binadamu kwa UNAFIKI aaah! Tunaona hizi ngumi tu maana damu imewifia kabisaa! Ila tunaunga mkono hoja sababu unafiki ni jadi yetu! AAAAAH! POLEEEEE SANAAN YAANI SERIKALI IZIPIGE MARUFUKU TU HIZI BODABODA ZITATUMALIZAAAAA!
 
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!

Nimesoma mada ya mgiriki ambayo iko highly biased, insestive and discriminatory against our sisters at 30 and above and all the women race. Imenisikitisha sanaaa kuona baadhi ya wanawake wanaunga mkono mada kama ile simply because they are married or below 30! Hahahaaaaaa! (Make sure to detect a lot of sarcasam, syncism and hypocracy in that laugh) Who are we kidding?

AND YES! MARRIAGE IS A HYPOCRITICA INSTITUTION,! ( kama nawaona hapo mmebaki mdomo wazi mnajitahidi kusema SHE JUST DIDNT SAY THAT! AND YES I SAID IT OUT LOUD IN CAPITAL LETTERS AND IT IS TRUE! Times have changed, its now a free country forgive my lack of manners, sense of humor and communication skills for calling a spade a spade but it is what it is a HYPOCRITICAL INSTITUTION! For once lets take out the skeletons in the closset, and not sweep the dirty under the carpet.

Atleast kila mtu ana ndoa walau sample ya 20 tu toka awe na akili anazijua inside out. HOW ARE THINGS AND THE HYPOCRACY LEVELS? Hahahaaaaaaa! Astonishing! Afu watu kwa kujifariji NDOA YAKO SIO LAZIMA IWE NA VIMBWANGA KAMA ZA WENZAKO! Hahahaaaa! WHAT MAKES YOU SO SPECIAL? Ndo hii hypocracy nayosemea. Sababu wenzako are the fools of the highest order n you are the smartest! Hulalalaaaaa! NO BODY IS SPECIAL MAYBE MWANA WA ADAMU PEKE YAKE NDO MAANA HAKUOA WALA KUZAA SABABU HAKUKUWA NA SPECIAL MWENZIE. As long as wote binadamu no body is special. Wenzio wakinyolewa zako tia maji uzilainishe kabisaa SHIT HAPPENS BECAUSE IT JUST DOES!

Tena kitika hio hypocritical institution MMU ndo wanaongoza na highest level of HYPOCRACY! IS IT JUST ME AU NDOA ZA WATU WOTE HUMU MMU NI ONE OF A KIND, WAKO PARADISE 24 HRS, 7 DAYS A WEEK, 366 DAYS A YEAR AND 10 YEARS A DECADE.? Haswaa MASTAA WA MMU (Leo kila mtu atakataa sio star humu,! Hahahaaa) Maana mwaka wa 3 sijaona mkiomba ushauri au kutoa testimony even once japo kwenye comment kuwa leo kuna trouble in the paradise! Au Mtu akitaka kuomba ushauri wa midhoruba ana sajili ID mpya? Mara moja nilimuona snowhite alitumia genuine id kuomb ushauri wa anormal thoruba inayokumba 78% ya ndoa zote. I repected you for that. Kwa hio in 3yrs ndoa moja tu ya snowhite ndo ilikubwa dhoruba? YOU PEOPLE IN THE SHAMEOLOGY YOU GOT NONE LEFT! Ndo maana mimi sitakagi mtu anishauri kitu.

