LOL!....Inawezekana nimekuona maana nimeenda Nandos zote za London hadi ya wes London aisee ila ule msosi wao upo very alright especially yale maini...
Hivi kale ka shopping mall pale reading karibu na Nandos kanaitwaje tena nimeshakasahau aisee...
Hahahahaaaa, siku branch ya shoprite Kinondoni Studio ilipokuwa ikifunguliwa walitangaza kuwa wateja mia wa kwanza watapata kuku wa bure kila mmoja.
You know what....watu walipanga foleni kuanzia saa kumi na mbili asubuhi kusubiri duka lifunguliwe saa mbili asubuhi hiyo ili wawe katika wateja 100 wa kwanza na wapate kuku wa bure!!!!
Nakubaliana na Tosh lakini cha kushangaza mmi hapa Marekani nimeshabaguliwa na wanugu utadhani sijui nini...
Kuna jamaa waliendaga grocery shopping wakati bado wageni wageni. Sasa hawakuangalia wako aisle gani walipokuwa grocery store. Wenyewe wakaona mivyakula tu ya kwenye makopo na wenyewe hao wakawa wanaweka tu kwenye buggy yao....kurudi nyumbani wanataka kupika ndo mmoja wao akastukia kumbe wamenunua chakula cha paka lakini wao walidhani ni corned beef.....ahahahahahahahaaaa
Haya let's stick to the subject, please
Oohh no siwauwi kabisa ila hiyo ni reality aisee...i think its interesting..
Mbona huku Marekani kuna jamaa alikuwa ndiyo ameingi kutoka bongo kaenda kuchukulia na marafiki zake airport si unajua ukiwa unatoka airport kuna zile lines kwenye barabara ukipita matairi yanakuwa yanapiga kelele jamaa akawa anawaambia wenzake duuh washikaji naona tairi lina pancha wakamwambia no dude keep insisting kuwa tairi lina pancha simamisheni mazeee alikuwa haelewi kabisa...
Haaaaaaa Kelly01 hiyo story haiwezekani kuwa kweli. LOL... Kwa sababu mbona hiyo mistari hata Bongo imejaa tele. Ipo kibao kuanzia pale Ubongo kuelekea Kibaha, na kuendelea. Na hata kati ya Tegeta mpaka Bagamoyo. Labda pengine huyo mbongo alikuwa "Dar-exit."
Umesahau Kibosho, Uru na Marangu -kuanzia Kilema, Vunjo hadi Mamba Kotela.
Haaaaaaa Kelly01 hiyo story haiwezekani kuwa kweli. LOL... Kwa sababu mbona hiyo mistari hata Bongo imejaa tele. Ipo kibao kuanzia pale Ubongo kuelekea Kibaha, na kuendelea. Na hata kati ya Tegeta mpaka Bagamoyo. Labda pengine huyo mbongo alikuwa "Dar-exit."
Oohh no siwauwi kabisa ila hiyo ni reality aisee...i think its interesting..
Mbona huku Marekani kuna jamaa alikuwa ndiyo ameingi kutoka bongo kaenda kuchukulia na marafiki zake airport si unajua ukiwa unatoka airport kuna zile lines kwenye barabara ukipita matairi yanakuwa yanapiga kelele jamaa akawa anawaambia wenzake duuh washikaji naona tairi lina pancha wakamwambia no dude keep insisting kuwa tairi lina pancha simamisheni mazeee alikuwa haelewi kabisa...
QM true story aisee hii ilikuwa miaka ya 90's huko ilikuwa siyo mistari perse ila ni zile pums ndogo ndogo sana zipo mostly wakati unakaribia kuingia airport au kutoka....you know what i am talking about sijui kama kila airport zipo.
Nadhani Kelly anazungumzia zile ridges zinazofanya gari yako kutikisika na kutoa mlio flani....sijawahi kuziona hizo ridges bongo unless unazungumzia makorongo...lol
No! It is a shear joke! Mbona hapo TZ kuna hizo kitu kibao tu. Ni international thing jamani kwenye highway engineering! Unless huyo jamaa katoka Songea namabengo kabisa. Lakini kuja Dar na kwenda Airport lazima angesikia hiyo milio. Tuache kujudhalilisha mno.......
Hizo zilikuwepo kwenye barabara nyingi tu bongo...Mara nyingi huwa zipo soon before big bumps labda watu wengi hapo bongo pia si wasafiri wa mara kwa mara.
...Utakuta wabongo huku Marekani ambao wakiulizwa na mtu hususan Mmarekani kuwa wanatoka wapi (where are you from?) wanasema eti wanatoka Jamaica? Kwa nini wanadanganya? Je ni kwa sababu wanaona aibu kusema wanatoka Tanzania ambayo iko katika bara la Afrika au wanadhani kutoka Jamaica ni "cool"? Mimi sielewei kabisa kwa nini baadhi ya watu hudanganya namna hii.
Sasa mtu unadanganya unakotoka ili iweje? Is coming from Jamaica supposed to impress somebody or what? Yaani mtu mzima una umri wa miaka thelathini na kitu halafu bado unaona noma kusema unatokea wapi. Na ikitokea siku umeulizwa na Mjamaica aliyeishi hapa Marekani kwa muda mrefu ambaye hana lafudhi ya Kijamaica na wewe ukasema unatokea Jamaica huoni kama utakuwa unajiadhirisha kwa kuongopa? Maana jamaa atakustukia tu kwa sababu Wajamaica wana lafudhi yao iliyo tofauti kabisa la lafudhi za sisi tunaotokea Afrika.
Nyinyi wabongo mnaoishi majimbo ya New York, New Jersey, Georgia, na Florida kuweni waangalifu sana maana Jamaican massive katika hayo majimbo inawakilishwa vizuri. Watu wanaoishi majimbo kama ya Nebraska, Minnesota, North Dakota, na mengine kama hayo wanaweza ku get away na uongo wao lakini huko kwingine nilikokutaja ipo siku uongo wao utawatokea puani.
Halafu nikisema Miafrika Ndivyo...........mnakasirika.
Leo nimelewa kwa nini WAZANZIBARI siku zote wakiwa nje ya nchi nakulizwa wapi wanatokea husema ZANZIBAR Huwasikii kueleza kuwa wao ni WATANZANIA kumbe sio wao tu wakulaumia hata upande wetu wengi wapo hivyo wao husema jamaica sikuweza amini hili
Sina uhakika kama tunzungumzia same things. Bado sidhani kama hizo ridges zilizopo pembeni ya barabara kuku alert kuwa uko nje ya lane (hasa kwenye outer lanes) yako zipo kwenye barabara za bongo. I just don't think so...