mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
- Thread starter
-
- #61
Kweli nimebahatika kukaa kule kwa muda wa kutosha nyakati kama hizi kwa wale ambao hamjajipanga ni muda wa kufkiri juu ya kujipanga tena mana the guys are doing very well, sio makaz tu hata hivi viusafiri vyetu kwa kweli unahamasika kuwa kama wao.
Vitu vingine tukubali na tuvichukue kama changamoto ili na ss tulete mabadiliko ktk jamii zetu. Mambo Mazuri yanafaa kuigwa
dada zetu wa kijijini hawahangaiki na vyasaka mbona, ataishia kupigwa tarehe na kunywewa bia tu
Hahahahaha mkuu marangu patamuuu, Big up sana nimewakubali, kama vipi tutafutane kesho mkuu sio mbaya wana'jf tukijumuika marangu kwa mama sia kupata safari lager za baridiii
wapi wewe! Marangu mtoni is more than what you think. Thubutu pale no green guest house!
Mkuu weka picha.
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!
wengi pale ni vyasaka ma house girl na wapagazi wa kike
Ugomvi huo mi siingiliii
Hichi ndio kipindi cha wazee wa uchagani na ndugu waliopo kijijini kutabasamu kipindi cha mavuno
anataka kumfanya ndugu yetu azoee kuazima magari ya watu huyu.
Mkuu hata kama mtu amekodisha gari akaenda nalo huko mliman bado ni moja ya mafanikio kwake kwenda na gari la kisasa na lenye gharama kuliendesha mfano mafuta peke yake ni gharama hivyo bado nawapa big up wachagga wooote walioweza kurudi nyumbani kuwasalimia wazazi ndg jamaa na marafiki
Mkuu weka picha.
ndo nautaka sijagombana sikukuuu hiii
ha ha ha haaaaa ulisema dada zenu mkuu! Tangia lini dada zenu wakawa vyasaka?
acha chuki na dawa ya hizo chuki zako ni kujenga kwenu na kuanza kuwatembelea wazazi wako bila kuona aibu, tatizo unafiki umekujaa unatanua mjini kwenu hakuingiliki . Viva wachaga
tuje kwenye reality. Is there any necessity to hire a massive car just for show off? Kama wewe ni mtafutaji huitaji watu wakusifu kwa hizo gari bali kwa wewe the way you are! Huo ni ushamba! Mkuu amini hawa jamaa wana nyumba za hatari huku kwao! Hawawezi kulala humo! Kwao siku hizi wamezidisha mataahira (sio wote)! Logwa umwambie mzee wa kichaga kuwa unampeleka dar kwa matibabu! Thubutu!
shemejiiiii karibia moshi bana