Waafrika Jitafakarini Katika Hiyo Miungu Mnayoiabudu

Unajichanganya kwenye kusema malaika na majini wameumbwa kama tulivyoumbwa sisi tu halafu hapo hapo unasema hatuwezi kuwaona ila wapo.
Jini malaika wameumbwa kwa moto na mwanadamu ameumbwa kwa mwili
 
Iko hiv Mungu wa kweli ni mooja tu kilichotokea ukristo na uislamu umekuja au kuletwa na watu kwa maslai yao ya kupotosha kuhusu mungu na din kwa maslai yao ndio maana kuna agano la kale maara limeditiwa likaja agano jipya huku unaambiwa usiue huku unaambiwa usimuache mchawi aish kifupi wameleta din kwa maslai iwe kama taasis ya kukusanya watu kusiasa au kiuchumi hata uislamu uluanzishwa na muhamad na mfuas wake wa kwanza alikua mke wake mwarabu akatuletea huku kama njia ya kutuvuta na kututawala.

Yupo mungu wakweli ambae baada ya shetan kuas akaanzisha vita ya kuwapotosha watu kwa kila namna kupitia dini shetan anaifanya kazi hiyooo ndio maana mwislam ana mungu wake mkatilik ana mungu wake mlokole ana mungu wake hilo ndio lengo ka shetani

Ndio maana sehem ambazo mwarabu au mzungu hajapita wao wanadin zao na wanaamin katika mungu wao nch kama japan india china na nk hata sisi tulikua na mungu wetu tunaomba mvua anatuletea hapo hapo ila huyu wa kwao ukiomba mvua haitokuja ukisali sali kwa kumtaja mungu wa kweli atakujibu kwa haraka lakin ukimtaka huyu wa mwarabu au mzungu kaz buree
 
Unajichanganya kwenye kusema malaika na majini wameumbwa kama tulivyoumbwa sisi tu halafu hapo hapo unasema hatuwezi kuwaona ila wapo.
Wote ni Viumbe walioumbwa kama Wewe ulivyoumbwa na Yes unawezw Kuwaona Kama Una Elimu ya Jinsi gani Unataka Kuwaona
 
Lengo la swali langu ni kwa kulinga na jibu lako hapo. Sasa tukubaliane Malaika na majini siyo binadamu lakini ni Roho tupu na wanaweza tumia mwili wa binadamu
Hakuna Mahala nimesema Malaika na Majini ni kamq Binadamu. Sentensu yangu Mmeitafsiri Vibaya. Nimesema Wale ni Viumbe kama Wewe ulivyo kiumbe. Maana yake waliumbwa kama Wewe ulivyoumbwa.

Na Yes wapo kwenye Ulimwengu usioonekana kwa Macho ya Kawaida mpaka Upate elimu ya Kuwaona kwa Njia Nyingine . na Yes wanaweza Kuwaingia Binadamu na Wanyama Pia wakachukua Ma-umbo yao

kufanya yao. Ukweri siyo Malaika wote ni waovu na Wala siyo wote ni wema. Kwa hiyo Kama Malaika ni Roho je kwa Nini ubishe uwepo wa Mungu ambaye pia ni Roho?

Kama Mungu akiwa ni Roho ndugu yangu na Malaika Nao wana Roho kama Unavyojaribu kuweka. Ana Tofauti gani sasa na Malaika huyo Mungu? Halafu Mnasemaga Mungu hafanani na Chochote wala Hafanani na Yeyote
 
Mtoa mada ungeanza kutufundisha huyo Mungu wa afrika yupoje na tutafaidika vipi nae kabla ujalaumu
Mungu wa Afrika hayupo. Kuna Mungu wa Viumbe vyote na Aliyeumba vyote ndugu
 
Wote ni Viumbe walioumbwa kama Wewe ulivyoumbwa na Yes unawezw Kuwaona Kama Una Elimu ya Jinsi gani Unataka Kuwaona
Kama wameumbwa kama mimi iweje tena kuwe na changamoto kwenye kuonekana kwao? Mimi nikitaka kukuona wewe mbona sihitaji elimu?
 
Iko hiv Mungu wa kweli ni mooja tu kilichotokea ukristo na uislamu umekuja au kuletwa na watu kwa maslai yao ya kupotosha kuhusu mungu na din kwa maslai yao ndio maana kuna agano la kale maara limeditiwa likaja agano jipya huku unaambiwa usiue huku unaambiwa usimuache mchawi aish kifupi wameleta din kwa maslai iwe kama taasis ya kukusanya watu kusiasa au kiuchumi hata uislamu uluanzishwa na muhamad na mfuas wake wa kwanza alikua mke wake mwarabu akatuletea huku kama njia ya kutuvuta na kututawala.

Yupo mungu wakweli ambae baada ya shetan kuas akaanzisha vita ya kuwapotosha watu kwa kila namna kupitia dini shetan anaifanya kazi hiyooo ndio maana mwislam ana mungu wake mkatilik ana mungu wake mlokole ana mungu wake hilo ndio lengo ka shetani

Ndio maana sehem ambazo mwarabu au mzungu hajapita wao wanadin zao na wanaamin katika mungu wao nch kama japan india china na nk hata sisi tulikua na mungu wetu tunaomba mvua anatuletea hapo hapo ila huyu wa kwao ukiomba mvua haitokuja ukisali sali kwa kumtaja mungu wa kweli atakujibu kwa haraka lakin ukimtaka huyu wa mwarabu au mzungu kaz buree
Umeanza kwa kusema Mungu wa kweli ni mmoja tu, sasa hao wajapan wenye mungu wao na sie waafrika ukasema tulikuwa na mungu wetu je, walikuwa miungu ya uongo si ndivyo? Maana mwenyewe umesema Mungu wa kweli ni mmoja tu hivyo haiwezekani ikawa kila jamii ina mungu wake na yote ikawa miungu ya kweli.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kuamini hizi dini tuliletewa Ina bidi iwe hauna akili [emoji16][emoji16][emoji1787]
Nilivyokuwa mdogo , wakati huo nilikuwa nime fungamana mnoo na masuala ya kiimani , Sasa bwana Kuna Ile mijadala ya wakristo na waislam kuhusu yesu /ISSA
Wakristo Wana sema yesu mungu waislam wanapinga wanasema ni nabii (mtume )

Wakristo wanasema yesu isurubiwa msalabani (Yaani mungu Alipigwa na binaadamu mpaka akafa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]) Mungu muweza wa yote alizidiwa uwezo na viumbe alivyo viumba mpaka akashindwa kutumia uweza wake wa yote kuwa shinda binaadamu hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inacheesha sana ..

Sasa nilipo Cheka zaidi baada ya kuwa mkubwa nakuanza kutumia logic ni pale waislam wanaposema ni kweli yesu /issa alikamatwa na kupewa mateso lakini hakutundikwa msalabani Kwa sababu siku Ambayo iliyokuwa imepangwa kesho yake akasurubiwe , Mungu alifanya mpango akambadilisha sura mfuasi wa yesu na kumpachika sura ya yesu Halafu yesu akatoroka Kwa kupaa angani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] (hapa ndio Huwa nacheka mpaka basi yaani uso wa mtu umebadilishwa kutoka kwenye sura yake na kuwa na sura ya mtu mwingine bila plastic surgery kufanyika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa nikawa najiuliza huyu mungu mbona. Ni muonevu kiasi hiki na nikatili mnooo ,Baba wa watu ambaye ndiye mfuasi wa yesu aliye badilishwa sura na kukamataa na wayahudi wa kizani kuwa ndiye yesu alimkosea Nini mungu mpaka akaamua ambadilishe sura Ili akamatwe na wayahudi na wakaenda kumtesa mpaka kifo kikamfika Huwa nakosa jibu mpaka Leo ,..

Huyu mungu tuliye fundishwa ni mungu wa mchongo [emoji1787][emoji1787] Mungu kama kweli angekuwepo na sifa zote walizompachika mbona Kuna wakati anatenda matendo ya ajabu Ambayo haya fanani na sifa walizo tueleza kuwa anazo !!!¡?
 
Unaamini mawimbi ya sauti ya radio yapo
Ndio Nini !? Inahusiana vipi na uwepo wa mungu!? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Vitabu ambavyo vina elezea uwepo wa huyo mungu vimejaa contradiction nyingi sana ktika kumuelezea mungu huyo kitu Ambacho kina pelekea watu Wenye utimamu wa kufikiri wa tambue kuwa mungu huyo ni WA mchongo

Refer -- Kuna. Baadhi ya verses Zina sema Mungu ndiye mpangaji wa Kila kitu Kila jambo , it means Yeye ndiye anaye control maisha yaliyopo Duniani Kwa Kila kiumbe (Tuna kubaliana hivyo sindio!? Kama tume kubaliana ngoja nikuulize swali )