Anyway sio nyie tu hata mtaani, PEOPLE COVER UP AND DRESS FACTS MPAKA VIFO NUSRA, NUSRA ALMANUSRA KUWAUMBUA. Mtu anapewa kichapo analazwa, nilianguka na boda boda. Mtu mumewe anagwadua nje balaa na anajua badala azibe ufa, ndo ndoa ya kikiristo mume ana watoto 3 nje, 2 ndani na utawalea vizuri. (Jambo kama hili zamani lilikuwa UNACCEPTABLE, ila hypocracy ilivozidi aaah watoto unawale mama zao wanakuja kuwaona na wanapasha kiporo na baba kama kawaida na unajua wanaongeza kakid kadogo n ya kids see n they will be like dady when they grow up. NO BODY IS BOLD ENOUGH TO SAY DAD YOU ARE WRONG ITS NOT ACCEPTABLE HATUKUSAMEHI FACE THE CONSEQUENCES! Noo! Dady aliteleza tu, tusamehe tusahau, 2nd kid, keep forgiving.) Irresponsibility mtu anakuwa BEYOND SELFISH anakunywa bia tuu na kukaza vimada mkewe anahaha kutafuta ada, maisha magumu n the wife covers up. Si watazamaji hayatuhusu banaaa ila watoto ndo wanatutia imani. Mke wa bosi anakukopa??? Mmmmmh! Wanaume wengine hawalali ndani wamehama n the wife covers for him, kasafiri, atashinda kwenye maombi wee, its just the world we live in. Wengine wanaleta ungonjwa humo humo ndani anau mke na vi last born. Divorce rate watu wanavoachana sasa? ETC ETC! THIS IS THE STAFF THE SOCIETY SHOULD PUT ON THE TABLE! KWENYE MAANDALIZI YA HARUSI KUGUSIA HAYA MAMBO NI ABOMINATION! Kutokomeza tatizo hatua ya kwanza ni KUKUBALI TIMES HAVE CHANGED SO DID THE PEOPLE AND THERE IS A PROBLEM kuliko hii fumbia macho tatizo na omba mungu nusra nusra almanusra akunusuru na kizazi chako.

I aint sayin there are NO HAPPY MARRIAGES AT ALL! Hapanaaa! THERE MIGHT BE LOT OF HAPPINESS IN MARRIAGE LAKINI MARRIAGE IS A JOURNEY! Unaweza ukawa unache leo, kesho ukatia huruma nad vice versa! YA MUNGU MENGI kuna uncertainities kama Death of one partner, ajali hizi ulemavu, uchawi mume analogwa hataki hata kukusikia, change of mind, umzeeka hakutaki tena, mambo kibaoooo yaliyo nje ya uwezo wako. MARRIAGE IS JOURNEY WITH BOTH HAPPY TIMES AND BITTER TIMES INATAKIWA UJIANDAE VIZURI UKIKURUPUKA WEEE! Yakiibuka majaribu uwe tayari.

Ndo maana i call for girls WAJIANDAE KIUCHUMI, SAIKOLOJIA, ET AL kwa hio JOURNEY OF MARRIAGE. Ndo maana mnaambiwa msomeee, mjasirie mali, muwe na malengo coz kuna leo na kesho. Sawa mume ana hela husumbuki for now, kesho upepo ukitwist utakula jeuri yako. Au astakafiru sikuombei mume kakwamaa mtafanya vipi maana pia yule binadamu! Au akishindwa kufikia expectations zako? MSITUMIE UMRI KAMA FACTOR! Riziki anagawa Mungu tu KAMA IPO IPO TU WHEATHER YOU ARE 30 OR 40 MUAMINI MUNGU WAKO!

Namalizia kwa kukumbushia ishu iliyomkuta mama yangu nishaisemaga humu siku moja. Mimi mama yangu akiwa na watoto 2 wachanga, mdingi wangu alipata bahati kwenda nje miaka ya early 1990's sasa coz ilivoisha kiroho safi wenzie wakarudi kazini yeye akatuma barua mi naenda nchi ingine tena kutafuta maisha. Mtu umeacha nyumbani watoto wadogo na ndugu zako kibao!!! Mke akaona ni jambo zuri mtu kujilipua kujitesa nchi za watu, as a wife alikuwa proud hubby kaenda extra mile kuboresha maisha. Huku kazini mshahara ukasimamishwa. Mmmh! Kule mawasiliano kasimamisha! Hatujui kafa au vipi! Na enzi zile za DARK 90s barua tu ndo mawasiliano na ile adress ya mwanzo kahama. Mmmmh! Mwaka ukaisha kimyaaa! Ikabidi ukoo umruhusu we ukiamua olewa tu tena, mahari tumesamehe, mwaka ni mda wa kutosha sema kama ndugu arobaini hatufanyi sababu tunajifariji ndugu yetu atarudi. Umeona majaribu hayooo?
Ikabidi sasa akawa anazunguka jiji zima kutafuta watu wanaoenda hio nchi anawapa hela wakamtafute mtaa alioelekeza wa mwisho kuwa atakuwa anakaa! Na wanamkuta wanatuma barua na picha wanamwambia yupo ni mzima kasema ataru june! Holaaa! Anatuma mtu mwengine huku familia analisha, huku ndugu zake nao zigo lingine, khaaaaa! Ndugu zake wakawa wanamwambia huyo keshaoa! Hakati tamaa. Katuma watu kibao ilipita miaka 4 sijui 5. Mamkubwa akaamua kumfata huko huko akamwambia we hata ukae miaka 100 huku mwenzio hatokata tamaa anakungoja kule. Sana sana atakufata tu huku iko siku. Kumbe bwana maisha hayakumkubali ndo maana akawa anona noma kurudi. Akamwambia we rudi tu nyumbani hata kule kuna maisha. Unamtesa mwenzio kulea watoto na ndugu zako peke yake wakati wewe unafukuza ndoto huku. Nauli hii hapa, fanya urudi haraka. Mwezi ule ule alirudi na kibegi tu miaka yote aliokaa hulo! Hahahaaaa! (Hio kibegi nimtia chimvu tu, alirudi na vitu vingi sema sio kiasi alichokuwa anataka) Sasa bi mkubwa angekuwa hajiwezi kiuchumi si angeumbukaaaa? NDOA MTIHANI ULE KUPASI UWE NA NYENZO NA
UMEJIANDAA VYA KUTOSHA NA MBINGU ZIWE UPANDE WAKO!
leo umeongea na una point ok nimekusoma!!!!
 
Ndoa sio kama ushirikiano wa kibiashara hii ni taasisi nyingine kabisa isiyohitaji ushawishi wa pembeni bali mtu aridhike mwenyewe kujiingiza humo ili yakimkuta asipate wa kumlaumu. Ndoa za kuunganishwa na watu mara nyingi zinalawama sana, kuna dada mmoja alikuwa anatafuta mchumba kaunganishiwa mkaka wa kumuoa ambaye alishavuta unga mpaka basi wameanza urafiki ila baada ya muda mdada kashtuka baada ya kumuona jamaa hana nguvu anachoka sana kwenye sita kwa sita, sasa anataka kuvunja uchumba. Nawashauri wadada msikubali kuvuliwa chupi hovyo sababu ya kutafuta ndoa.
 
Mimi binafsi nikimuona msichana ana nyoodo sana na hajaolewa
kimoyo moyo huwa nasema subiri uolewe......

wanawake wengi walio olewa hujikuta tu busara from experience.....

wengi wanaosema hili never litakuja nitokea....wanassema wakiwa single..
wakishaolewa huitaji hata kuwauliza.....sura zao zinaonesha kila kitu

ni rahisi kuhukumu watu ukiwa kwa nje.....but ukishaingia ndani ndo unaelewa....
 
Tatizo ya yote ni kutaka ndoa bila kuangalia unaolewa na nani. Kitu cha muhimu ni upate mtu muafaka, ndipo ndoa ije. SIo mtu anakuwa na ndoa mkoni kabla hata ya kumpata mtu muafaka.

Ndio maana nahisi tatizo la akina mama la kufurahia chakula cha usiku ni kubwa hata walio ndoani, sababu walikurupukia ndoa bila kujali wanaolewa na nani. Mwanmme hili ni zoezi la kimwili, wakati wanawake ni zoezi la kiakili/saikolojia zaidi, with a lot of details ndogo ndogo zisizo hata na maana sometimes.

Mwisho wa siku maisha ya kimapenzi hayana formula, unaweza ukadhani mtu anateseka kumbe yuko mbingu ya saba kwa furaha and vice verse.
 
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!

Nimesoma mada ya mgiriki ambayo iko highly biased, insestive and discriminatory against our sisters at 30 and above and all the women race. Imenisikitisha sanaaa kuona baadhi ya wanawake wanaunga mkono mada kama ile simply because they are married or below 30! Hahahaaaaaa! (Make sure to detect a lot of sarcasam, syncism and hypocracy in that laugh) Who are we kidding?

AND YES! MARRIAGE IS A HYPOCRITICA INSTITUTION,! ( kama nawaona hapo mmebaki mdomo wazi mnajitahidi kusema SHE JUST DIDNT SAY THAT! AND YES I SAID IT OUT LOUD IN CAPITAL LETTERS AND IT IS TRUE! Times have changed, its now a free country forgive my lack of manners, sense of humor and communication skills for calling a spade a spade but it is what it is a HYPOCRITICAL INSTITUTION! For once lets take out the skeletons in the closset, and not sweep the dirty under the carpet.

Atleast kila mtu ana ndoa walau sample ya 20 tu toka awe na akili anazijua inside out. HOW ARE THINGS AND THE HYPOCRACY LEVELS? Hahahaaaaaaa! Astonishing! Afu watu kwa kujifariji NDOA YAKO SIO LAZIMA IWE NA VIMBWANGA KAMA ZA WENZAKO! Hahahaaaa! WHAT MAKES YOU SO SPECIAL? Ndo hii hypocracy nayosemea. Sababu wenzako are the fools of the highest order n you are the smartest! Hulalalaaaaa! NO BODY IS SPECIAL MAYBE MWANA WA ADAMU PEKE YAKE NDO MAANA HAKUOA WALA KUZAA SABABU HAKUKUWA NA SPECIAL MWENZIE. As long as wote binadamu no body is special. Wenzio wakinyolewa zako tia maji uzilainishe kabisaa SHIT HAPPENS BECAUSE IT JUST DOES!

Tena kitika hio hypocritical institution MMU ndo wanaongoza na highest level of HYPOCRACY! IS IT JUST ME AU NDOA ZA WATU WOTE HUMU MMU NI ONE OF A KIND, WAKO PARADISE 24 HRS, 7 DAYS A WEEK, 366 DAYS A YEAR AND 10 YEARS A DECADE.? Haswaa MASTAA WA MMU (Leo kila mtu atakataa sio star humu,! Hahahaaa) Maana mwaka wa 3 sijaona mkiomba ushauri au kutoa testimony even once japo kwenye comment kuwa leo kuna trouble in the paradise! Au Mtu akitaka kuomba ushauri wa midhoruba ana sajili ID mpya? Mara moja nilimuona snowhite alitumia genuine id kuomb ushauri wa anormal thoruba inayokumba 78% ya ndoa zote. I repected you for that. Kwa hio in 3yrs ndoa moja tu ya snowhite ndo ilikubwa dhoruba? YOU PEOPLE IN THE SHAMEOLOGY YOU GOT NONE LEFT! Ndo maana mimi sitakagi mtu anishauri kitu.

Anyway sio nyie tu hata mtaani, PEOPLE COVER UP AND DRESS FACTS MPAKA VIFO NUSRA, NUSRA ALMANUSRA KUWAUMBUA. Mtu anapewa kichapo analazwa, nilianguka na boda boda. Mtu mumewe anagwadua nje balaa na anajua badala azibe ufa, ndo ndoa ya kikiristo mume ana watoto 3 nje, 2 ndani na utawalea vizuri. (Jambo kama hili zamani lilikuwa UNACCEPTABLE, ila hypocracy ilivozidi aaah watoto unawale mama zao wanakuja kuwaona na wanapasha kiporo na baba kama kawaida na unajua wanaongeza kakid kadogo n ya kids see n they will be like dady when they grow up. NO BODY IS BOLD ENOUGH TO SAY DAD YOU ARE WRONG ITS NOT ACCEPTABLE HATUKUSAMEHI FACE THE CONSEQUENCES! Noo! Dady aliteleza tu, tusamehe tusahau, 2nd kid, keep forgiving.) Irresponsibility mtu anakuwa BEYOND SELFISH anakunywa bia tuu na kukaza vimada mkewe anahaha kutafuta ada, maisha magumu n the wife covers up. Si watazamaji hayatuhusu banaaa ila watoto ndo wanatutia imani. Mke wa bosi anakukopa??? Mmmmmh! Wanaume wengine hawalali ndani wamehama n the wife covers for him, kasafiri, atashinda kwenye maombi wee, its just the world we live in. Wengine wanaleta ungonjwa humo humo ndani anau mke na vi last born. Divorce rate watu wanavoachana sasa? ETC ETC! THIS IS THE STAFF THE SOCIETY SHOULD PUT ON THE TABLE! KWENYE MAANDALIZI YA HARUSI KUGUSIA HAYA MAMBO NI ABOMINATION! Kutokomeza tatizo hatua ya kwanza ni KUKUBALI TIMES HAVE CHANGED SO DID THE PEOPLE AND THERE IS A PROBLEM kuliko hii fumbia macho tatizo na omba mungu nusra nusra almanusra akunusuru na kizazi chako.

I aint sayin there are NO HAPPY MARRIAGES AT ALL! Hapanaaa! THERE MIGHT BE LOT OF HAPPINESS IN MARRIAGE LAKINI MARRIAGE IS A JOURNEY! Unaweza ukawa unache leo, kesho ukatia huruma nad vice versa! YA MUNGU MENGI kuna uncertainities kama Death of one partner, ajali hizi ulemavu, uchawi mume analogwa hataki hata kukusikia, change of mind, umzeeka hakutaki tena, mambo kibaoooo yaliyo nje ya uwezo wako. MARRIAGE IS JOURNEY WITH BOTH HAPPY TIMES AND BITTER TIMES INATAKIWA UJIANDAE VIZURI UKIKURUPUKA WEEE! Yakiibuka majaribu uwe tayari.

Ndo maana i call for girls WAJIANDAE KIUCHUMI, SAIKOLOJIA, ET AL kwa hio JOURNEY OF MARRIAGE. Ndo maana mnaambiwa msomeee, mjasirie mali, muwe na malengo coz kuna leo na kesho. Sawa mume ana hela husumbuki for now, kesho upepo ukitwist utakula jeuri yako. Au astakafiru sikuombei mume kakwamaa mtafanya vipi maana pia yule binadamu! Au akishindwa kufikia expectations zako? MSITUMIE UMRI KAMA FACTOR! Riziki anagawa Mungu tu KAMA IPO IPO TU WHEATHER YOU ARE 30 OR 40 MUAMINI MUNGU WAKO!

Namalizia kwa kukumbushia ishu iliyomkuta mama yangu nishaisemaga humu siku moja. Mimi mama yangu akiwa na watoto 2 wachanga, mdingi wangu alipata bahati kwenda nje miaka ya early 1990's sasa coz ilivoisha kiroho safi wenzie wakarudi kazini yeye akatuma barua mi naenda nchi ingine tena kutafuta maisha. Mtu umeacha nyumbani watoto wadogo na ndugu zako kibao!!! Mke akaona ni jambo zuri mtu kujilipua kujitesa nchi za watu, as a wife alikuwa proud hubby kaenda extra mile kuboresha maisha. Huku kazini mshahara ukasimamishwa. Mmmh! Kule mawasiliano kasimamisha! Hatujui kafa au vipi! Na enzi zile za DARK 90s barua tu ndo mawasiliano na ile adress ya mwanzo kahama. Mmmmh! Mwaka ukaisha kimyaaa! Ikabidi ukoo umruhusu we ukiamua olewa tu tena, mahari tumesamehe, mwaka ni mda wa kutosha sema kama ndugu arobaini hatufanyi sababu tunajifariji ndugu yetu atarudi. Umeona majaribu hayooo?
Ikabidi sasa akawa anazunguka jiji zima kutafuta watu wanaoenda hio nchi anawapa hela wakamtafute mtaa alioelekeza wa mwisho kuwa atakuwa anakaa! Na wanamkuta wanatuma barua na picha wanamwambia yupo ni mzima kasema ataru june! Holaaa! Anatuma mtu mwengine huku familia analisha, huku ndugu zake nao zigo lingine, khaaaaa! Ndugu zake wakawa wanamwambia huyo keshaoa! Hakati tamaa. Katuma watu kibao ilipita miaka 4 sijui 5. Mamkubwa akaamua kumfata huko huko akamwambia we hata ukae miaka 100 huku mwenzio hatokata tamaa anakungoja kule. Sana sana atakufata tu huku iko siku. Kumbe bwana maisha hayakumkubali ndo maana akawa anona noma kurudi. Akamwambia we rudi tu nyumbani hata kule kuna maisha. Unamtesa mwenzio kulea watoto na ndugu zako peke yake wakati wewe unafukuza ndoto huku. Nauli hii hapa, fanya urudi haraka. Mwezi ule ule alirudi na kibegi tu miaka yote aliokaa hulo! Hahahaaaa! (Hio kibegi nimtia chimvu tu, alirudi na vitu vingi sema sio kiasi alichokuwa anataka) Sasa bi mkubwa angekuwa hajiwezi kiuchumi si angeumbukaaaa? NDOA MTIHANI ULE KUPASI UWE NA NYENZO NA UMEJIANDAA VYA KUTOSHA NA MBINGU ZIWE UPANDE WAKO!

Wape vitu wanafikiri ni fasheni,its really a journey in the forest with no possibilities of predictions of future status of health,finance,and other unforeseen events which may disturb the family at large,especially now days when people plan for today and wait for tomorrow to come,,,,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom