Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.

WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.

WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.

Nawewe au ulifunga ndoa na zzk? maana naona umeumia sana pole
 
Mwandosya ametangaza hatagombea, makinda upinzani umekuwa mkubwa jimboni kwake,
 
Pinda
ridhiwani
Lukuvi
Lowasa
Wasira
ZZK
Ndugai
Makinda
Malima Adam
Mgimwa
Mwigulu
Mrema
Rage
Ntukamazina

Almost 1/2 ya ccm hawarudi.
 
Sisi jimbo letu la Ukonga limekuwa
wazi kwa miaka minne sasa, cha ajabu tume ya uchaguzi imekaa kimya kana
kwamba haijaliona hilo. Ila 2015 tunatarajia kupata mbunge.
sasi mbunge wa
mikumi hata jina lake nimelisahau huyu ndio nanga kabisaaa......harudi
harudi.
 
Yupo pia mzee wa palizi mara moja wapiga kura wa Mpwapwa wanamjua Gregory Teu
 
Hakuta kuwa na bunge kuanzia 2015,,, kutakuwa na masenator kutoka kila jimbo,,, na moja kwa moja watakuwa wanakaa na waziri Mkuu,, hao masenetor watakuwa mabosi wa wawakilishi wa mikoa yote tanzania, kila mkoa utakuwa na wawakilishi 4 hakuna Mkuu wa mkoa wala wawilaya,kazi itafanyika hivi na kutakuwa na wizara chache sana.... Tuache porojo inatakiwa watu wafanye kazi,, sio kuimba kuimba tu pasipo itekelezaji...
 
wasira nafasi yake anachukua bulaya. Prof mwandosya, lema, mrema hagombei tena, lukuvi 50 50.,
 
Eugen Mwaiposa huku ukonga 2015 hata akiwa peke yake bila mpizani,hakyaMungu naapa hawezi kupita


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
john komba naye harudi nafasi anachukua mama mmoja ambaye amekuwa mwiba kwake na anakubalika sana.
 
John mnyika kazi aliyotumwa haifanyi kazi yake yeye mjengoni ni kuomba miongozo na kutoa taarifa hajafanya mpango wowote unaoihusu ubungo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom