Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
mbona hujamtaja Mchungaji Msigwa. Mr II, na Lema au umewalenga wa CCM pekee

afu wewe bwana! yeye kasema listi yake sasa kama unaona na hao uliotaja wewe nao hawatarudi anzisha uzi wako, MCHINA WA KARIAKOO WEWE.
 
35.Halima Mdee
36. Emmanuel Nchimbi
37. Mathias Chikawe
38. Festus Limbu
39. Machali
40. Nundu
41. Prof Maji Marefu
42. Esta Bulaya
43. Mama Mng'ong'o
44. Vicky Kamata
 
35.Halima Mdee
36. Emmanuel Nchimbi
37. Mathias Chikawe
38. Festus Limbu
39. Machali
40. Nundu
41. Prof Maji Marefu
42. Esta Bulaya
43. Mama Mng'ong'o
44. Vicky Kamata
Mwache kabisa Mdee, Kura tutampa kama njugu vile
 
Nchambi Wa Kishapu,nitakuwa pande hizo kutoa kampani kwa UKAWA,hawezi toboa
 
35.Halima Mdee
36. Emmanuel Nchimbi
37. Mathias Chikawe
38. Festus Limbu
39. Machali
40. Nundu
41. Prof Maji Marefu
42. Esta Bulaya
43. Mama Mng'ong'o
44. Vicky Kamata

Estet Bulaya na Kamata hawana majimbo mkuu.
 
Zungu Ilala
Mtemvu Temeke
Idd Azan Kinondoni
 
Umemsau mzee wa uchukuzi, mwingine ni aliewahi kua wziri wa afya Mwakyussa, Zambi Mbozi mashariki, na yule wa Mbarali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom