wabongo mpunguze unene

unakaa kwenye bus na mtu mnene kama tufe, mpaka tunachoreana mstari,mambo gani haya!

Mifuta na minyamanyama yote hiyo ya nini?
Unene sio sifa, eboo

Hapo umewaambia wabongo tu wapunguze. Je ingekuwa umekaa na Mkenya au Mganda au Mzungu usingeboreka ee? Au unene wa wabongo ndo unaboa sana?
 
mmmhuu BT unachapiaje leo?...hebu soma comment zako zote...l.o.l!kweli huyo bonge kakupanikisha!

hahaaahhaaa BAGAH hii simu inaniumbua, inataka kila mtu ajue kama ni mpya, bonge hajanipanikisha, nimeamua kukubali hali halisi, akijitanua tu namwambia kuwa hii siti na mie nimelipia.......ila bonge ni bonge la mstaarabu hadi noma
 
Last edited by a moderator:
Hapo umewaambia wabongo tu wapunguze. Je ingekuwa umekaa na Mkenya au Mganda au Mzungu usingeboreka ee? Au unene wa wabongo ndo unaboa sana?

wakenya na wazungu mie nitawaonea wapi? Afterall watz ndo wenzangu heri tuimarishe afya
 
Life is too short to waste time hating anyone.........by preta

sio swala la 'hating anyine hapa' kwa nini nikae **** moja arusha hadi dar? Kisa mtu atadhani nina chuki? Kama atafikiri nina chuki heri afikiri hivyo kuliko kusafiri kwa taabu
 
Hii sredi iko chit chat lakini ndo ukweli wa mitazamo ya wa tz wengi,eti unene unaonyesha uko safi, aa wapi !!. Asee mi na ndugu ya bonge ikitokea shida ya haraka gari likakosa seat bora apotezee safari. Kusimama 15 mins kwake ni adhabu tosha. Mi kama ni safari ndefu tunachukua seat tofauti.

unaona taabu yake sasa?
Ndo maana enzi za usafiri wa vipanya makonda walikuwa hawawataki....

Lakini chenye hatazri zaidi ni afya yake...... Ipo hatarini
 
nipo kwenye diet lakini

safi sana Smile, ukiifuata vyema utapungua.

Hata mie kuna kipindi nilinenepa, nikaamua kufahya diet na kutembea kika siku jioni, sasa hivi natakiwa nipunguze kilo 5 tu ili nifikie uzito unaostahili kwa urefu wangu
 
Last edited by a moderator:
hahaaahhaaa BAGAH hii simu inaniumbua, inataka kila mtu ajue kama ni mpya, bonge hajanipanikisha, nimeamua kukubali hali halisi, akijitanua tu namwambia kuwa hii siti na mie nimelipia.......ila bonge ni bonge la mstaarabu hadi noma

hahahahahaa.. BADILI TABIA umetisha...sim umechukulia mkopo kabisa...lolest...kitu touch nini?....afu madole mapana basi yanagusa herufi yoyote tu...uwiii...
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaa.. BADILI TABIA umetisha...sim umechukulia mkopo kabisa...lolest...kitu touch nini?....afu madole mapana basi yanagusa herufi yoyote tu...uwiii...

hahahaaaa BAGAH mboba unagusa penyewe mkuu, madole kama vichana vya ndizi kila nikikenga herufi nagusa ya pembeni kazi kweli kweli hahaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom