Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
Nadhani huelewi hapa. Mtanzania yeyote yule ana haki ya kwenda na kuishi popote pale duniani. Na maamuzi binafsi ninayoyazungumzia mimi
ni "personal decisions" kwa kimombo. Ubinafsi unaouzungumiza wewe ni "self-serving selfishness".
Sasa hao mafisadi wako kwenye hilo kundi la pili la "self-serving selfishness". Kufanya maamuzi binafsi kama wapi uishi, nani umwoe, usomee nini chuoni ni tofauti na kuhujumu kilicho cha wote. Hao mafisadi wamepewa ridhaa na wananchi kulinda na kutetea maslahi ya wote lakini badala yake wameishia kuwa self-serving selfish bastards. Huwezi kabisa kuwalinganisha hao na watu wanaomua kufanya kazi flani kujipatia riziki yao kihalali hata kama ni kubeba zege. Hawalingani kabisa. Panga upya hoja yako au i drop kabisa maana utakuwa annihilated bure.
Uamuzi wa mtu ni uamuzi wa mtu na maoni yako wewe juu ya uamuzi wake ni kwa mujibu wa mtazamo wako. Lakini mwisho wa siku binadamu tuna uhuru na haki ya kufanya maamuzi binafsi (make personal decisions).
there are no laws without EXCEPTIONS,remember?
so,ishu ya wewe kuwa huru dunia nzima haimaanishi kwamba you can ABUSE YOUR PROFESSION JUST LIKE THAT!na pia haimaanishi kwamba you can forget your society who grew you up JUST LIKE THAT!........in a very very long run hauutendei haki uzao wako!got that?