Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
Huyu aliyewaorodhesha akina Chenge,Lukuvi,Ndugai nk. amekusudia tu kusherehesha genge lakini ukweli ni kuwa hapo wengi tu watarudi;kwa akili yako unaweza kwenda Bariadi Magharibi na kushinda uchaguzi dhidi ya Chenge?au unaweza kumtoa Ndugai pale Mpwampwa?wakati mwingine ni vema watu mkue siyo kuandika tu vitu kishabiki
 
hata jf kuna member mizigo kweli ambao hawakustahili kuwa hai 2015 especially wale wa buku 7
 
Huyu aliyewaorodhesha akina Chenge,Lukuvi,Ndugai nk. amekusudia tu kusherehesha genge lakini ukweli ni kuwa hapo wengi tu watarudi;kwa akili yako unaweza kwenda Bariadi Magharibi na kushinda uchaguzi dhidi ya Chenge?au unaweza kumtoa Ndugai pale Mpwampwa?wakati mwingine ni vema watu mkue siyo kuandika tu vitu kishabiki

Ndugai ni wa jimbo la kongwa sio mpwapwa
 
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.

WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.

WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.[/QUO

bangeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
prof kahigi
mustapher akonaay
jitu son
kisyeri chambiri
idd azan
mussa azan
zitto kabwe
kebwe steven kebwe
ole medeye
ceril chami
aishi hilali
mary nagu
murtaza mangungu
bernand membe
jenista mhagama
donad marx
john magufuli
kagasheki
ndugulile
makongoro mahanga
etc
 
Jambo wakuu,,uhai wa bunge lakumi unaelekea mwisho, tumewaona na kuwasikia wabunge wetu unafkiri nani hastahili kurudi ktk bunge lijalo?????
 
Jambo wakuu,, uhai wabunge la kumi unelekea mwisho tumewasikia na kuwaona wabunge wetu unafikiri nani hastahili kurudi tena bunge lijalo!!?
 
Jambo wakuu,, uhai wabunge la kumi unelekea mwisho tumewasikia na kuwaona wabunge wetu unafikiri nani hastahili kurudi tena bunge lijalo!!?
Wote wa ccm
 
Assumpta Mshama - Nkenge
John Komba - Nyasa
Ridhiwani Kikwete - chalinze
maji marefu - korogwe vijijini
 
Tutaje hapa majimbo ambayo ungependa yaende upinzani mnamo October 2015.

Naanza na ---RORYA.
Unaposema majimbo yatakayoenda upinzani taja kwanza chama kitakachokuwa tawala October 2015 ili tujue sasa majimbo gani yanatakiwa yaende kwenye chama cha upinzani.Nasema hivo kwa sababu chama unachowaza wewe kama kitakuwa chama tawala kinaweza kikawa ndiyo chama cha upinzani October 2015 ama kile unachoona ni chama cha upinzani kinaweza kikawa ndiyo chama tawala kwa hiyo fafanua kwanza kabla hatujaanza kuchangia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom