Masikio Masikio
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,873
- 3,495
Baada ya miaka 60+ Tumefeli kabisa kwenye swala la umeme.
Ukija kwenye maji mfano kwa Dar es Salaam kuna maeneo wana week ya pili maji hayatoki despite kulikua na mvua za vuli dawasco nao wanasema tatizo ni umeme eti ni mdogo hauwezi kupush maji-kipindi cha nyuma walikua wanasema tatizo ni upungufu wa mvua safari hii mvua zimenyesha wameona wahamishe magoli.
Kuna mda tukubali hii nchi kama waafrika imetushinda kuongoza huo ndo ukweli hii ni total failure.
Hata ukija kwenye mpira timu zetu makocha wao wengi ni wazungu. Kwenye management waafrika ni changamoto hatuna maono.
Nchi ya haiti ilipata uhuru mwaka 1840's huko ila mpaka leo hakuna function government na ni maskini wakutupa, same kwa somalia nchi zote hizi ni za Waafrika.