[emoji3][emoji3][emoji3]bila shaka hii umeandika pochi likikuzonga zonga.Halafu kuna akina dada nao wanabeba mapochi makuuuubwa kama wanahama vile. Unakuta kaning'iniza vizuri tu kwapani hilo pochi lake halafu kaliweka kichwani kwa abiria aliyekaa sasa anahangaika kulikwepa muda wote wa safari, hlf yanakuaga na ncha kali sasa likikugonga ni lazima usikilizie maumivu.
Lol😊Ndio usafiri wetu ulivyo
Umeongea ukionesha una uzoefu wa kuumizwa na hayo mapochi.Halafu kuna akina dada nao wanabeba mapochi makuuuubwa kama wanahama vile. Unakuta kaning'iniza vizuri tu kwapani hilo pochi lake halafu kaliweka kichwani kwa abiria aliyekaa sasa anahangaika kulikwepa muda wote wa safari, hlf yanakuaga na ncha kali sasa likikugonga ni lazima usikilizie maumivu.
Hata ukivaa nguo za kushona ,au magauni unabeba begi la mgongoni?[emoji23][emoji23][emoji23] jamani sio kwa kutukandia huku, mimi siku hizi nimesahau kubeba pochi ni mwendo wa begi tu
Nawe mrembo unatumia usafiri wa dala dala?Wabeba mabegi mnaboa..
Hata wasukuma vijana wa ng'ombe utawakuta na mabegi mgongoni. Tatizo yana kijiuvundo fulaniTatizo mabegi yameingiliwa yanabebwa hata na washamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa poa sana, hilo litaboresha uhusiano wa sisi watumiaji wa daladala.Umeongea ukionesha una uzoefu wa kuumizwa na hayo mapochi.
Tutabadilika.
Actually ndio nguo zangu hizo, mimi si mtu wa kujali sana muonekano huwa naangalia mimi kuwa comfortableHata ukivaa nguo za kushona ,au magauni unabeba begi la mgongoni?
Usinikumbushe mwendokasi ya Ferryhuku kwetu sisi tunapambana na saflet na ndoo zilizobebea uono,
hio shombo
Ukishuka tuu kituoni mapaka yote yanakufuataa....
Waweza uitwe mchawi hvi hiv
Kabisa mkuu tunaumia sana kwa kweli.[emoji3][emoji3][emoji3]bila shaka hii umeandika pochi likikuzonga zonga.
ninachojiuliza kwani hawaoni?&
Na nyie wenye vifaa vya kusafiria mnajidai sana utafikiri mnavuta pumzi ya peke yenuHawa wabeba mabegi wanakera sana. Kwenye pantoni wanabamiza side mirror halafu hata hawajali kuomba samahani.