Wabeba mabegi mgongoni wanavyosumbua ndani ya daladala

Wakuu poleni na kazi. Niende kwenye mada, kuna jamii kubwa kwa sasa, wake kwa waume wamekuwa wakibeba mabegi migongoni, siyo shida wala hakuna neno, ni vizuri pia.

Ila, baadhi yao, wanapoingia ndani ya daladala hawayakulii namna ya kuyabeba, bado wanakuwa nayo migongoni na mbaya zaidi, konda anataka kusimama wawili wawili, hapo ndipo shida hutokea.

Wawili waliosimama halafu wamepeana migongo yenye mabegi, kivumbi chake si cha kitoto. Hali hiyo huwafanya kuinamia mpaka kwa abiria waliokaa kwenye siti ambao nao hunesa mpaka kulaliana.

Nashauri, tukiingia ndani ya daladala mabegi tuyashikie kwa chini ili kuondoa kero kwa wengine.

Na kama hoja ni ile kauli ya 'ndiyo usafiri wetu ilivyo' basi sawa, acha tuteseke tu.

Huo ndio mtindo wa vijana wengi siku hizi.
Sehemu kubwa ya wabebaji hayo mabegi ni ulimbukeni tu maana ukifanikiwa kuangalia kilichoko ndani ni vituko tu. Unawezakuta matambara au daftari moja tu.
 
Sawa tumekusikia, ila je vitendea kazi vyetu tuweke wapi? Maana mimi kwenye begi huwa nabeba mswaki, dawa ya meno, sabuni, taulo, boxer, nguo za akiba, note book, kalamu, laptop, charger ya simu, adapter ya laptop, nivea lotion, shavers, sabuni ya kuogea, sabuni ya kufulia, manila paper, vaseline, olive oil. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Uwiiiiii nimecheka na hivyo vitendea kazi Mimi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We itakuwa kuna siku uliniona wakati natoa earphone zangu kwenye begi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Kumbe ulikuwa wewe 😂😂😂
 
Yaani hiyo huwa inaniboa kishenzi ila basi tu huwa nabaki na maumivu yangu kwa vile siwezi kujibu ufedhuli!

Ah... Mie kuna mmoja kapita.. Akanikanyaga alaf hajasema samahan nikaona huyu ananitafuta maneno..nilimpangusia kiatu kwenye surual yake.. Alaf nikaw nasubir aropoke nishuke nae chini.
 
Kipindi kile tulikuwaga tunabeba Jansport na NorthFace siku hiz sijui yanaitwaje
 
Mi sijui nafeli wapi, hata kama mtu akinikanyaga namuomba msamaha yeye! [emoji848][emoji848][emoji848]

mi ni mpole mno.. Ila sivumilii mtu mwenye Dharau/kiburi. Sijalelewa ktk mazngra hayo.. Hongera kwa kuwa na Busara!
 
Wakuu poleni na kazi. Niende kwenye mada, kuna jamii kubwa kwa sasa, wake kwa waume wamekuwa wakibeba mabegi migongoni, siyo shida wala hakuna neno, ni vizuri pia.

Ila, baadhi yao, wanapoingia ndani ya daladala hawayakulii namna ya kuyabeba, bado wanakuwa nayo migongoni na mbaya zaidi, konda anataka kusimama wawili wawili, hapo ndipo shida hutokea.

Wawili waliosimama halafu wamepeana migongo yenye mabegi, kivumbi chake si cha kitoto. Hali hiyo huwafanya kuinamia mpaka kwa abiria waliokaa kwenye siti ambao nao hunesa mpaka kulaliana.

Nashauri, tukiingia ndani ya daladala mabegi tuyashikie kwa chini ili kuondoa kero kwa wengine.

Na kama hoja ni ile kauli ya 'ndiyo usafiri wetu ilivyo' basi sawa, acha tuteseke tu.
Wanao ona ni kero wanunue ya kwao bonafsi ili wawe wanainjoy
 
Halafu kuna akina dada nao wanabeba mapochi makuuuubwa kama wanahama vile. Unakuta kaning'iniza vizuri tu kwapani hilo pochi lake halafu kaliweka kichwani kwa abiria aliyekaa sasa anahangaika kulikwepa muda wote wa safari, hlf yanakuaga na ncha kali sasa likikugonga ni lazima usikilizie maumivu.
[emoji3][emoji3][emoji3] huyo mm kabisa, mapochi madogo huwa siyaelewi
 
Begi langu nilivyolizoea, yaani nikitoka bila kuwa nalo huwa najihisi kupungukiwa. Kila saa nitashtuka pengine nimelisahau sehemu
 
Wengine hizo ni office.. Popote tulipo nalo lipo!!
Ukiona kero nunua hata kavitz
 
Halafu kuna akina dada nao wanabeba mapochi makuuuubwa kama wanahama vile. Unakuta kaning'iniza vizuri tu kwapani hilo pochi lake halafu kaliweka kichwani kwa abiria aliyekaa sasa anahangaika kulikwepa muda wote wa safari, hlf yanakuaga na ncha kali sasa likikugonga ni lazima usikilizie maumivu.
We jamaa mjinga sana. ...😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu kuna akina dada nao wanabeba mapochi makuuuubwa kama wanahama vile. Unakuta kaning'iniza vizuri tu kwapani hilo pochi lake halafu kaliweka kichwani kwa abiria aliyekaa sasa anahangaika kulikwepa muda wote wa safari, hlf yanakuaga na ncha kali sasa likikugonga ni lazima usikilizie maumivu.
 
Wakuu poleni na kazi. Niende kwenye mada, kuna jamii kubwa kwa sasa, wake kwa waume wamekuwa wakibeba mabegi migongoni, siyo shida wala hakuna neno, ni vizuri pia.

Ila, baadhi yao, wanapoingia ndani ya daladala hawayakulii namna ya kuyabeba, bado wanakuwa nayo migongoni na mbaya zaidi, konda anataka kusimama wawili wawili, hapo ndipo shida hutokea.

Wawili waliosimama halafu wamepeana migongo yenye mabegi, kivumbi chake si cha kitoto. Hali hiyo huwafanya kuinamia mpaka kwa abiria waliokaa kwenye siti ambao nao hunesa mpaka kulaliana.

Nashauri, tukiingia ndani ya daladala mabegi tuyashikie kwa chini ili kuondoa kero kwa wengine.

Na kama hoja ni ile kauli ya 'ndiyo usafiri wetu ilivyo' basi sawa, acha tuteseke tu.
Ndio usafiri public , ulivyo.

Ukiona vipi, nunua gari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom