Wabeba mabegi mgongoni wanavyosumbua ndani ya daladala

Mimi nikibeba begi huwa wananipisha wenyewe...

Huwa tu nawaambia abira kwa upole kuwa nimebeba nyoka wa mazingaombwe hivyo wawe watulivu wasimtie hasira nyoka aliye kwenye begi...
 
We jamaa bonge la mbea jana uliniambia nakusumbua kweny gar nmekukumbuk pumbafyu
 
Halafu kuna akina dada nao wanabeba mapochi makuuuubwa kama wanahama vile. Unakuta kaning'iniza vizuri tu kwapani hilo pochi lake halafu kaliweka kichwani kwa abiria aliyekaa sasa anahangaika kulikwepa muda wote wa safari, hlf yanakuaga na ncha kali sasa likikugonga ni lazima usikilizie maumivu.
Laini sana ka ndiz bukoba jikaze we dume axa umayai.poxi unaumia ha
 
Aisee, we noma!!
Halafu kuna akina dada nao wanabeba mapochi makuuuubwa kama wanahama vile. Unakuta kaning'iniza vizuri tu kwapani hilo pochi lake halafu kaliweka kichwani kwa abiria aliyekaa sasa anahangaika kulikwepa muda wote wa safari, hlf yanakuaga na ncha kali sasa likikugonga ni lazima usikilizie maumivu.
 
Mshaanza kuwasimanga wanafunzi hivyo, sijui kwasababu nyinyi hamna watoto!?au kwasabau wanalipa nusu nauli!?
Wakuu poleni na kazi. Niende kwenye mada, kuna jamii kubwa kwa sasa, wake kwa waume wamekuwa wakibeba mabegi migongoni, siyo shida wala hakuna neno, ni vizuri pia.

Ila, baadhi yao, wanapoingia ndani ya daladala hawayakulii namna ya kuyabeba, bado wanakuwa nayo migongoni na mbaya zaidi, konda anataka kusimama wawili wawili, hapo ndipo shida hutokea.

Wawili waliosimama halafu wamepeana migongo yenye mabegi, kivumbi chake si cha kitoto. Hali hiyo huwafanya kuinamia mpaka kwa abiria waliokaa kwenye siti ambao nao hunesa mpaka kulaliana.

Nashauri, tukiingia ndani ya daladala mabegi tuyashikie kwa chini ili kuondoa kero kwa wengine.

Na kama hoja ni ile kauli ya 'ndiyo usafiri wetu ilivyo' basi sawa, acha tuteseke tu.
 
Halafu kuna akina dada nao wanabeba mapochi makuuuubwa kama wanahama vile. Unakuta kaning'iniza vizuri tu kwapani hilo pochi lake halafu kaliweka kichwani kwa abiria aliyekaa sasa anahangaika kulikwepa muda wote wa safari, hlf yanakuaga na ncha kali sasa likikugonga ni lazima usikilizie maumivu.
 
mm ni mmoja wapo watu wanaobeba mabegi unakuta daladala yenyewe haina hata carrier yakuwekea begi unaweka wapi sasa mm naweka hela humo vitambulisho na PC unataka nimpejirani yangu anishikie alafu anilize nionekane bwiga .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom