Pole sana Mungu ni mwema na mwaminifu kila wakati kwa wote wamwitao,kamwe usiahidi kulipa kisasi sababu kisasi ni cha Mungu yeye amesema atalipa,
[TABLE="width: 1022"]
[TR]
[TD="class: xl66, width: 1022"]warumi 12:19 Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.
Zaidi nakushauri kwa sababu umeshazika Muombe Mungu akusaidie kuachilia pia ili muwe na amani kwanza,mama naye apumzike ili badae muombe kurejeshewa kipenzi chenu,njia za Mungu ni za ajabu atakuja kuwashangaza kama mkimuachia yeye[/TD]
[/TR]
[/TABLE]