Kama mungu ndiye mpangaji wa Kila kitu Ina maana Kwamba Kuna Watu wengine Huwa ana wa control wafanye dhambi bila watu hao kupenda kufanya dhambi hizo , so kama Huwa ana panga watu hao wafanye dhambi Kwa uwezo wake Yeye inakuaje tena mungu huyo huyo aende kuwa choma moto watu hao ilhali Yeye ndiye aliye panga watu hao wafanye dhambi , !? Je tukisema kuwa mungu huyo ni kichaa tutakuwa tuna kosea !? So hauoni kuwa maelezo yanayo elezea sifa za huyo mungu Yako na contradiction nyingi ambazo hazina logic kabisa
 
Kama nyumba za ibada zipo kwann Mungu asiwepo.Pili watu zaidi ya bilioni 6 wanaoamini uwepo wake hawawezi wote kuwa wajinga.Tatu kutoamini kwako hakumaanishi hayupo.
Nne kama huna elimu kuhusu Roho huwezi amini Mungu yupo.
Tano kama uamini juu ya uwepo wa nguvu,asili huwezi amini uwepo wa Mungu.Sita kama huoni mpangilio na mpangiko mzima wa vyote vinavyoonekana duniani huwezi amini kuhusu Mungu
 
Umeanza kwa kusema Mungu wa kweli ni mmoja tu, sasa hao wajapan wenye mungu wao na sie waafrika ukasema tulikuwa na mungu wetu je, walikuwa miungu ya uongo si ndivyo? Maana mwenyewe umesema Mungu wa kweli ni mmoja tu hivyo haiwezekani ikawa kila jamii ina mungu wake na yote ikawa miungu ya kweli.
Mungu wa kweli ni mmoja kila jamii inamwita kwa jina lake ila tabia na matendo yake yanafanana na anajibu ontime mungu wa kiafrika tuliekua tunamuabudu anafanana na hao wengine ambao hawajatawaliwa na wazungu na mungu wa wazungu ni wakufoji kwa ajipi ya maslai yao
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kuamini hizi dini tuliletewa Ina bidi iwe hauna akili [emoji16][emoji16][emoji1787]
Nilivyokuwa mdogo , wakati huo nilikuwa nime fungamana mnoo na masuala ya kiimani , Sasa bwana Kuna Ile mijadala ya wakristo na waislam kuhusu yesu /ISSA
Wakristo Wana sema yesu mungu waislam wanapinga wanasema ni nabii (mtume )

Wakristo wanasema yesu isurubiwa msalabani (Yaani mungu Alipigwa na binaadamu mpaka akafa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]) Mungu muweza wa yote alizidiwa uwezo na viumbe alivyo viumba mpaka akashindwa kutumia uweza wake wa yote kuwa shinda binaadamu hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inacheesha sana ..

Sasa nilipo Cheka zaidi baada ya kuwa mkubwa nakuanza kutumia logic ni pale waislam wanaposema ni kweli yesu /issa alikamatwa na kupewa mateso lakini hakutundikwa msalabani Kwa sababu siku Ambayo iliyokuwa imepangwa kesho yake akasurubiwe , Mungu alifanya mpango akambadilisha sura mfuasi wa yesu na kumpachika sura ya yesu Halafu yesu akatoroka Kwa kupaa angani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] (hapa ndio Huwa nacheka mpaka basi yaani uso wa mtu umebadilishwa kutoka kwenye sura yake na kuwa na sura ya mtu mwingine bila plastic surgery kufanyika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa nikawa najiuliza huyu mungu mbona. Ni muonevu kiasi hiki na nikatili mnooo ,Baba wa watu ambaye ndiye mfuasi wa yesu aliye badilishwa sura na kukamataa na wayahudi wa kizani kuwa ndiye yesu alimkosea Nini mungu mpaka akaamua ambadilishe sura Ili akamatwe na wayahudi na wakaenda kumtesa mpaka kifo kikamfika Huwa nakosa jibu mpaka Leo ,..

