Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Hao wabunge 150 waliyo nyuma ya mh. Nao hawana uhakika wa kurudi bungeni, kama mnabisha wahamie ACT wazalendo au kokote kule muone kama watachomoa. Nawashauri watulie tu CCM waendelee kupata mkate wa kila siku kwa familia zao. Vinginevyo maumivuuu.

Tatizo la act ziko mbili hivi unawashauri wajiunge act ipi?
 
Mtu mmoja humu Yeriko Nyerere alitutangazia mud a sasa kuhusu Machali, watu wakamtusi, sasa yametimia na hawaonekani kumuomba radhi!
 
Acha kujitoa ufahamu...

JK alihutubia Bunge...Hakuvunja Bunge...

Ukomo wa wabunge utakuwa tarehe 20 Agosti, 2015....Tangazo la kuvunja Bunge litatolewa kwenye gazeti la serikali...

Nenda Dodoma mtafute kashilila atakufahamisha vizuri
 
Hii imekaaje, ACT wakiwachukua wabunge kutoka vyama vya upinzani mnashangilia, ati ACT waache tu, lakini UKAWA wakitaka kumchukua Lowassa inakuwa Mbowe keshatuzunguka na kuchukua mpunga. Ama kweli kutawaliwa na akili ndogo ni shida. Lowassa ana watu wanaomuunga mkono si chini ya milioni mbili na wabunge wa CCM zaidi ya mia na hamsini. Unamkataaje mtu mwenye mtaji wa wapiga kura zaidi ya milioni mbili na wabunge zaidi ya mia na hamsini. Ukimkataa mtu wa jinsi hiyo utakuwa kichaa.

Asante sana kama uko maeneo agiza tano nitumie no ya mtandao wa pesa ukule mai
 
Ni mbunge wa jimbo la Kasulu kupitia NCCR Mageuzi! Pia wamo viongozi wengine toka vyama vya siasa ambao bado hawajawekwa wazi!

Chanzo: Clouds habari
 
sasa Kama hayupo tayari kuwataja now,si angesubiri mudabmuafaka!
kwanza bunge lishavunjwa hao ni raia wa kawaida tu,hawana impact yoyote kwenye siasa,na usishangae wamejipima huko walikokuwa wameona watakatwa tu.
 
Back
Top Bottom