Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Una uhakika au nawew ni wale wale bendera fata upepo ulkuwepo kwenye makabidhiano?
 
Sio rahisi kama unavyodhani,ACT ikijitahidi sana itakuwA na wabunge watatu tu
Halafu ktk bunge la kwanza tuu waanze vita na ayaoutoullah..atakapoanza wapeleka ktk siasa za kangaroo za kurukaruka kwa kasi kiasi cha wao kushindwa jua wanaimba sauti gani.Aanza washutumu kutumika na maadui zake..aanze lia kwa nini CDM hawamwachi kwa amani.
 
Machari asahau kabisa kurud tena bungeni, coz ameongeza ushindani usio wa lazima jimbon kwake, ikumbukwe kua ccm wanalihitaji sana hilo jimbo na kama kahama ukawa bac na ukawa wanahitaji sana hilo jimbo pia, na wasaliti mara nyingi njia yao ni fupi ameshindwa kuona mwisho mwanzo

Siasa ni mahesabu we kaa na ujinga wako wakati wenzako walishasoma mazingira.
 
Duh! Ni wabunge 4 tena sio 50?

Ni mwanzo tu safari bado ndefu. Fahamu kampeni bado hazijaanza na ili kuivunjavunja CHADEMA ni muhimu kuifanyia surprise. Huu ni mchezo wa kisiasa na nia kubwa ni kuwasubiri CHADEMA pale watapokua wamekolea na na kugombana na nafasi ya uteuzi wa mgombea urais ndipo pakuchomekea. Kwani hawatakuwa na wakati wa kujadili wabunge.
 
Zito ndio Raisi wa kigoma popote alipo wananchi wa kigoma tupo.

Hatuyumbishwi chadema na nccr tumewaachia watu wa kaskazini.

Tuliipokea vizuri nccr, tukaipokea vizuri chadema sasa tumechoka kuburuzwa,ni zamu ya chama cha ukombozi wa kweli,
ACT WAZALENDOOOOOOOOOO.



Labda rais wa Kigoma ya Wabembe na Wabwari bt sio waha original kama sisi,kamwe hatutaburuzwa na hyo mzee wa Matunguli
 
Kweli wakuu awa viongozi ni wasaka tonge na wasipo angalia watakivuja chama chao kwa mikono yao wenyewe kama mwanamke m..........
 
wachaa waende wakaimarishe upinzani kwasababu naamini baada ya tarehe 25/10 ukawa kushika dola lazima kipatikane chama cha upinzani ili kuhimiza maendeleo kwa kuikosoa serikali ya ukawa wakati huo. chama hicho kinachokuja cha upinzani ni ACT. CCM ikishaanguka haiwezi kuinuka tenaa ndo ntoleeee itakuwa kama ya kanu kenya
 
Kwa mujibu wa Naibu Katibu mkuu wa ACT- Wazalendo akiongea na Clouds Fm Amesema wabunge hao hatawataja kwa majina mpaka watakapopokelewa katika majimbo yao.

Pia Naibu Katibu mkuu huyo amesema Kuhusu Moses Machali aliyekuwa mbunge NCCR mageuzi tayari amejiunga rasmi na chama hicho.

mbona kigoma tupu halafu wao ndio wa kwanza kutoa kauli za ukabila
 
Back
Top Bottom