Wabongo kutotumia akili

a right TO LIVE ANYWHERE,DO ANYTHING!
mzazi wako anapokupeleka shule ni kama ana invest vile.hategemei baada ya kumaliza masterz yako ya international relations USUKUME MKOKOTENI,AU UWE UNAFAGIA SUPERMARKET....just because ni HAKI YAKO KUFANYA UNALOAMINI!no way!

the same applies to your communities,hadi nchi uliyozaliwa!well ,i mean pro-lata

Wewe bora kaa kimya tu kabla hujajihusuru utupu wako.
 
huo ni uamuzi binafsi na sidhani kama una athari zozote katika maslahi ya kitaifa kulinganisha na mtu anayeibia BOT mabilioni ya ma shilingi na dola.

Kulia na kucheka vyote ni kelele, wote hawatumii akili
 
Ebana umecheki hizo picha hapo juu? Umeona jinsi watu walivyozungukwa na uchafu? Sasa nambie ni mtu gani mwenye akili ataishi na uchafu uliokithiri hivyo bila kufanya lolote?

Kuna moja hapo kuna njemba inakojoa kwenye maji halafu kuna jamaa kainama sijui kaangusha kitu kwenye hayo maji? Halafu tunajidai eti sisi ni ma genius? Lol

...huyo ustaadhi ananawa hayo maji ya bahari yanayochanganyika na mawimbi ya mkojo wa huyo ami hapo...weshazoea hao.

halafu picha ya kwanza na ya pili jinsi maji yalivyotuama mpaka yakabadilika rangi kiasi hicho maana yake ni ya siku nyingi mno, ...lakini wakaazi si umeona akili kumchuzi wameshazoea, na wameegesha vizuizi kiduuuchu majia yakijaa yasiingie ndani,...hopeless kabisa!

Picha ya chini ni lile daraja maarufu la wapori pori kupigia picha kuwapelekea 'rusha roho' jamaa zao huko vijijini...

Wanaotupa uchafu huu wamezoea manispaa kuja kufanya usafi. Nakwambia nchi hii bila bakora (kama za mkoloni) tutazidi kurudi kinyume nyume.

Viongozi na wananchi wa maeneo hayo nao weshazoea na kuzoeana na hali hiyo ya mazingira pamoja na wote wanaoishi huko...

Tatizo ukishazoea, akili nayo inakuwa imefikia kikomo cha kufikiri. Hili ni moja tu, ...Yo Yo hajasema bado...
 
Toka tumepata uhuru mpaka leo ukiacha kutengeneza baiskel kitu kama kijiko,wembe na sindano mpaka vitoke shangai alafu bado tunasema tunatumia akili.
Kama tunatumia akili tutakuwa tunatumia negatively nasio positive,
Hakuna jipya wabongo sijui tunaishi mfumo gani wa maisha mpaka tunakuwa hivi tulivyo.
 
Naudhika sana wabongo ambavyo hawatumii akili......najua hili suala ni pana sana.....nikianza kuorodhesha ufinyu wa akili za wabongo tutakesha....kila sehemu ninayokwenda matumizi ya akili kwa watanzania hayapo!!!

Ujumbe:Kwako wewe mtanzania....tumia akili sasa....zama za kufanya mambo kwa mazoea imepitwa na wakati....

watanzania wana akili na wengi wanazitumia ipasavyo. labda ungesema wanazitumia kwa mambo yasiyoleta mabadiliko kwenye jamii na taifa kwa ujumla. we unadhani hata kuishi kwa ujanja ujanja leo kwa mjomba kesho kwa shosti mara kwa rafiki unadhani si akili hiyo? na utashangaa mtu anaishi miaka kibao tu. ila kwa kweli point ipo hapo pa kufanya kazi kwa mazoea, kwa hali halisi ya dunia ni muhimu kufanya kazi kwa kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi utamaduni na mambo mengi ya kidunia kwa ujumla si kudhani kuwa kwa kuwa jana siku iliisha salama basi hata kesho itakuwa hivyo! TUACHE HIZO
 
Mtake msitake, sisi watanzania tumezidi ujinga.
Watu wako baa kila siku, si maofisa wa wizara hadi wahuni wa mtaani.
Ufanisi utatoka wapi na huu upuuzi, na chakuchekesha ni kwamba watu wanadhani ni sawa kuishi kama bongolala, yaani ni poa tu....f..k this!


baada ya kazi sio mbaya kupunguza stress......
 
