Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Zito soon anajoin Ukawa katika sura nyingine kabisa...
Mkuu zzk kujoin ukawa?
Zito soon anajoin Ukawa katika sura nyingine kabisa...
sasa Kama hayupo tayari kuwataja now,si angesubiri mudabmuafaka!
kwanza bunge lishavunjwa hao ni raia wa kawaida tu,hawana impact yoyote kwenye siasa,na usishangae wamejipima huko walikokuwa wameona watakatwa tu.
Nakueleza usije badiri ID HUM
Wanakuja kwa awamu mkuu siyo kwa mkupuo hivyo vuta subira
Ugeweka vizuri habari ya mbowe kupokea mpunga kwa lowasa ieleweke.
Hawa ACT wawaache tu, sisi tuko busy kugombea nafasi ya urais tu, mbowe kishatuzunguka kavuta mpunga kwa lowassa amuuzie chama, kweli siasa za kibongo hazina maana kabisa
Niliwahi sema kua chadema hakuna democrasia ya kweli bali ni genge la wachache la kujipatia pesa...
Walisema 60, siyo 50. Pia wakasema Lowassa anajiunga nao. Namsikitikia Moses Machali kama amejiunga na wasaliti ACT, amechagua garasa. Bora Shibuda kaenda tawi lingine la CCM, yaani TADEA, kawaepuka ACT na Ayatollaak wao Zitto.
Lowassa fisadi mbowe fisadi sishangai Hapo, mchukueni tu mbona mnapiga ramli wiki nzima sasa?
Bavicha mtajuta kumfahamu Zitto Teh TehWabunge wanne? Majina? Siyo 50 tena? Wasaliti bana.
Walisema 60, siyo 50. Pia wakasema Lowassa anajiunga nao. Namsikitikia Moses Machali kama amejiunga na wasaliti ACT, amechagua garasa. Bora Shibuda kaenda tawi lingine la CCM, yaani TADEA, kawaepuka ACT na Ayatollaak wao Zitto.
waende tu kwani kuama na kuhamia ndiyo demecrasia, hila hawa wasaliti sijui kama watabadilika.