Huyu mungu tuliye fundishwa ni mungu wa mchongo [emoji1787][emoji1787] Mungu kama kweli angekuwepo na sifa zote walizompachika mbona Kuna wakati anatenda matendo ya ajabu Ambayo haya fanani na sifa walizo tueleza kuwa anazo !!!¡?
Elewa kwanza Issa bin Marium sio Yesu Kristo kwa ushahidi wa Quran tukufu na Biblia takatifu vyote vimewaeleza tofauti.
Kama jini anaweza akajibadili umbo lolote au kuwa chochote,kwann Mungu mwenye uwezo wa juu kuzidi shetani na majini.Ulitaka Mungu aje kwa wanadamu katika umbo la moto,panya nk.Yesu ni Mungu katika umbo la mwanadamu Ili aweze wafikia wanadamu na kuwaokoa dhidi ya shetani.
Ilikuwa ni lazima asubirie tena msalabani kwa desturi za Wayahudi aliyesulubiwa msalabani amelaaniwa thus akafafuka kufufuka means ni tendo la kuishinda laana,asingefufuka kusingekuwepo kwa Ukristo duniani, Ukristo means wanaoamini katika Yesu Kristo kwamba ndie mwokozi wao dhidi ya mateso ya shetani, yeye amefanyika Kafara kupitia kafara ya damu yake sisi tunawekwa UHURU kwa jina na damu yake na hatuhitaji tena kutoa kafara za damu za wanyama au kutambika Ili kupata upatanisho Kati yetu na Mungu
 
Mungu wa kweli ni mmoja kila jamii inamwita kwa jina lake ila tabia na matendo yake yanafanana na anajibu ontime mungu wa kiafrika tuliekua tunamuabudu anafanana na hao wengine ambao hawajatawaliwa na wazungu na mungu wa wazungu ni wakufoji kwa ajipi ya maslai yao
Mungu wa kaiafrika ameshindwa kutuokoa kuchukuliwa utumwani na kutawaliwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kuamini hizi dini tuliletewa Ina bidi iwe hauna akili [emoji16][emoji16][emoji1787]
Nilivyokuwa mdogo , wakati huo nilikuwa nime fungamana mnoo na masuala ya kiimani , Sasa bwana Kuna Ile mijadala ya wakristo na waislam kuhusu yesu /ISSA
Wakristo Wana sema yesu mungu waislam wanapinga wanasema ni nabii (mtume )

Wakristo wanasema yesu isurubiwa msalabani (Yaani mungu Alipigwa na binaadamu mpaka akafa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]) Mungu muweza wa yote alizidiwa uwezo na viumbe alivyo viumba mpaka akashindwa kutumia uweza wake wa yote kuwa shinda binaadamu hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inacheesha sana ..

Sasa nilipo Cheka zaidi baada ya kuwa mkubwa nakuanza kutumia logic ni pale waislam wanaposema ni kweli yesu /issa alikamatwa na kupewa mateso lakini hakutundikwa msalabani Kwa sababu siku Ambayo iliyokuwa imepangwa kesho yake akasurubiwe , Mungu alifanya mpango akambadilisha sura mfuasi wa yesu na kumpachika sura ya yesu Halafu yesu akatoroka Kwa kupaa angani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] (hapa ndio Huwa nacheka mpaka basi yaani uso wa mtu umebadilishwa kutoka kwenye sura yake na kuwa na sura ya mtu mwingine bila plastic surgery kufanyika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa nikawa najiuliza huyu mungu mbona. Ni muonevu kiasi hiki na nikatili mnooo ,Baba wa watu ambaye ndiye mfuasi wa yesu aliye badilishwa sura na kukamataa na wayahudi wa kizani kuwa ndiye yesu alimkosea Nini mungu mpaka akaamua ambadilishe sura Ili akamatwe na wayahudi na wakaenda kumtesa mpaka kifo kikamfika Huwa nakosa jibu mpaka Leo ,..

Huyu mungu tuliye fundishwa ni mungu wa mchongo [emoji1787][emoji1787] Mungu kama kweli angekuwepo na sifa zote walizompachika mbona Kuna wakati anatenda matendo ya ajabu Ambayo haya fanani na sifa walizo tueleza kuwa anazo !!!¡?
Kwahiyo una msimamo gani sasa hivi ambao unaona ndio upo sawa?
 
Mungu wa kweli ni mmoja kila jamii inamwita kwa jina lake ila tabia na matendo yake yanafanana na anajibu ontime mungu wa kiafrika tuliekua tunamuabudu anafanana na hao wengine ambao hawajatawaliwa na wazungu na mungu wa wazungu ni wakufoji kwa ajipi ya maslai yao
Kama Mungu ni mmoja basi huo msemo wa kusema mungu wa waafrika hauna maana kwa sababu Mungu ni mmoja tu kwa jamii zote.
 
Back
Top Bottom