RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,491
- 135,464
Alisikika abiria mmoja kwenye daladala akisemaNunua gari yako
Itapendeza
Alisikika abiria mmoja kwenye daladala akisemaNunua gari yako
Itapendeza
Na huku akiungwa mkono na RRONDO wa JF!Alisikika abiria mmoja kwenye daladala akisema
Gauni la kitenge na begi mgongoni[emoji28][emoji28][emoji28]Hata ukivaa nguo za kushona ,au magauni unabeba begi la mgongoni?
Inapendeza si ndio?Gauni la kitenge na begi mgongoni[emoji28][emoji28][emoji28]
Inapendeza si ndio?
Sasa Mkuu washamba ulitaka wabebe Ungo?Tatizo mabegi yameingiliwa yanabebwa hata na washamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni mkubwa.😊Kipaula mambo
Nikweli jirani, watuache.....Hata mimi siku hizi mimi na jirani yangu hapa tunabebaga vibegi vya mgongoni.
Wabeba mabegi njooni huku
Hao wadada wenye tv za chogo kwenye daladala sio kero kwa wanaume bali ni fursaMwenye begi ni sawa na chibonge au wale wenye makalio makubwa tunaomba ujumuishe
Hata ndo madhara ya kuondoa mifuko ya RamboWanakela sana hivi mbona haya mambo hayakuwepo hapo siku za nyuma,sasa hivi MTU anabeba begi kumbe jioni mke wake anamuagiza aje na mazaga,wanaume tuna fail wapi?
Mimi ni mkubwa.😊
Poa Aikambee