Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

Watu wenyewe wanapiga kura kwa kuangalia vyama,hata mbunge wao awatukane matusi bado watamchagua tu.
 
256aa5a8f06ee5eaa7bdc6a03c523fbe.jpg
 
Family life is personal

But it is a realm for any given political leadership. Civilized societies do use this as a foundation to be given political governance... kama huna ujuzi wa familia utakuwa na ujuzi gani wa kuwaongoza watu ambao ni chimbuko la familia.... Huwezi zungumza suala mf la huduma za afya kama hujaisimamia familia yako binafsi na kujua real challenges ... na hii inapelekea kuzungumza kimihemko... siwakatai bali wajipange zaidi... nieleweke hivyo....
 
Kwa maoni yangu, sidhani kama kuna haja ya kuwa na wabunge bali makatibu wa wizara wanatosha maana ndio wanaandaa bajeti za wizara zao na kupitishwa na wabunge bila kupingwa!
Mm binafsi sioni haja ya vikao vya Bajeti , vinaigarimu nchi tu.
Pesa ziendelee kua allocated Juu kwa Juu na watu wachache.. kukaa kila siku na kudiscuss kitu ambacho hakijawahi kukamilishwa hata kwa Wizara Moja Century and Century ... ni uwendawazimu.
 
Halima mdee nawe hawez rudi,binafsi nimechoka michezo yake hamna LA mana afanyalo yy kazi ugomvu,hatujamtuma ugomvi.


Shida ni kwamba wananchi wengi wanafikiria kazi ya mbunge ni kujenga barabara na kuchimba visima. Pia wanasahau kuwa wabunge wa upinzani wanapitia changamoto gani hasa kwenye kupata haki bungeni. Nashauri kabla ya uchaguzi wananchi wote tuanze kujisomea na kujenga ufahamu kwenye mambo yafuatayo:

1. Kazi kuu za mbunge ili tuache kuchagua sponsors na wasinziaji bungeni bali wajenga hoja na wenye uelewa mzuri wa mambo including utungaji wa sheria.

2. Nini kifanyike kuweka usawa bungeni hasa kwenye haki ya kusikilizwa na kuondoa uonevu.

3.......
 
CCM itawekwa kwenye jengo la makumbusho kwa ajili ya kumbukumbu ya kizazi kijacho.
 
Angeline Mabulla wa Ilemela, japo ni naibu waziri wa aridhi lakini wapiga kura wake wanataka kunyangwanywa maeneo yao na airport yeye haonekani.
 
mohamed mgumba wa morogoro kusini mashariki.huyu hatufai tena anaendekeza udini tu lkn maendeleo hamna.huyu harudi tena.
 
Lusinde, John Nyika, Mdee, Prof Maghembe, Dr Mwakyembe, Prof Kabudi, Ngelleja, Mabulla, Yule wa IGUNGA, Bullaa 50 50 anaweza kurud au asirudi. wengine apo kwenye list kisiasa ndio mwisho wengine hawatagombea.
 
Back
Top Bottom