Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Pia aliye kuwa mwnyekiti Wa Nccr vijana Bw
.Deo Meck Na msanii Mohamad aka "FRANK" wamethibitishwa kujiunga Na ACT. TEAM WAZALENDO
 
Kwa mujibu wa naibu katibu mkuu wa ACT akiongea na Clauds Fm Amesema wabunge hao hatawataja kwa majina mpaka atakapo pokelewa katika majimbo yao.

Pia naibu katibu mkuu huyo amesema Kuhusu Moses Machali aliyekuwa mbunge NCCR tayari amejiunga rasmi na chama hicho.
Kaazi kwelikweli.Hata wewe mleta mada una akili za kushikiwa kiasi hiki!Unapoleta mada hii Tz kuna mtu yeyote ambaye ni mbunge au bunge tayari limeshavunjwa ambapo tafsiri yake hakuna mbunge aliye-active.Uyo Musa Machali amejiuzulu ubunge kwa tkt ya NCCR?Amka jitambue.
 
Hawa ACT wawaache tu, sisi tuko busy kugombea nafasi ya urais tu, mbowe kishatuzunguka kavuta mpunga kwa lowassa amuuzie chama, kweli siasa za kibongo hazina maana kabisa

Hilo wenzie hawalijui
 
Kwa mujibu wa naibu katibu mkuu wa ACT akiongea na Clauds Fm Amesema wabunge hao hatawataja kwa majina mpaka atakapo pokelewa katika majimbo yao.

Pia naibu katibu mkuu huyo amesema Kuhusu Moses Machali aliyekuwa mbunge NCCR tayari amejiunga rasmi na chama hicho.

Kutowataja huo ni umbulula,kama alijua hana uhakika kwanini aongelee kitu ambacho kipimo hewani?alafu hao siyo wabunge kwani mbunge ukishahama chama kimoja kwenda chama kingine unakuwa umeupoteza huo ubunge
 
Hawa ACT wawaache tu, sisi tuko busy kugombea nafasi ya urais tu, mbowe kishatuzunguka kavuta mpunga kwa lowassa amuuzie chama, kweli siasa za kibongo hazina maana kabisa

Utaendelea kuweweseka hadi baada ya uchaguzi utaishia kuwa mwendawazimu,wachana na cdm ni moto chini nchi mzima.
 
Tusha wazoea kwa uongo wenu.labda mumchukue lowassa ndio bendera upepo.zitto mwenyewe hana uhakika wakushinda ubunge
 
Hata wewe utakuja tu,sasa utakubali kubaki pekee yako kwenye hiyo Saccos coz wengine wameshaanza xafari kutoka misri kwenda nchi ya ahadi

Kujiunga na saccoss ya mwandiga sharti lake lazima ujue kuongea kiha.
 
Kwani wao hawana uhuru wa kujiunga na chama cha ACT.
 
Lowassa fisadi mbowe fisadi sishangai Hapo, mchukueni tu mbona mnapiga ramli wiki nzima sasa?

Zzk alituahidi kutaja majina ya wakioficha fweeza uswiss lkn akaishia kugwaya,
 
kiswahili kigumu sana,sema waliokuwa wabunge wanne kati yao wamejiunga act,bunge lilishaunjwa lile

Hebu niambie sifa moja ya kua wazir ni kua mbunge.kwahiyo kwa ss hatuna mawaziri?ataachwa kuitwa mbunge mpaka atakapochaguliwa mwingine.
 
Kwa hiyo Kasulu tofauti na machali hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuwa mbunge?
Na pia hao wabunge 50 ni wapi wakati kisheria bunge limevunjwa imebaki hatua ya kutangaza kwenye gazeti la serikali tu.
Kwa maana nyingine hao 50 waliokuwa wabunge na wasio wabunge wote wako kwenye mchakato wa kuusuka ubunge sasa ikiwa wanahamia act kuna shida gani si nafasi zao watachukua wengine what is special then?
 
Kwa mujibu wa naibu katibu mkuu wa ACT akiongea na Clauds Fm Amesema wabunge hao hatawataja kwa majina mpaka watakapopokelewa katika majimbo yao.

Pia naibu katibu mkuu huyo amesema Kuhusu Moses Machali aliyekuwa mbunge NCCR tayari amejiunga rasmi na chama hicho.

Mkuu kurunzi kwani kuna tatizo gani? Wanpeleka ubunge wao ACT? Au wanakwenda kule kama wabunge wa awamu iliyopita au vipi?
 
Back
Top Bottom