mbona hujamtaja Mchungaji Msigwa. Mr II, na Lema au umewalenga wa CCM pekee
muzee wa ashiki majinuni.Nchambi Wa Kishapu,nitakuwa pande hizo kutoa kampani kwa UKAWA,hawezi toboa
Wakazi wa Dar ni wazembe sana usiwaamini kuchagua wapinzani.yujini mwaiposa jimbo la ukonga.
abasi mtevu jimbo temeke
zungu wa ilala
mbona hujamtaja Mchungaji Msigwa. Mr II, na Lema au umewalenga wa CCM pekee
jenista mhagama peramiho nae harudi
Wakazi wa Dar ni wazembe sana usiwaamini kuchagua wapinzani.
shemeji kamata naye kwaheri du mna roho mbaya nyie. kumuweka mwenzenu kwenye orodha ili iweje?
muzee wa ashiki majinuni.Nchambi Wa Kishapu,nitakuwa pande hizo kutoa kampani kwa UKAWA,hawezi toboa
mitoto ya Dar chips mayai,nguvu za kiume hakuna,akili ya mabadiliko hakuna,imeshindwa kutoa kampani kwa Makamanda wa GeitaWanalazwa na vitoto vya panyaroad saa 12 jioni.
mbona hujamtaja Mchungaji Msigwa. Mr II, na Lema au umewalenga wa CCM pekee
NAWE TOA ORODHA YAKO
mbowe, wenje, sugu, msigwa
Kafie mbele huko
Mamba 7 atarudi.Kafanya mengi jimboni kwake.[/QUUnaishimi mikumi? Mamba au namba?
Tatizo ni ushabiki usio na tija...kwa wendo huu wapinzani wanajidanganya sanaWanajamvi,
Kutokana na bunge letu kutawaliwa na ngojera na mipasho ni dhahiri kwamba kutakuwa na lundo la wambunge ambao hawatarudi bungeni 2015. Mfano hai wa kundi hili ni Juma Kamia, Shibuda, John Komba. Hawa ni maarufu kwa mipasho zaidi ya Khadija Kopa. Kwa heshima na taadhima naomba iongezeeni list hii ndefu. Kwa manufaa ya kuujuza uma ni vyema kutaja sababu zitakazopelekea kutokurudi kwao..!