Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,005
- 142,604
Mi nilishazama mitaa ya kati hapo Yale, baada ya gugu gaga, yadi yada and this how Imma do you mama, nikawa tingas, nikaitiwa cab , nikaambiwa dereva mbongo lakini mamaa (mbongo) akasema wabongo wa Mbingu Mpya wambeya sana, especially wakijua wanaweza kuongea Kiswahili na wewe, kwa hiyo niuchune tu.
Kama kweli bwana, cabbie kufika akataka kujua nimetokea wapi.
Nikaua story na kumnyonga twiga bila kamba wala mzozo, nikaona kumbe lomolomo nyingine Kiswazi tu, ukileta ngeli washashi wanagwaya.
Ndiyo siku pekee niliyobadili asili, sehemu nyingine zote nadunda na kuanza intro pengine hata bila kuulizwa utafikiri ninalipwa na Tanzania Tourist Board.
Hahahahahaha yako kali ulimdanganya hadi dereva taxi wakati wao ndiyo full kujiachia....strong accent.
Hiyo ilikuwa by special request, watajuana wenyewe wabongo wa huko sie huku Boriquaz na Yardzmen tu.Mambo ya Italz, weekend tunaruka Ocho na MoBay, kwa nini mzee nisijitangaze "Top Shotta" lol
Sasa kuna wale mabrazameni wakiwa wanamtokea demu, let's say wa Kimarekani au ki Brazil...utakuta wanasema eti wanatokea Jamaica. Sasa sijui kwa nini of all countries wanasema Jamaica. I don't know, maybe it's supposed to be a cool thing to hail from Jamaica....
...most of Americans dont even know the different btn Jamaica,South Africa or Tanzania,ur just black with accent and thats it...they dont even care about Europe so dont danganya u from there thinking u'll get more respect or somethin like that,Americans are just dumb,stupid & arrogant as they come,to them if ur not an American ur f up!
A chu me know Jamaica a di land a food an wata, but a dem no hav' nuttn like a we.
Jamaica wana bauxite na utalii na reggae, Tanzania you name it.Kama unaongelea utajiri wa mailiasili hawawezi kushindana na mkoa mmoja tu wa Tanzania.
Ni mambo ya "usichokijua kitakusumbua"
Bongo nchi nzuri mafisadi tu wanaiharibu.
...most of Americans dont even know the different btn Jamaica,South Africa or Tanzania,ur just black with accent and thats it...they dont even care about Europe so dont danganya u from there thinking u'll get more respect or somethin like that,Americans are just dumb,stupid & arrogant as they come,to them if ur not an American ur f up!
Sasa kuna wale mabrazameni wakiwa wanamtokea demu, let's say wa Kimarekani au ki Brazil...utakuta wanasema eti wanatokea Jamaica. Sasa sijui kwa nini of all countries wanasema Jamaica. I don't know, maybe it's supposed to be a cool thing to hail from Jamaica....
Hao ndio walewale enzi zao kabla ya kuja huko walikuwa wakiishi Temeke lakini wanashinda kwenye vijiwe vya Masaki na O'bay na wakidai ndiko maskani! Watsup, watsup na you warer I mean nyiiiingiiiii!
huwa wakiniuliza "how did you get here" nawaambia "I swam" halafu wananiuliza "do you have houses?" nawaambia "no we live on trees" na wanasema "Really?" kinachofuata nawapigaga makonzi kichwani "stop watching national geographic!!"
.....lakini sehemu nyingi za watu kusema from Jamaica ni kwenye clubs au ulevini na kutoka Jamaica ni kama line ya kubebea mademu na wengi hata sababu ya maana ya kusema hivyo hawana ni stereo type...sometime kusema i'm from Tanzania demu anakuwa hakuelewi basi focus ya kubeba demu inabadilika wheres is that? na ukiangalia mademu wenyewe ni vitope na walevi tuu bora kuwadanganya tuu....unaonaje wewe ukitumia i'm from NIGERIA,then uje utuambie what happened,nina uhakika utakuwa na story ya kutueleza humu.
You have to realize that you are making a sweeping generalization for a population that can range from the hillbillies of the hinterland to the Old moneyed cultured gentlemen of New England whose teenagers read Gibbons and speak French, to the Brooklyn hip hoppers, Upper West Side Soweto liberals who have climbed Mt Kilimanjaro and have had an audience with the Lama types of urbanites and the first generation immigrants.
Bush would say gross overmisgeneralization
Mi nilishazama mitaa ya kati hapo Yale, baada ya gugu gaga, yadi yada and this how Imma do you mama, nikawa tingas, nikaitiwa cab , nikaambiwa dereva mbongo lakini mamaa (mbongo) akasema wabongo wa Mbingu Mpya wambeya sana, especially wakijua wanaweza kuongea Kiswahili na wewe, kwa hiyo niuchune tu.
Kama kweli bwana, cabbie kufika akataka kujua nimetokea wapi.
Nikaua story na kumnyonga twiga bila kamba wala mzozo, nikaona kumbe lomolomo nyingine Kiswazi tu, ukileta ngeli washashi wanagwaya.
Ndiyo siku pekee niliyobadili asili, sehemu nyingine zote nadunda na kuanza intro pengine hata bila kuulizwa utafikiri ninalipwa na Tanzania Tourist Board.
...didnt i say...... "MOST OF AMERICANS".....