Wabunge Dr. Slaa na Dr. Tarab wafanyiwa umafia!

Labda ni mtazamo na matatizo yangu binafsi, lakini wivu juu ya uwezo wa mtu kwa kitu ambacho si nje ya mwili, yaani anacho kichwani, mikononi, miguuni au sehemu yoyote katika mwili si kitu chema wala cha kufurahia. Maana hata ukifanya vipi huwezi hata kuongeza urefu wa hata nywele yako.

Lakini kwa upande wa pili, wivu juu ya vitu vipatikanavyo nje ya mwili yaani magari, website au mali kwa ujumla si mbaya sana maana ukiutumia vema unakuletea maendeleo.

Nisivuruge mada, natanguliza samahani, huu ni mtazamo tu!
 
Hata mimi namwona Dr. Slaa online. Au usikute ameshau ku log out???? so anaonekana kumbe angali yupo mbali??? Cha msingi wamfanyie mafyoso yote lakini wasiutoe uhai wake. Siku zote tunahitaji chachu au changamoto ndipo mijadala inaweza kupamba moto kama ilivyo kwa sasa pale Bungeni. Ila tu ni kwamba wote ambao wanaleta challenges kwa serikali ni vema wawe makini sana na maisha yao. Wawe selective katika maeneo mengi (marafiki, places, etc) Every time waishi kama vile unahisi jambazi tena la silaha lipo nyuma yako na immediately unataka kujihami nalo. I shed tears when I remember heros like Horace Kolimba, Balali (angetusaidia sana katika kupata ukweli EPA na twin tower), Dr. Fupi (I hope wengine mtakumbuka sakata la vyakula vibovo - enzi hizo). Dr. Slaa be carefully, na wengi tunakuombea uishi maisha marefu. Si lazime uwe Rais na Chama chako bali tunataka challenging ideas kama za kwako. Keep it up.
 
yalikuja mambo ya uchawi bunge yakakuzwa kweli kweli taarifa ya mkemia mkuu ikiwa unga wa mahindi eehheeeh!!!!!

Naamini serikali ya ccm inasimamia vyema utawala wa sheria hivyo tusubiri taratibu na hatua zinazochukuliwa na zitakazo chukuliwa na taasisi husika za serikali.

Mkuu AMwanga

Umesoma maoni ya wana jf tangu mwanzo? Wapo wenye mashaka kwamba waliopandikiza vipaza hivyo yawezekana wakawa ndo hao wakawa wamekwenda kufanya uchunguzi! Ndio, nchi hii lipi lisilowezekana!

Uliridhika na namna uchunguzi wa uchawi bungeni ulivyoendesha, rejea kauli ya RCO Dodoma kabla ya uchunguzi ule, ilishatoa hukumu kuonyesha madai ya uchawi yalikuwa uzushi hata kabla ya uchunguzi wa Mkemia Mkuu!

Kwa hali ilivyo ni mtawala yupi ndani ya CCM mwenye mapenzi na SHUJAA Mh Slaa?

Wenye dukuduku na uchunguzi na vyombo vya Dola acha watoe dukuduku lao! Ulikuwa wapi TAKUKURU ilipowasafisha waliokuja kuchafuka baada ya tume huru. Si kilikuwa chombo cha Umma!!! Acha watu watoe dukuduku lao!!!!

Dr Slaa keshashinda na ataendelea kushinda, cha kutia moyo Watanzania wote wako pamoja naye.
 
Panapofuka moshi...

Kuhusu kutumia tech iliyopitwa na wakati ni swala la muhimu katika intel kwani wengi wanakuwa hawakumbuki yaliyopita.

Pia tukumbuke ajali ya Chacha, same method cant be applied in short range.

Tufumbue macho na masikio ili tupate sikia na kuona mwelekeo wa hili jambo.
 
What if, tumeamka asubuhi hii na kusikia kuwa Dr. Slaa kafanyiziwa unyama chumbani kwake? Nina uhakika kuna watu watasema hapana "Dr. Slaa alikuwa anajaribu kutuzuga mambo yakaenda kombo"!
f. Kuna watu ati wanata kujua ni nani alimtonya Dr. Slaa kuhusu vifaa hivyo. Ati wakijua ndiyo wataamini! HIvi wanatuchukuliaje sisi. Anayetaka kujua ni nani alimuambia Dr. Slaa kuhusu bugs hizo niandikie PM nitakudokeza na wewe usimwambie mtu.
Achana na Gembe ng'ombe wake hawajarudi zizini
 
Wana JF , kwa taarifa tuu ni kuwa juzi kuamkia jana kuna mtu alimpelekea chupa ya wine na kuipeleka hotelini na akajitambulisha kuwa ni ndugu yake ila hakutaka kutaja jina .

Dr.Slaa alipofika pale mapokezi akapewa huo mzigo wake na wahudumu wa hotel na alipojaribu kufikiria ni nani ambaye ni ndugu yake anayeweza kumletea wine bila hata kumjulisha akasita na akawaomba waendelee kumuhifadhia hapohapo mapokezi.

N a jana akapiogiwa simu na mtu ambaye hakutaka kujitambulisha na kumwambia kuwa chumbani mwake kumewekwa vitu , japo kuna wasiwasi kuwa ni vya aina gani kwani wengine tunaweza kufikiri ni vinasa sauti tuu kumbe ni radiations za kummaliza mzee wa watu.

Hili jambo ni kubwa kuliko tunavyoweza kulifikiria na kulichukulia .
 
RCO wa Dodoma anasema eti mpaka sasa hajakamatwa mtu yeyote kuhusiana na tukio hilo ,Ila anasema kuwa wameweza kugundua kuwa vifaa hivyo havikuwa bomu ila wameshindwa kutambua ni vifaa gani na wanavipeleka makao makuu ya jeshi kwa ajili ya kwenda kufanya utambuzi wa vifaa hivyo.

Maswali ya kujiuliza;
1.Aliyepokea wine mbona hajahojiwa ililetwa na mtu wa aina gani?
2.Aliyekuwa zamu reception jana kwenye hotel ni nani na kwa nini hajahojiwa?
3.Mwenye hoteli hajaulizwa wala kutakiwa kutoa maelezo mpaka sasa wanataka kuja kutuambia nini?
4.Hali hii inaweza kuwakumba wangapi? nani yupo salama?
 
Wana JF , kwa taarifa tuu ni kuwa juzi kuamkia jana kuna mtu alimpelekea chupa ya wine na kuipeleka hotelini na akajitambulisha kuwa ni ndugu yake ila hakutaka kutaja jina .

Dr.Slaa alipofika pale mapokezi akapewa huo mzigo wake na wahudumu wa hotel na alipojaribu kufikiria ni nani ambaye ni ndugu yake anayeweza kumletea wine bila hata kumjulisha akasita na akawaomba waendelee kumuhifadhia hapohapo mapokezi.

N a jana akapiogiwa simu na mtu ambaye hakutaka kujitambulisha na kumwambia kuwa chumbani mwake kumewekwa vitu , japo kuna wasiwasi kuwa ni vya aina gani kwani wengine tunaweza kufikiri ni vinasa sauti tuu kumbe ni radiations za kummaliza mzee wa watu.

Hili jambo ni kubwa kuliko tunavyoweza kulifikiria na kulichukulia .

Mkuu unaonekana una far current news! ebu twambie, hao polisi, usalama wa taifa wamecomment nini baada ya kufanya uchunguzi wao?
 
Nyie mnazunguka tu.. hivyo vifaa viliwekwa hapo ili kuua mbu! Na havikuwekwa na mtu yeyote wa dunia hii bali kikundi cha watu kutoka Sayari ya Zuhura!
 
Habari hizi zinashtua.
LAKINI,
Tusiwaze upande mmoja wa kuwekewa tu.
Waweza pia kujiwekea wenyewe ili kujiongezea umaarufu.
 
Wana JF , kwa taarifa tuu ni kuwa juzi kuamkia jana kuna mtu alimpelekea chupa ya wine na kuipeleka hotelini na akajitambulisha kuwa ni ndugu yake ila hakutaka kutaja jina .

Dr.Slaa alipofika pale mapokezi akapewa huo mzigo wake na wahudumu wa hotel na alipojaribu kufikiria ni nani ambaye ni ndugu yake anayeweza kumletea wine bila hata kumjulisha akasita na akawaomba waendelee kumuhifadhia hapohapo mapokezi.

N a jana akapiogiwa simu na mtu ambaye hakutaka kujitambulisha na kumwambia kuwa chumbani mwake kumewekwa vitu , japo kuna wasiwasi kuwa ni vya aina gani kwani wengine tunaweza kufikiri ni vinasa sauti tuu kumbe ni radiations za kummaliza mzee wa watu.

Hili jambo ni kubwa kuliko tunavyoweza kulifikiria na kulichukulia .

RCO amechukua huo mvinyo? hiyo ni moja ya clue muhimu.
 
Mkuu AMwanga

Umesoma maoni ya wana jf tangu mwanzo? Wapo wenye mashaka kwamba waliopandikiza vipaza hivyo yawezekana wakawa ndo hao wakawa wamekwenda kufanya uchunguzi! Ndio, nchi hii lipi lisilowezekana!

Uliridhika na namna uchunguzi wa uchawi bungeni ulivyoendesha, rejea kauli ya RCO Dodoma kabla ya uchunguzi ule, ilishatoa hukumu kuonyesha madai ya uchawi yalikuwa uzushi hata kabla ya uchunguzi wa Mkemia Mkuu!

Kwa hali ilivyo ni mtawala yupi ndani ya CCM mwenye mapenzi na SHUJAA Mh Slaa?

Wenye dukuduku na uchunguzi na vyombo vya Dola acha watoe dukuduku lao! Ulikuwa wapi TAKUKURU ilipowasafisha waliokuja kuchafuka baada ya tume huru. Si kilikuwa chombo cha Umma!!! Acha watu watoe dukuduku lao!!!!

Dr Slaa keshashinda na ataendelea kushinda, cha kutia moyo Watanzania wote wako pamoja naye.
Slaa hawezi kuupata Uraisi wa Tanzania kwa sasa kwani Kikwete na Pinda wote wameshasema hadharani kuwa wapinzani wasitegemee kuchukua serikali kwa njia ya kura kwa maana akiambiwa mmoja ndio wameambiwa wote ,haiwezekani wawaelekezee kidole watu wa Zenji peke yao,au huku ndio mshaonekana hata dalili za kuichukua serikali hakuna ?
Napenda muwe waangalifu sana na maneno ya Kikwete na Pinda ,Kikwete alisemea Unguja na Pemba na Pinda ametamka hadharani hapo Bungeni.
 
Jamani tuache kujaza habari humu. Slaa atakuja maliza kusoma kesho. Hebu tumpe muda asome na afikie huku mwisho na aseme maoni yake. Sasa haya ya wine imeletwa na Belzaburi wa Malaika wa ngapi huko ni kumuongezea tu kurasa. Anyway hayo ni maoni/ombi langu na si la wote. Dr. Slaa twakusubiri .......
 
Back
Top Bottom