johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,108
Watoto wanahitaji pedi au vifaa vya shule?Hata hivyo amejitahidi wengine hata hizo taulo hawatatoa kabisa.
Sijamsifia but nimesema bora kidogo kuliko wale ambao wako kimya na uwezo wanaoWatoto wanahitaji pedi au vifaa vya shule?
Taulo kitu gan had za 1500 zipoHata hivyo amejitahidi wengine hata hizo taulo hawatatoa kabisa.
vyote vinahtajika wengine wenye moyo watapelek vifaaWatoto wanahitaji pedi au vifaa vya shule?
Lkn bora amegusa kuna wengine wako kimya, huenda kesho atafanya kitu muhimu zaidi.Taulo kitu gan had za 1500 zipo
Siasa zinaguza watu akili😂😂Bora huyo, kuna mmoja aligawa pipi kwa wagonjwa
Duh! Una PhD ya unafiki. Acha wapige kazi.Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka babu Tale ametoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule moja ya msingi jimboni kwake.
Babu Tale amesema msaada huo utakuwa endelevu kila watakapozihitaji na kumpa taarifa kwa miezi 6.
Babu Tale amepiga picha ya Ukumbusho na wanafunzi hao wasichana.
Maendeleo hayana vyama!
hv unayajua maisha ya kijijini ndugu yangu? hiyo 1500 kila mwezi mzazi anaitoa wapi ya kumpa mtoto akanunue pedi? wasichana wa vijijini wanatumia vipande vya vitambaa tu, so kwa mtazamo wangu Tale amefanya jambo jema sana kwa hao mabinti hasa kwa kuwa ameahidi kitakuwa kitu endelevu kila baada ya miezi 6Taulo kitu gan had za 1500 zipo
Kwa watoto wa kike ni muhimu sana, wanahitaji vyote kwa umuhimu ulio sawaWatoto wanahitaji pedi au vifaa vya shule?
Maisha ya kijijini zipo familia nyingi sana bajeti ya pedi haipo kabisa. Utasikia wazazi wanawaambia mabinti zao kuwa mbona wao walikua kwa kujifunga matambala na hadi sasa wapo na wamewazaa.hv unayajua maisha ya kijijini ndugu yangu? hiyo 1500 kila mwezi mzazi anaitoa wapi ya kumpa mtoto akanunue pedi? wasichana wa vijijini wanatumia vipande vya vitambaa tu, so kwa mtazamo wangu Tale amefanya jambo jema sana kwa hao mabinti hasa kwa kuwa ameahidi kitakuwa kitu endelevu kila baada ya miezi 6