wabongo mpunguze unene

wabongo mpunguze unene

hilo ndo tatizo, unafanya mazoezi halafu unaenda kubugia nusu kilo ya ugali, nyamachoma na mabeer , unategemea kupunguza unene kweli?

BT za asubuhi mkubwa ?
Ukipita hapa nakwambia fungua inbox yako una Pm
 
BADILI TABIA, nakula kwa raha zangu bhana. Kitu unakula hadi ukilala kwa tumbo unakuwa na shape ya meli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom