Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Hata wewe utakuja tu,sasa utakubali kubaki pekee yako kwenye hiyo Saccos coz wengine wameshaanza xafari kutoka misri kwenda nchi ya ahadi

Tunashukuru kwa taarifa kiongozi mkuu wa Chama!
 
kwa mujibu wa naibu katibu mkuu wa act akiongea na clauds fm amesema wabunge hao hatawataja kwa majina mpaka atakapo pokelewa katika majimbo yao.

Pia naibu katibu mkuu huyo amesema kuhusu moses machali aliyekuwa mbunge nccr tayari amejiunga rasmi na chama hicho.

kiswahili kigumu sana,sema waliokuwa wabunge wanne kati yao wamejiunga act,bunge lilishaunjwa lile
 
Hahahahaaa eti Zitto!!!
Kwamba majina hatayataja kwa sasa kwa vile ameyasahau. Hawa jamaa sio kabisa, ni bora kujiunga na kikundi cha Mdumange utaburudisha roho.
 
Walisema 60, siyo 50. Pia wakasema Lowassa anajiunga nao. Namsikitikia Moses Machali kama amejiunga na wasaliti ACT, amechagua garasa. Bora Shibuda kaenda tawi lingine la CCM, yaani TADEA, kawaepuka ACT na Ayatollaak wao Zitto.

Maneno mengine kwa busara tu, muwe mnayaepuka kuyasema!! Mlikuwa mnawaambia CUF maneno ya namna hii, leo eti mnawaita wapiganaji!!! Kutakuwa na nati hazijakaza vyema pahala.
 
Ugeweka vizuri habari ya mbowe kupokea mpunga kwa lowasa ieleweke.
 
kiswahili kigumu sana,sema waliokuwa wabunge wanne kati yao wamejiunga act,bunge lilishaunjwa lile

Mkuu unachanganya mambo bunge bado halijavunjwa ni kwamba Siku ile raisi alihutubia tu bunge na akatangaza bunge litavunjwa tarehe 20/08/2015
 
Hao wabunge 150 waliyo nyuma ya mh. Nao hawana uhakika wa kurudi bungeni, kama mnabisha wahamie ACT wazalendo au kokote kule muone kama watachomoa. Nawashauri watulie tu CCM waendelee kupata mkate wa kila siku kwa familia zao. Vinginevyo maumivuuu.
 
Back
Top Bottom