Naudhika sana wabongo ambavyo hawatumii akili......najua hili suala ni pana sana.....nikianza kuorodhesha ufinyu wa akili za wabongo tutakesha....kila sehemu ninayokwenda matumizi ya akili kwa watanzania hayapo!!!

Ujumbe:Kwako wewe mtanzania....tumia akili sasa....zama za kufanya mambo kwa mazoea imepitwa na wakati....


Inabidi utuambie hatutumii akili kwenye nyanja zipi YoYo ili tujirekebishe. Ila mimi nachojua upande wa kuchagua viongozi kweli tunapata F kila wakati sio kwamba hatuna akili ya kuweza kupata ingalawa D kweli hapo hatuzitumii akili kabisa.
 
Hahahaha shem hebu toa mifano basi sisi watanzania tusio na akili tuanze kuchangia...!

Huyu bwana anchokisema ni kweli, sio kweli kwamba hawana akili, akili wanazo lakini hawataki kuzitumia. Mfano ni hili la kuendelea kuchagua CCM kwa kipindi cha miaka 48 wakati ikiendeleza umaskini na kufuga wezi. Hasa hapa Dar es Salaam ndio kabisa usiseme, Hakuna mbunge wa upinzani hata mmoja na fuatilia wabunge waliochaguliwa kupitia mkoa wa DSM utajua kweli matumizi ya akili ni kidogo zaidi ya mazoea
 
mleta hoja ndo mjinga number moja akishindwa kutetea hoja yake kwa mifano.
tehe tehe naanza na wewe mfano halisi...tumia akili kujibu hoja kwanza.....


Inachekesha kuona mtu asivyotumia akili kutoa post inayolaani watu wasivyotumia akili.
bwa ha ha ha ha watz bana ....bado tu hujaona wapi hamtumii akili?
 
Huwa nasikitika kuanzia mkila nipapoamka mpaka nakwenda kulala siku nzima sijakutana na hata mmoja anaetumia akili.....ukiwauliza iweje iwe hivi? wanakushangaa...eti wanasema ni kawaida.....

Ina maana hamjaona wapi hamtumii akili?....basi kazi ipo....
 
Alafu cha kushangaza watu wanabaki kulaumu serikali badala ya kuchukua jembe na kuchimba mitaro kujiondolea karaa na baadae chagua viongozi wanaofaa..

Unajua sisi wabongo tukiaambiwa ukweli uwa wepesi kurusha ngumi!!! sijui kwa sababu ya kuthink that we know much or what!! mtu akitaka kukutoa ushauri wa kuboresha mambo tunamshambulia, eti 'bongo tambarare'!just hasira na watu walio nje!!!Thanks for the examples nafikiri watu wameleewa!!! wakenya wakituambia sometimes ukweli tunarusha ngumi!! akkk!!!
 
Ebana umecheki hizo picha hapo juu? Umeona jinsi watu walivyozungukwa na uchafu? Sasa nambie ni mtu gani mwenye akili ataishi na uchafu uliokithiri hivyo bila kufanya lolote?

Kuna moja hapo kuna njemba inakojoa kwenye maji halafu kuna jamaa kainama sijui kaangusha kitu kwenye hayo maji? Halafu tunajidai eti sisi ni ma genius? Lol
Arifu mie nashangaa sana jamaa wmewaka hasira...siwalaumu...nao ni vipofu wa akili wamerithi toka kwa baba zao na watawala wao.....

Huo uliosema ni mfano mdogo sana wa watz kutotumia akili....
....hebu angalia kuanzia makanisani,mashuleni,makazini hata kwenye dala dala.....kuna mambo yanafanyika sio lazima uwe na shahada ya CBE kujua kama hujatumia akili....

bwana wa mtera lusinde kwa mfano....katema upupuu kama ule lakini si uliona wabongo walivyokuwa wanamshangilia........

.....nyie mnaobisha kutotumia akili hebu tumieni akili mgundue kuwa hamna akili.....
 
Back
Top Bottom