Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,791
- 40,575
Yatupasa tubashili hiv hawa wanne wanao hamia act walio tajwa na machali tofauti na wale 50 wa zito watakuwa wakinani?
philipa viti maalum
Yatupasa tubashili hiv hawa wanne wanao hamia act walio tajwa na machali tofauti na wale 50 wa zito watakuwa wakinani?
Endelea kubashili!!
Lisu, Msigwa, Wenje na Mdee!
philipa viti maalum
kafulila
Wabunge wote WA NCCR Kigoma.
Kwani kigoma kuna wabunge wangapi wa nccr
Endelea kubashili!!
Agrippina,
Machali,
Mkosamali &
Kafulila
Ni Lowassa, Pinda, Mwigulu na Vigwangala
Machali Leticia nyerere Arfi na lowasa
Inavyoonekana hiki chama ni cha wana KIGOMA, Kama hivyo ndivyo sasa huo uzalendo wanaodai kuutangaza ni wa wana Kigoma pekee!!Wabunge wote WA NCCR Kigoma.
yaani wewe badala ya kusikitikia umaskini wako unao kulaza njaa ubamsikitikia machali mwenye maisha yake yaliyostawi