Wabongo kutotumia akili

Mzee umepiga pullovers lakini au ndo ushaacha kabisa?

mzee hiyo sana tu!
inanijenga kichizi.
sasa hivi nimeivamia shoulder

tatizo navimba kwelikweli!shemeji yako ananishauri nipunguze.
 
mzee hiyo sana tu!
inanijenga kichizi.
sasa hivi nimeivamia shoulder

tatizo navimba kwelikweli!shemeji yako ananishauri nipunguze.

Unatumia protein shake gani? nina dili nzuri hapa ya Wheybolic Extreme 60
 
Kama tuna akili kwa nini tuko maskini?

mnataka utajiri wakati resources zoote ''zinabeba boksi''!
you guys are funny!

nadhani wabongo wa kwanza kutotumia akili na hawa waliotorokea ughaibuni!

wanaitwa ''wazungu weusi''
 
mnataka utajiri wakati resources zoote ''zinabeba boksi''!
you guys are funny!

nadhani wabongo wa kwanza kutotumia akili na hawa waliotorokea ughaibuni!

wanaitwa ''wazungu weusi''

Geoff be careful mazee, wako wengi humu ohoooooooo
 
mnataka utajiri wakati resources zoote ''zinabeba boksi''!
you guys are funny!

nadhani wabongo wa kwanza kutotumia akili na hawa waliotorokea ughaibuni!

wanaitwa ''wazungu weusi''
ndo wasaliti au wanaua na kupuliza wamekwenda kupata urahisi ulaya na marekani.kazi kweli kweli ngoja wakusikie
 
Geoff be careful mazee, wako wengi humu ohoooooooo

mimi nawapa dozi tu!
hawaweze generalize fact kwamba ''wabongo kutotumia akili''.infact mods naomba mfanye kinachowezekana
 
mimi nawapa dozi tu!
hawaweze generalize fact kwamba ''wabongo kutotumia akili''.infact mods naomba mfanye kinachowezekana
mleta hoja ndo mjinga number moja akishindwa kutetea hoja yake kwa mifano.Pia mleta hoja ni mjanja sana anataka wanaJF ndo wampe ujinga huu upo wapi akisingizia eti kashindwa kuuelezea huu ujinga kisa atajaza sijui pages nyingi hahaha PhD thesis
 
mnataka utajiri wakati resources zoote ''zinabeba boksi''!
you guys are funny!

nadhani wabongo wa kwanza kutotumia akili na hawa waliotorokea ughaibuni!

wanaitwa ''wazungu weusi''

Hehehehehe.wazungu weusi mboni wako wengi wengi tu na hata bongo wako wengi wa kumwaga tu. Huwaoni mamiss wanavyojifanya hawajui kiswahili na kujibu kwa kiingereza kule kwa Michuzi? Huoni wazungu weusi walivyokuwa wanamcheka Kanumba kutoongea kiingereza (kizungu) fasaha? Au hao siyo wazungu weusi? Lol
 
hivi mtu anaemiss-allocate resources ana akili timamu?mfano mtu ni injinia labda,unakuta anabeba boksi,au anafagia.........
 
hivi mtu anaemiss-allocate resources ana akili timamu?mfano mtu ni injinia labda,unakuta anabeba boksi,au anafagia.........

huo ni uamuzi binafsi na sidhani kama una athari zozote katika maslahi ya kitaifa kulinganisha na mtu anayeibia BOT mabilioni ya ma shilingi na dola.
 
huo ni uamuzi binafsi na sidhani kama una athari zozote katika maslahi ya kitaifa kulinganisha na mtu anayeibia BOT mabilioni ya ma shilingi na dola.

in the loong run tunapata athari kubwa saana!
injinia wa majengo au umeme anapoamua kubeba boksi NI HATARI KWA NCHI YAKE ALIKOKIMBIA kwasababu nchi husika itarudi kwenye nchi ile ile ambako mtaalamu wao anabeba boksi na ku-hire an expert of the same proffession tena kwa gharama kubwa zaidi.get it?
 
