Waafrika ndivyo tulivyo?


Kuna wengine walikuwa mahouse boys mitaa hiyohiyo, wakipigapiga pamba za kutupiwa na wenye nyumba wanaanza kujipakazia kwa mademu kuwa wao nao ni watoto wa mzee! Wabongo tuna shughuli!
 

Well, I guess kama umezaliwa Nzega ni bora useme Nzega. Sisi wengine tuliozaliwa Dar unataka tusemeje? Tutasema Dar tu
 

Mimi nilikuwa katika mission ya KiJames Bond, nimezama, nimefanya vitu, yule bibie wa kwenye movies za James Bond naye ana sehemu yake katika mambo ya intelligensia, akimwambia Mzee Bond hush hush, Mzee Bond anatokea hush hush.

Kimya kimya kama Ngwear vile. What'chu know about that?
 
Nyani,

Lakini wale tunaosema tunatoka Tanzania, wapi Tanzania? Dar Es Salaam mbona ndio wengi zaidi hata kama tunatoka kwa mchinja vyura?

Mtz kaka, naweza kusema most of masista duu na mabrazameni ninaogongana nao huku ughaibuni nikiwauliza wanaishi wapi jibu ni Dar, cha kushangaza zaidi kila mtu anatokea Obey na Masaki!
 
Wewe lazima utakuwa ushawahi kutumia hiyo line wewe....sema tu ukweli ndugu yangu



....

...u got it right & banged lots of them from that line,lakini sasa nimekua na ninabeba high class chicks ambao hawahitaji line kama hizo,najua wewe bado unahangaika na vitope!
 
Well, I guess kama umezaliwa Nzega ni bora useme Nzega. Sisi wengine tuliozaliwa Dar unataka tusemeje? Tutasema Dar tu

- Well said mkuu, maana hata ukikwepa maneno na vitendo vitakushitaki tu!
 
Mtz kaka, naweza kusema most of masista duu na mabrazameni ninaogongana nao huku ughaibuni nikiwauliza wanaishi wapi jibu ni Dar, cha kushangaza zaidi kila mtu anatokea Obey na Masaki!

Umesahahu Mbezi beach, Ada estate.....
 
Cjui kwa huko US of A.Ila kwa huku Europe,kuna nyakati tunalazimika ku-refer to other countries kupunguza maswali ya kipuuzi like "Where's Tanzania?". Nasema maswali ya kipuuzi kwa vile wanaouliza wanadhihirisha hawako makini na jiografia ya dunia.However,huwa nashindwa kupata jibu rahisi kwamba kwanini isiwe hivyo kwa Kenya,Zambia,Uganda,etc?Mara kadhaa nimelazimika kueleza kwamba "You know Kenya,right?Then Tanzania iko kusini mashariki kwa Kenya",na mara nyingi hapo ndio wanaelewa.Je kwanini Tanzania haifahamiki kihivyo?

Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi ya hapo.Hivi tumeshajiuliza kwanini Wakenya,for instance,hawaoni haya kuitambulisha kuwa ni Wakenya?Au Wasauzi,Waganda,etc?Jibu la haraka linaweza kuwa kujali utaifa wao.Na hilo tunaweza kulishuhudia hata kwenye majina ya wenzetu.Hata jina liwe gumu kiasi gani,wao wanalo tu (eg Nigerians,South Africans,etc) lakini Wabongo (japo si wote) hupendelea majina "yanayoendana" na wishes zao.Na hilo la identity sio kwenye nyanja za kimataifa pekee tu bali hata kwenye katabia kalikozoeleka kwa wengi huko nyumbani kukana makabila na asili yao ili waonekane "bron town"....kila mtu kazaliwa Ocean Road as if hospitali teule Mbeya au Bugando hakustahili kuwa mahala pa kuzaliwa.

Bottom line is,hao wanaokana u-Tanzania wao nje (i.e. kwa kujitambulisha utaifa mwingine) ni reflection ya mapungufu katika utaifa.
 

Yuh up inna di club and di music sweet. Yuh fi jook gal hand pon di wall. Mi gon her tel fi dat wanna jook dem dutty wine.

It works..lol

Well, ni ulimbukeni..no other excuse!
 

Mpaka sasa sijawahi kukutana na mtu alizaliwa Muhimbili...what ze hell? Ina maana niko peke yangu tu...
 
What is kuzaliwa Dar? Any relationship with intelligency, money, brain....,,,,
Na tuliozwaliwa Bombay?!

- Unasema kuzaliwa Dar ni sawa na kuzaliwa Tukuyu, au?

Na who said kua money, brain na intelligence ndio mwanzo na mwisho wa dunia au maisha?
 
- Unasema kuzaliwa Dar ni sawa na kuzaliwa Tukuyu, au? .............Na ni nani aliyekuambia kua money, brain na intelligence ndio mwanzo na mwisho wa dunia au maisha?/SIZE]



Yes. hakuna tofauti. ......if not, Then what is the fuse all about on place of birth?
 
Ukitoka kwenye aristocracy, umebarikiwa elimu, safari kwa ndege na usikute kwa gamba jeusi, kila memory zako za Tanzania ni happy happy tu ni rahisi sana ku claim uTanzania.

Ukitoka bongo kwa kudandia meli, umetokea vumbini kama kwetu huko ambako hata ukoko unagombaniwa kwa pupa kuliko katika viunga vya Calcutta, saa nyingine hata jina la Tanzania unaweza kuliona mikosi, hapo ndipo mchizi anaposhikwa shamba kubwa, batani ama buruda na wazee wanataka kumpiga palanja wamrudishe kwao, kwa nini mwanako asiukane Utanzania na kujitia m Guyana?

Kuna watu set ups za maisha yao tu haziwaruhusu kusema ukweli.

I'm not advocating, I'm just saying.

Scott Fitzgerald katika "The Great Gatsby" alianza kwa kuandika kuhusu baba aliyemuonya mwanawe kwamba "Whenever you feel like criticizing any one just remember that all the people in this world haven't had the advantages that you've had."
 

Hahahaha...finally nimeku decipher wewe ni nani. Dogo hujafika GA dogo wewe...
 
Mi kuna mshkaji namfahamu, yeye kila kiulizwa anatokea wapi anasema 'Tanzania' lakini lazima aunganishie 'but I was born in Canada!' japokuwa kazaliwa bongo, hako kasentensi ka pili kanamsaidia sana kukamata masista wanaobabaikia makaratasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…