wabongo mpunguze unene

subiri utakapoanza kupumua juu juu kama chura ndo utajua kama manyama uzembe yanalipa au vipi

he!he!he!....dah! We mtoto mbona huna adabu, sikiliza BADILI TABIA kama unaumwa pole sana sikuizi vinatafuna hadi mifupa maana nimekuona leo asuhuh,do unatia huruma
 
Last edited by a moderator:
he!he!he!....dah! We mtoto mbona huna adabu, sikiliza BADILI TABIA kama unaumwa pole sana sikuizi vinatafuna hadi mifupa maana nimekuona leo asuhuh,do unatia huruma

umeniona wapi?
Wenzio uziti wetu unaendana na urefu wetu, we endelea kufyatuka hadi upasuke
 
Last edited by a moderator:
unakuta mtu dukani dakika mbili kutoka nyumbani kwake basi anachukua gari badala ya kutembea, wakiwa maofsini akitaka kwenda ghorofa ya pili kutoka ya kwanza anasubiri dakika 5 lift ije wakati angeweza kupanda ngazi. Mafuta mengi mwilini yanaleta magonjwa mengi hasa ukubwani. Tuache uvivu.

lifestyle yetu ndio inayotuponza, hapa ndani ukiuliza wanaotembea angalau nusu saa kika siku ni wangapi utashangaa, hakuna jogging wala mazoezi, tunajua kula tu
 
vip dozi unaendelea nayo maana wewe ni UWEZO,zingatia masharti ya dawa mwili utarudi japo si wote...teh!teh!..

@ruhazwe inaelekea hii topic imekuumiza sana.
Kama ni huo ugonjwa unaouzungumzia usidhani mabonge wamenusurika ndugu yangu, utamfuata mtu bonge ukidhani upo salama kumbe huko ndo kuna moto.......

Na 'dozi' hufanya mtumiaji kufutuka.........

Pamoja na yote hayo nakushauri uipende na kuijali afya yako, chini ya jua yote yanawezekana, hakikisha unakula chakula bora na si bora chakula, maintain uzito wako.....
 
Sasa kama ni mstaarabu ina maana ww ndo umekosa ustaarabu?
Pole mwaya, uachage kupanda yutong. Mie nanenepa mwenzio manake bila minyama uzembe Paw atanirudisha kwetu kwa kukosa shukrani.
ila bonge ni bonge la mstaarabu hadi noma
 
inabidi uzoee tu my dear BADILI TABIA,
bongo watu kunenepa ni kama sifa fulani hivi,
kuepuka kero za kuwekewa mikono mapajani na watu majibonge inabidi utafute kausafiri kako uachane na usafiri wa jumuiya.
 
Last edited by a moderator:
@ruhazwe inaelekea hii topic imekuumiza sana.
Kama ni huo ugonjwa unaouzungumzia usidhani mabonge wamenusurika ndugu yangu, utamfuata mtu bonge ukidhani upo salama kumbe huko ndo kuna moto.......

Na 'dozi' hufanya mtumiaji kufutuka.........

Pamoja na yote hayo nakushauri uipende na kuijali afya yako, chini ya jua yote yanawezekana, hakikisha unakula chakula bora na si bora chakula, maintain uzito wako.....

BADILI TABIA unategeme utanenepa wapi mlo wako wenyewe wa magumash,chai kwa pera kulala unalala chini,malazi ndio usiseme hv yale majipu yako yanaendeleaje?....
 
Last edited by a moderator:
weeeeeeeeeeeee......uniache tena uniache kabisaaaa...unataka niambiwe nna ngoma au nimeishiwaa? Heee! Unantakia mema kwel?
 
badADILI TABIA usiwaone wivu wenye miili yao,kama wewe ni kimbaumbau kama betina ujue wewe ni mwongoni mwa watu wanao jipiganji hadi mwili,huo ni ubaili au malazi ya upungufu wa kinga mwilini.

hiki ni kikabila gani?....
 
Last edited by a moderator:
unakaa kwenye bus na mtu mnene kama tufe, mpaka tunachoreana mstari,mambo gani haya!

Mifuta na minyamanyama yote hiyo ya nini?
Unene sio sifa, eboo

By the way hakuna mwanadamu mwembamba, ni shida tu ndio zinafanya watu wakonde. We mwenyewe ukiwekwa katika mazingira ambayo ni 'mwafaka' utanenepa tu, hata kama unakula chakula kwa level ya kisosa mara moja kwa siku

Mkuu hiyo ni kweli lakini kwa Tanzania tu,
Nchi tajiri watu maskini na wenye matatizo ndio wanaonenepeana.
 
Back
Top Bottom