Nah..sikubaliani na wewe. Uamuzi wa mtu binafsi ni uamuzi wa mtu binafsi. Huyo huyo mtu binafsi anaweza kuamua kuendesha mkokoteni au kuuza genge pamoja na kuwa na shahada yake ya uhandisi hapa hapa Tanzania. Kwa hiyo siikubali hoja yako. Ipange upya!!
 
Inachekesha kuona mtu asivyotumia akili kutoa post inayolaani watu wasivyotumia akili.
 
Nah..sikubaliani na wewe. Uamuzi wa mtu binafsi ni uamuzi wa mtu binafsi. !!

uamuzi BINAFSI!=VIMELEA VYA UFISADI HIVI.ubinafsi kwa maana ya UMIMI,USELFISH ndio umezaa mafisadi ambao hata wewe unawapigia kelele!SORRY FOR YOU NGABU.i never thought ungeweza kuwa na mtizamo huu kichwani mwako,anyways...........

Huyo huyo mtu binafsi anaweza kuamua kuendesha mkokoteni au kuuza genge pamoja na kuwa na shahada yake ya uhandisi hapa hapa Tanzania.!!

mtu huyu akiamua kwa ulicho kihubiri basi ni kama HAKWENDA SHULE KABISA!kuna possibility huenda anavuta sana bange kiasi cha kuona kila kitu POA TU![/QUOTE]

nachelea kusema pia na wewe uipange hoja yako upya
 
uamuzi BINAFSI!=VIMELEA VYA UFISADI HIVI.ubinafsi kwa maana ya UMIMI,USELFISH ndio umezaa mafisadi ambao hata wewe unawapigia kelele!SORRY FOR YOU NGABU.i never thought ungeweza kuwa na mtizamo huu kichwani mwako,anyways...........

Nadhani huelewi hapa. Mtanzania yeyote yule ana haki ya kwenda na kuishi popote pale duniani. Na maamuzi binafsi ninayoyazungumzia mimi
ni "personal decisions" kwa kimombo. Ubinafsi unaouzungumiza wewe ni "self-serving selfishness".

Sasa hao mafisadi wako kwenye hilo kundi la pili la "self-serving selfishness". Kufanya maamuzi binafsi kama wapi uishi, nani umwoe, usomee nini chuoni ni tofauti na kuhujumu kilicho cha wote. Hao mafisadi wamepewa ridhaa na wananchi kulinda na kutetea maslahi ya wote lakini badala yake wameishia kuwa self-serving selfish bastards. Huwezi kabisa kuwalinganisha hao na watu wanaomua kufanya kazi flani kujipatia riziki yao kihalali hata kama ni kubeba zege. Hawalingani kabisa. Panga upya hoja yako au i drop kabisa maana utakuwa annihilated bure.

mtu huyu akiamua kwa ulicho kihubiri basi ni kama HAKWENDA SHULE KABISA!kuna possibility huenda anavuta sana bange kiasi cha kuona kila kitu POA TU!

Uamuzi wa mtu ni uamuzi wa mtu na maoni yako wewe juu ya uamuzi wake ni kwa mujibu wa mtazamo wako. Lakini mwisho wa siku binadamu tuna uhuru na haki ya kufanya maamuzi binafsi (make personal decisions).
 
Yoyo kwa jinsi wabongo walivyo wameshindwa hata kukusoma ili waelewe unachomaanisha wewe,
Yoyo yupo sahihi kabisa.
kweli mkuu.sometimes hapa JF pana bore sana..yaani ni bifu tuuu bila hata kuangalia mtu kaandika nini.sasa Yo Yo kuwa na bans kuna connection gani...I fully agree with you Yo Yo wa TZ tumezidi kufanya mambo kwa mazoea.hiyo ipo sana hata sehemu za kazi na kwingineko
 
Back
Top Bottom