Wabongo na magari ya kifahari-evoque

Wabongo na magari ya kifahari-evoque

TGS D

Senior Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
114
Reaction score
13
evoque.JPG

Picha kwa hisani ya mdau. Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
 
Ebana ee.....kitu ya ukweli...possible only one in town...wakati unalia shida uiseme hakuna hela....sema sina hela. na pia jiaminishe kuwa Tanzania sio nchi masikini....
 
Dah! Ebwana nomaaa! There are people who are living and there are people who are just surviving! Amini huu usemi nakwambia. Majority of us are just surviving na vi vitz vyetu vya mikopo ambavyo haya home hatuwezi kuvi park tunapark ccm.
 
e bana eeeeeeehhhh daaah hahaaa.. hiyo ngoma hata used ni balaa wazee..!
 
[TABLE="class: infobox hproduct"]
<tbody>[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Manufacturer[/TH]
[TD="class: brand"]Land Rover[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Production[/TH]
[TD]July, 2011
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Assembly[/TH]
[TD]Halewood, England[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Class[/TH]
[TD="class: category"]Compact crossover SUV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Body style[/TH]
[TD="class: category"]3-door SUV
5-door SUV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Layout[/TH]
[TD]F4 layout
FF layout[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Engine[/TH]
[TD] 2.0 L I4 petrol 240 hp (180 kW)

2.2 L I4 diesel 150 hp (110 kW) / 190 hp (140 kW)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Transmission[/TH]
[TD] 6-speed automatic

6-speed manual[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Wheelbase[/TH]
[TD]2,660 mm (104.7 in)[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Length[/TH]
[TD] 3-door: 4,355 mm (171.5 in)[SUP][1][/SUP]

5-door: 4,365 mm (171.9 in)[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Width[/TH]
[TD]1,965 mm (77.4 in)[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Height[/TH]
[TD] 3-door: 1,605 mm (63.2 in)[SUP][1][/SUP]

5-door: 1,665 mm (65.6 in)[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Kerb weight[/TH]
[TD]1,670 kg (3,680 lb)[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Related[/TH]
[TD]Land Rover Freelander[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Designer[/TH]
[TD]Gerry McGovern
[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

Range Rover Evoque - Wikipedia, the free encyclopedia


Hii kitu imekuwa released for 2012!

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
 
This thing is 2.0 ? Nilisoma review yake a few weeks back kwenye WSJ walili diss kwanza, halafu wakajirudi kusema that was just being over critical.
 
This thing is 2.0 ? Nilisoma review yake a few weeks back kwenye WSJ walili diss kwanza, halafu wakajirudi kusema that was just being over critical.

Nilidhani utakuja na nyepesi nyepesi za matumizi yake ya nishati na mzigo wake kwa mazingira
 
Nilidhani utakuja na nyepesi nyepesi za matumizi yake ya nishati na mzigo wake kwa mazingira

Naona mzee gaijin uko na jamaa yako jino kwa jino hadi nje ya uwanja... Teh teh!
 
It was my dream car in 2009, niliposkia wanatengeneza. wakati ule website ya LR ilikua inatangaza sana!
Ila sasa naiangalia tu... it is a nice car but...
 
Nilidhani utakuja na nyepesi nyepesi za matumizi yake ya nishati na mzigo wake kwa mazingira

Unaweza kuwapiga wadau guilt trip tupu katika ndoto zao za kumiliki S-Class ya 5.5.

Ila nimependa sana Range Rover walivyoifanya 2.0, yaani unaendesha halafu unakutana na tree hugger mmoja anaanza ku preach unamwambia kimkebe chako kinaunguza wese kuliko dude langu.

Kwa safari hizi za mijini kwenye nchi zenye mikeka hizo 5.5 kuchoma hela na kuharibu mazingira tu.

Oops, nishaanza ku preach.
 
Naona mzee gaijin uko na jamaa yako jino kwa jino hadi nje ya uwanja... Teh teh!

Hahaha mpaka kieleweke wanasema! 😛

Tunataka tupewe habari zilizotimia sio tunambiwa wali criticize bila ya kupewa walisema nini

@Mani
Mie nasubiri maelezo yanayohusu mazingira kwanza
 
Back
Top Bottom