Wabongo na magari ya kifahari-evoque

Semeni MashAllah. Msikihusudu bure kigari changu cha kupelekea mjukuu nursery.
 
Watanzania ni zaidi ya tujijuavyo hapo utakuta mashemeji,babu bibi kijijini wanalia njaa kuna raha gani?kwa wengine acha iendelee kuwa fahari ya macho.


Ningependa kujua bei yake bandugu, kwa pesa za madafu. Nadhani nikisaini mkataba mmoja feki naweza kuvuta nikawa nami napaki Sisiem
 
Kila mtu ana namna ya ku-enjoy kulingana na pesa zake. Mi bado sijawa na pesa nyingi but power is my thing! I'll really love to have a car with a very powerful engine especially for loger journeys!
 
Dah! Ebwana nomaaa! There are people who are living and there are people who are just surviving! Amini huu usemi nakwambia. Majority of us are just surviving na vi vitz vyetu vya mikopo ambavyo haya home hatuwezi kuvi park tunapark ccm.

Mkuu, nakubaliana na wewe 100%
 
mimi simo. mpaka unachangia uzi huu nawe mwizi. mimi nilichekwa siku moja naichukulia benzi(macho ya panzi) nalithaminisha na mark tu. kisa zinafanana, wengi tunaziita TAX. Nilichekwa sana. kwa mijadala ya magari sina cha kusema, kwani hata baiskeli ya kubadili gia, naona ni anasa tu
 
Kitu cha ukweli...Hicho...nimependa uwezo wa engine yake kula mafuta....2.5 ni ya ukweli hizi zetu za 4.0 zinafaaa tu high way ambako unakimbia more 100kp/h ndio uta enjoy...

Ingawa wakati mwingie ukitaka gari zuri na powerfulll kwa mazingira ya kibongo bongo usifikiri kuhusu mafuta...just buy a car.
 
Ukiondoka Dar saa 12 asubuhi, saa 10.00 uko Rocky city !!!

Spped limit ya Tanzani 100Kph max. na mabumos yalioko njiani, hususan yale ambayo hayajaenda shule, ni dereva mzembe tu atayeamua kwenda speed kama yuko kwenye autobahn.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom