AndrewMwanga
Member
- Jan 9, 2009
- 37
- 1
Sifa kubwa ya Ufalme unaofitinika ni kufanya mambo yanasababisha kuanguka kwa ufalme huo bila kujua. Hii inanikumbusha kisa cha Mfalme Nero wa Rumi (Roma) wakati Ukristo uliposhika kasi huko Italia. Baada ya kuwatafutia kila sababu ya kuwaangamiza na kuona kuwa haimsaidii bali unaendlea kwa kasi, aliamua kuuchoma moto Mji wa Roma na kuwasikingizia Wakristo kuwa ndiyo waliofanya kitendo hicho cha aibu. Lakini hatimaye Wananchi wakaamua kumgeuka na kumkimbiza kama mwizi na hatimaye kummaliza na hiyo ndiyo people power.
Nachokiona hapa ni kuwa lazima kuan watu ndani ya Serikali wanampinga JK kwa nguvu zote na wanafanya vitendo vya aibu ili kumuaibisha na kumdhalilisha JK mbele ya Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa, JK akiwaonea aibu basi ajue ni kwa hasara ya ufalme (utawala) wake mwenyewe. Lazima awatafute na kuwawajibisha watu hao waliofanya vitendo vya kuudhalilisha utawala wake na kuipaka nchi matope.
Kama wanatumia njia kama hizo waelewekeje?Unachosema gembe ni kweli yaani kwa dunia hi ya sasa ilivyoendelea watu watumie njia butu kama hizo kumnasa mtu ?
Unachosema gembe ni kweli yaani kwa dunia hi ya sasa ilivyoendelea watu watumie njia butu kama hizo kumnasa mtu ?
Kama wanatumia njia kama hizo waelewekeje?
Napenda kutoa maagizo sababu maagizo ndiyo yanayofaa siku zote.Enzi za Mwalimu watu walikuwa wakipewa maagizo na kuyatekeleza ila kwa saasa watu wengi wameuwa wakifanya wanavyotaka wao bila kutekeleza maagizo.
Inawezekana ni tabia yako au ya mwingine kutopenda Maagizo.
Invisible nimekusoma Mkuu,Nilitumia jina lako makusudi ili kuweka mambo sawa sababu wachangiaji waliokuwa wakifuatilia mtiriko kutoka kwako hadi kwa Mzee Mwanakijiji walikuw akienda nje kidogo ya jambo lenyewe!
Utajuaje? alafu naona hoja zako zimejaa jazba na kutokuelewa....ni kutumia akili ndogo tu sio lazima uwe cheti cha darasa la 7 kuelewa.....kwa hiyo unasema Dr slaa kazuga nini? kajiwekea ving'amuzi hivyo?Kwa jinsi TEchnolojia ya mawasiliano ilivyo kwa sasa.Kama unataka kujua Dr. Slaa anawasiliana na nani ni rahisi sana..Very easy!
Hiyo ni zuga tu.Hakuna kitu
Mkuu Balantanda,Kwa vile Dk Slaa anaonekana muda hu yumo humu ndani ya JF(anaonekana yupo online) ni vema akatupa japo kiduchu ni nini kilijiri ndani ya chumba chake pale Hotel 56...Mkuu Dk Slaa tunakuomba ututegulie kitendawili hiki maana wewe ndo unajua nini kilitokea...Maana kilichopo sasa ni kwamba kila mtu anaongea chochote anachokijua katika kuchangia habari hii...Tueleze mkuu maana hapa ni JF 'where we dare to talk openly'
Kwa jinsi TEchnolojia ya mawasiliano ilivyo kwa sasa.Kama unataka kujua Dr. Slaa anawasiliana na nani ni rahisi sana..Very easy!
Hiyo ni zuga tu.Hakuna kitu
nimebakiwa na masaa 6 namsubiri atufafanulie......karibu DrMkuu Balantanda,
Uwezekano wa Dr.Slaa kusoma haraka kuanzia mwanzo mpaka tulikofikia sijui kama ni mkubwa kiwango hicho. Wewe waweza kusoma kwakuwa ulianza kusoma kabla yake lakini naye anahitaji muda aone wapi tumeenda visivyo na kutupa ukweli wa habari yenyewe.
Karibu Mhe. Slaa
Mkuu Balantanda,
Uwezekano wa Dr.Slaa kusoma haraka kuanzia mwanzo mpaka tulikofikia sijui kama ni mkubwa kiwango hicho. Wewe waweza kusoma kwakuwa ulianza kusoma kabla yake lakini naye anahitaji muda aone wapi tumeenda visivyo na kutupa ukweli wa habari yenyewe.
Karibu Mhe. Slaa