hatibu juma
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 278
- 37
Sugu mbeya mjini hatoludii na Ezekiel wenje
Sahihisho, mbunge wa Kigoma mjini anaitwa Peter Serukamba na siyo Peter Serugamba.
Umemsahau mbunge wangu Ole Medeye, huyu hata akipita bila kupingwa harudi.
Wanajamvi,
Kutokana na bunge letu kutawaliwa na ngojera na mipasho ni dhahiri kwamba kutakuwa na lundo la wambunge ambao hawatarudi bungeni 2015. Mfano hai wa kundi hili ni Juma Kamia, Shibuda, John Komba. Hawa ni maarufu kwa mipasho zaidi ya Khadija Kopa. Kwa heshima na taadhima naomba iongezeeni list hii ndefu. Kwa manufaa ya kuujuza uma ni vyema kutaja sababu zitakazopelekea kutokurudi kwao..!
Estet Bulaya na Kamata hawana majimbo mkuu.
Hata Kikwete na Kinana watakuwa wanakushangaa kwa maneno yako haya.Sugu mbeya mjini hatoludii na Ezekiel wenje
Hahahahaaa..... umeniacha hoi, kumbe Serugamba ndiyo jina linalomfit huyo jamaa, ambalo ndiyo limekaa kimagamba magamba?!Yaani serugamba ndo jina lake la kim a gamba
Mkuu fisi umeniacha hoi hahahaha
16. Sikonge (isomeke) Said Nkumba (?)
Hahahahaaa..... umeniacha hoi, kumbe Serugamba ndiyo jina linalomfit huyo jamaa, ambalo ndiyo limekaa kimagamba magamba?!
Hata Kikwete na Kinana watakuwa wanakushangaa kwa maneno yako haya.
35. Abdalah mteketa, kilombero
Kalaga baho!Unachokifanya wewe n ushabiki 2 hapo! watarud tena kwa kishindo
Shukuru Kawambwa na Komba wapo kwenye hiyo list ila Makinda hatagombea tena.