wabongo mpunguze unene

Sasa kama ni mstaarabu ina maana ww ndo umekosa ustaarabu?
Pole mwaya, uachage kupanda yutong. Mie nanenepa mwenzio manake bila minyama uzembe Paw atanirudisha kwetu kwa kukosa shukrani.

@ustaarabu wake hauna maana hanibani.......
Sirudii tena kupanda yutong, ila bahati nzuri nimefanikiwa kuhama seat, basi lilikuwa halijajaa
 
By the way hakuna mwanadamu mwembamba, ni shida tu ndio zinafanya watu wakonde. We mwenyewe ukiwekwa katika mazingira ambayo ni 'mwafaka' utanenepa tu, hata kama unakula chakula kwa level ya kisosa mara moja kwa siku

Hivi baba wa taifa alikuwa mnene vile? Obama, Bush, Clinton nao vipi?
 
By the way hakuna mwanadamu mwembamba, ni shida tu ndio zinafanya watu wakonde. We mwenyewe ukiwekwa katika mazingira ambayo ni 'mwafaka' utanenepa tu, hata kama unakula chakula kwa level ya kisosa mara moja kwa siku

sio shida zinatufanya tunenepe? Maana hatuli chakula bora, tunakula bora chakula....
 
weeeeeeeeeeeee......uniache tena uniache kabisaaaa...unataka niambiwe nna ngoma au nimeishiwaa? Heee! Unantakia mema kwel?

haya endelea kunenepa mpaka ufanane na katembo kadogo.....
 
BADILI TABIA unategeme utanenepa wapi mlo wako wenyewe wa magumash,chai kwa pera kulala unalala chini,malazi ndio usiseme hv yale majipu yako yanaendeleaje?....

baada ya wewe kuhama tu ugonjwa wa majipu ukaniisha, tatizo yale mashuka yako ulokua unaniazima, vipi wewe ushapona?
 
Last edited by a moderator:
inabidi uzoee tu my dear BADILI TABIA,
bongo watu kunenepa ni kama sifa fulani hivi,
kuepuka kero za kuwekewa mikono mapajani na watu majibonge inabidi utafute kausafiri kako uachane na usafiri wa jumuiya.

mmmmmh itabidi nitafute kandege kangu.....acha niombe kazi bot
 
Last edited by a moderator:
Ifike wakati viti vya basi viwe kama vya ndege. Hata uwe na ubonge kiasi gani huwezi ingilia siti ya mwenzio maana ukishusha ile sehemu ya kupumzishia mikono atabanana huko kwake peke yake.
 
unakaa kwenye bus na mtu mnene kama tufe, mpaka tunachoreana mstari,mambo gani haya!

Mifuta na minyamanyama yote hiyo ya nini?
Unene sio sifa, eboo

Ukisema hivyo unakuwa unakosea wangu maana kila mtu ameumbwa kwa sura na mfano wake Mungu kwa hiyo ukimdharau mwenzako au kumponda ujue unamponda yule aliyemuumba. Kumbuka sio wote wanaojisababishia unene wengine wameumbwa hivyo na wangetamani kama wangekuwa kama wewe. Hivi ikitokea siku nikakutana na wewe njiani halafu nikaja kukuanzishia thread kuwa BADILI TABIA ana miguu kama mishikaki ya kuku au kama stendi ya kiti ungejisikiaje? Umenisikitisha sana mtu wangu na maneno yako maana hata username unayotumia haiendani na hayo unayoyasema.
 
swala hapa ni unene, na unavyojibeheve halina uhusiano na dharau au uumbwaji. Haiwezekani ukalie siti yote bila kutafuta means ya uliyekaa nae.....simply because umekaa dirishani yanayoendelea pembeni hayakuhusu

ikinikera nitasema regardless na ID yangu,
 
Last edited by a moderator:
Ifike wakati viti vya basi viwe kama vya ndege. Hata uwe na ubonge kiasi gani huwezi ingilia siti ya mwenzio maana ukishusha ile sehemu ya kupumzishia mikono atabanana huko kwake peke yake.

gud idea, tatizo mabasi yetu ya kichina haya hayaangalii hivyo......ingawa unaweza kusogeza kiti kidogo lakini nafasi ni finyu hivyo haisaidii sana....
 
swala hapa ni unene, na unavyojibeheve halina uhusiano na dharau au uumbwaji. Haiwezekani ukalie siti yote bila kutafuta means ya uliyejaa nae.....simply because umekaa dirishani yanayoendelea pembeni hayakuhusu

ikinikera nitasema regardless na ID yangu,

hapa ni kweli hela unalipa sawa utakuta mtu tena anajitanua zaidi mwingine unabaki kuning'iniza **** tu
 
we acha tu ndugu yangu, kuna trip moja nilienda dodoma, nilipanda shabiby yutong....... Nilijuta, mbaya zaidi bus lilikuwa limejaa jirani yangu alikuwa mbaba na mwili wake wa maana.........
Imagine siti za yutong zinavyobana(pamoja na kusogeza kiti haikusaidia) nikaishia kukaa **** moja, huku mkono wa kulia umeshika kiti cha jirani ili kubalance kufika morogoro tu nilikuwa hoi..........
Ndo maana jana nililalama, na nilifanikiwa kupata siti nyingine maana bus lilikua halijajaa......

Sasa imagine umeminywa hivyo na aliyekuminya hana time, atajisomea magazeti na akisinzia atakuegemea vilevile....
 
Mi hili huwa nakutana nalo mara kwa mara kwenye daladala
 
Sasa tupe dawa ya kupunguza...hayo mazoezi uwongo mtupu sana sana utaongeza kula tu.
 
hilo ndo tatizo, unafanya mazoezi halafu unaenda kubugia nusu kilo ya ugali, nyamachoma na mabeer , unategemea kupunguza unene kweli?
 
Back
Top Bottom