Wadada above 30

Wadada above 30

vpi wakakawa age hiyo above30+ hajaoa. hana rasilimali yoyote. mtoto wakusingiziwa alicho nacho ni KITAMBI kikubwa kama mimbaya miezi 12
 
Long time Eiyer...have been working,studying and doing research in different places.
Hope you are doing well,good to see you here!

Well,it's good to see you here too ....

Welcome again,JF imebadilika sana now days,sio kama ile ya wakati ule ya akina Dark City , Gagurito, Cantalisia , AshaDii , Lizzy , steveDii , Teamo , Konakali , snowhite , Kaizer , Asprin , klorokwini , Kaunga na wengine ambao walikuwa wanaifanya JF kuwa kama chuo cha mambo mengi

Nadhani sasa unaweza kuonekana mgeni sana hapa ......!!
 
Last edited by a moderator:
Digital inawafanya wanawake wengi kuchelewa kujitambua, wengi huishi kwa kuigizia maisha badala ya kuishi halisi.

Kwa sasa ukitaka kuishi na mwanamke ,Umri WA 30 ndio wazuri unakuta wameshamaliza kuigiza maisha.
 
Kujiamini.....
Mipango.....
Mna kazi sana mnaofuatilia watu kwanini kachelewa kuolewa ama laa!! kazi mnayo
 
Na wife material je? Ww unawaona ni wengi? Husband material wapi wengi sana Ila wife material ndio wachache... ukiona mwanamke umefika 30s bado hujaolewa change your behavior coz your not wife material
utakapokua na mwanao binti/ndugu yako akafika 30 na huoni mapungufu in her behavior ndo utanielewa.
 
Halafu tunasemaga kila siku apa sie wakongwe kwamba ndoa sio ya kila mtu ndio maana kuna matowashi na waseja.

Sasa kwamba mdadq anafikisha 30 anapanick sidhan kama ni kweli kwa wengi. Nawafahamu wengi walioko 30s and sweet......hawajakariri kuolewa....
 
Wambie bwana wasituzingue hawa ndoa ndoa....aaah
 
Well,it's good to see you here too ....

Welcome again,JF imebadilika sana now days,sio kama ile ya wakati ule ya akina Dark City , Gagurito, Cantalisia , AshaDii , Lizzy , steveDii , Teamo , Konakali , snowhite , Kaizer , Asprin , klorokwini , Kaunga na wengine ambao walikuwa wanaifanya JF kuwa kama chuo cha mambo mengi

Nadhani sasa unaweza kuonekana mgeni sana hapa ......!!

Ni kweli,mwenyewe najiona mgeni....nimefurahi kukuona na pia Kaizer na Nyumba Kubwa....!
 
Maisha mipango hivi inawezekana kweli kila mtu unayekutana nae kuanzia labda 23yrs hadi above 30 haupati husbad material? unless you are not serious, lakini kama uko serious kupata mwenza hutakurupuka kuingia kwenye mahusiano. Me wa kwangu alikuwa na 27 tulipoanza na now we are happy with one handsome boy
Mungu awasaidie
 
Ish....kwani haiwezekani?? Na suala sio husband material maana the term is subjective....suala ni kwamba unampenda??? Anaweza kuwa ni kijana mzuri tu lakini hujampenda na msingi wa ndoa ni upendo
 
Back
Top Bottom