Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Seasonal migrations kama nyumbu wa tarangire national park hizo habari zitakuwepo sana mpaka karibia kabisa na uchaguzi

mkuu mshana jr,tarangire kuna uhamaji wa nyumbu?
wanahama toka wapi na kwenda wapi na tangu lini?
 
Ukiona mtu kahamia ACT ujue keshachoka na siasa anatafuta tu kizingizio cha kupotea kwenye ramani
 
mkuu mshana jr,tarangire kuna uhamaji wa nyumbu?
wanahama toka wapi na kwenda wapi na tangu lini?
Nakushauri uwe angalau unafanya vitu vingine kama kusoma vitabu mbalimbali, kuangalia vipindi mbalimbali vya TV na hasa vile vinavyohusu current affairs, wanyama, uchumi nk!

Wewe kutwa kucha uko kwenye keyboard ya computer yako una-comment mambo ya JF??!! Sasa utajuaje mambo ya Tarangire?!
 
Mh Kafulila na Mkosamali wekeni mambo yeni wazi, ni kweli kila mwananchi wa Tanzania ana haki ya kijiunga na chama chochote kile cha siasa lkn sio kwa kuvizia kama alivyofany Moses Machali.

Sasa umebaki wewe na mkosamali, wekeni mambo yenu wazi je ni kweli mko mbioni kuondoka NCCR Mageuzi?
 
Sasa yote hayo unayajueje kama wewe si mfuasi wa uzalendo

Mkuu mimi siwezi kuwa mfuasi wa huo unaoita uzalendo,Mimi ni mfuasi damudamu wa cdm,huo uzalendo mnaouimba bado haupo ndani ya mioyo yenu bali ni mbinu ya kuwapumbaza watu ili wajiunge na chama chenu,hata hivyo mmefeli kwa hilo maana mtanzania wa leo siyo wa kumdanganya na pipi kijiti.
 
Kwani si walisema kuwa wabunge hao ni 50? Mbona sasa idadi imepungua?
 
Wahame waone watavyopotea hkohko. Ni baada ya uchaguz tu tunawasahau kuhus wao.
 
nitawashangaa sana wananchi wa Kigoma kama watakubali kuburuzwa na zito kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom