Msema yote
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 448
- 301
siipendi ccm lakini hapo kwa mwandosya umechemka! miuondombinu ya barabara, maji, shule, umeme hadi vijijini vinapatikana
Mkuu BARABARA ipi unayoizungumzia? Kama ni ya Tukuyu-Lwangwa unachekesha,, yani vumbi lote hilo utafikiri unapita jangwani,, UMEME shule gani? Lwangwa Sec. Vp kuhusu Bujesi, Mzalendo, Manow,Lwangaa Primary, Ikama,ndobo? Then jua kwa Mwandosya ni kijijini tene bush haswa,, sasa unaposema " maji, shule, umeme hadi vijijini vinapatikana" unamaana jimbo lake linaanzia mjini? Hahahahahahaha Tembea uone mengi, tembea uone Mwandosya asivofanya maendeleo ila anapendwa,, kaa ukijua anapendwa kwa sababu watu wa kule ni maskin wa kutupwa na hawajasoma hvo anawatawala atakavyo hivo kila akifanyacho wao huona ni kizuri,,