Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
Mgimwa wapo wawili Mahmoud Mgimwa na Godfrey Mgimwa Wewe unamaanisha yupi?
 
Tumwombe Mungu na kuchukua hatua kuwaunga mkono watumishi wa Mungu, Imani na Matendo inawezekana kuitoa ccm Madarakani, Wamemchukiza Mungu kiasi kikubwa Mno, Mfano Kuhujumu Roho za watu(mwangosi) Kuwafunga Vijana Wazalendo wenye Ujumbe Kwa Rais Kama vile Ni Wezi, Kisha kuwaongezea Wanachi Gharama ya Umeme ili wao wagawane Fedha (Escro) Akiwemo Rais
 
Mgimwa wapo wawili Mahmoud Mgimwa na Godfrey Mgimwa Wewe unamaanisha yupi?
Mkuu, mlengwa hapa ni Godfrey Mgimwa kwani huyu hata huo uchaguzi alipita kwa mbinde kurithi nafasi ya marehemu baba yake.
 
Umemsahau mbunge wangu Ole Medeye, huyu hata akipita bila kupingwa harudi.

Sijaona jina la mbunge mwenyeji wa wabunge inamaana yy kapiga kaz sana hadi atarudi? japo nasikia wenzake maccm wanamuandalia zengwe la kutoa ktk kula yamaoni.
 
mbona hujamtaja Mchungaji Msigwa. Mr II, na Lema au umewalenga wa CCM pekee

kati ya majimbo ambayo ni magumu na yanaumiza akili za wanasiasa basi ni Iringa mjini, Mbeya mjini na Arusha mjini.
 
Msigwa hana uwezo Wa kurudi, Iringa mjini ni Frederick Mwakalebela Tu. Msigwa ajiandae kwenda kuuza Sox as usual
 
Watu wa Dar hawaeleweki na hao jamaa wanaweza rudi japo ni wabovu ila Makongoro Mahanga hawezi rudi labda kwa ujanja ujanja tu.
Umesema kweli mkuu, ukiwategemea watu wa Dar ndiyo walete mageuzi hapa nchini, tunaweza hata kuyasubiria hayo mageuzi hata kwa miaka 100 ijayo!

Walioonyesha njia ni wananchi wa mikoani.

Wakazi wa Dar, hasa majimbo ya İlala na Kinondoni, wao miaka yote wamekuwa wakiendeleza hobby yao no 1, ambayo ni ushabiki wa SİMBA na YANGA, kwao wao mambo ya siasa, ni LUXURY İTEM!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom