Wachawi wamemchukua mwanangu

Wachawi wamemchukua mwanangu

Kutoa sadaka STAHIKI kwetu tulio wengi ni kitu kigumu na roho inauma!

Japo nilishafundishwa somo juu ya nguvu ya sadaka naona shetani huwa anasimama hapo ili tusitoe.

Hakika hii ni vita.

Ahsante kwa kunikumbusha mkuu Heaven Sent
Exactly mkuu, shetani hapigani tu vita visivyo na faida. Atakupiga vita especially kwenye eneo ambalo anajua Kuwa ukichomoka tu umewin; pale pale baraka yako ilipo ndo anakuyumbisha
Teh mpendwa tukatoe kweli, tusiishie tu kutiana mioyo. Sadaka ina nguvu kubwa sana, ni mlango wa kufikia baraka zetu
 
Last edited by a moderator:
Wachawi hawawezi kumdhuru mtoto mpaka wajue tambiko lako kupitia kwako wewe baba wa mtoto.!! kwa hiyo wewe ndiye chanzo kikuu sababu hao wachawi wameingia kupitia kwako sababu wewe upo wazi.

Cha msingi chagua moja kati ya haya.

Kupitia imani yako ya dini, funga omba na ujitakase na udumu katika imani yako kikamifu ili hao jamaa wasikuchezee tena ama kama huwezi kufanya hivyo basi na wewe anza kutembea kwa wataalam ili wakusafishe na kukukinga na hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom