Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,368
tena huyu inabidi kabisa afungiwe asigombee ubunge kwanza anadhalilisha nchi kucha kulala.
Pinda
ridhiwani
Lukuvi
Lowasa
Wasira
ZZK
Ndugai
Makinda
Malima Adam
Mgimwa
Mwigulu
Mrema
Rage
Ntukamazina
Almost 1/2 ya ccm hawarudi.
hamjatoa sababu wajumbeMkuu Ruttashobolwa , usisahau pia SUGU, yuko kwenye zama zake za mwisho za ubunge.
Zitto naye harudi awe chadema au ccm
Zitto wala hatagombea na ameahidi hilo tangu mwaka juzi.
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.
WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.
WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.
Uwenyekiti wa kamati ya Ufundi Bungeni utashikwa na nani sasaProf Maji Marefu
mbona hujamtaja Mchungaji Msigwa. Mr II, na Lema au umewalenga wa CCM pekee
mbona hujamtaja Mchungaji Msigwa. Mr II, na Lema au umewalenga wa CCM pekee
toa sababu
Hii ni orodha ya wabunge ambao endapo watathubutu kugombea ubunge hawawezi kuchaguliwa kutoka na ku-perform chini ya kiwango labda kwa hila ndio wanaweza kushinda katika uchaguzi mkuu ujao.
Hawa ndio wenyewe:
1.Assumpter Mshana
2.Hawa Ghasia
3.John Cheyo
4.Augustine Mrema
5.John Shibuda
6.John Komba
7.Prof.Msolla
8.Steven Wassira
9.William Lukuvi
10.Samweli Sitta
11.Makongoro Mahanga
12.Abbas Mtemvu
13.Job Ndugai
14.Job Lusinde
15.Richard Ndassa
16.Mbunge wa Sikonge
17.Ezekiel Maige
18.Andrew Chenge
19.William Ngeleja
20.Mfutakamba
21.Adam Malima
22.Aden Rage
23.Suleiman Nchambi
24.Said Arfi
25.Pro.Juma Kapuya
26.Mathayo David
27.John Chiligati
28.Shukuru Kawambwa
29.Mulugo
30.Prof.Maghembe
31.Hamad Rashidi
32.Mama Sitta
33.Lucy Nkya
34.Mgimwa
Hao ni baadhi ambao naamini hawawezi rudi bungeni baada ya uchaguzi mkuu na baadhi yao wataishia kushindwa kwenye kura za maoni tu.
mbona hujamtaja Mchungaji Msigwa. Mr II, na Lema au umewalenga wa CCM pekee