Ningependa kujua bei yake bandugu, kwa pesa za madafu. Nadhani nikisaini mkataba mmoja feki naweza kuvuta nikawa nami napaki Sisiem
Dah! Ebwana nomaaa! There are people who are living and there are people who are just surviving! Amini huu usemi nakwambia. Majority of us are just surviving na vi vitz vyetu vya mikopo ambavyo haya home hatuwezi kuvi park tunapark ccm.
e bana eeeeeeehhhh daaah hahaaa.. hiyo ngoma hata used ni balaa wazee..!
hii kitu inafika mpaka M 80 bila kodi. google price list utaona.
Jamani hilo Vogue ni Shs Ngapi mpk ninaingia barabarani?
2peni data hizo
Hongera kwa hilo Faiza
Ukiondoka Dar saa 12 asubuhi, saa 10.00 uko Rocky city !!!
We kweli zuzu.Used??? Used lini sasa?
Ukiondoka Dar saa 12 asubuhi, saa 10.00 uko Rocky city !!!