Waafrika Jitafakarini Katika Hiyo Miungu Mnayoiabudu

Waafrika Jitafakarini Katika Hiyo Miungu Mnayoiabudu

Kwani Mkuu huyo aliyekataza pombe hapa duniani ni kwa sababu wewe ukinywa anadhurika yeye au kakataza kwa faida ya aliyekatazwa?
Mlevi anaweza kuvua nguo mbele ya mama yake mzazi ama mkwewe na kutoa zakary yake.pombe inaondosha ufahamu.hata binti yako ama kijana wako unaweza kumlawiti kwa akili za pombe.
 
Kwani Ndugu yangu anikisema Umeumbwa Unaelewa nini?. Hata Jiwe Limeumbwa.. samaki wameumbwa .. Anga Limeumbwa... Maji Yameumbwa ..Hewa Imeumbwa...Upepo umeumbwa na Hauonekani

Hata Wewe Binadamu Umeumbwa kama Maji ..miti..mawe..N.k ndicho ninachomaanisha Hapo kwamba Binadamu ameumbwa Kma Vile Hewa na Upepo vilivyoumbwa sijamanisha Unachojaribu wewe kukiweka Akilini Mwako kwamba Kama Kimeumbwa kama Mimi Basi Kifanane na Mimi

Kila Kitu kimuumbwa kwa Nasaba zake. Kuna Vinavyooonekana na Visivyoonekana

Malaika Na Majini Yanaweza Kuonekana Kwa Macho kama Yakijivisha Kwenye Mwili wa Wanyama(Binadamu,Paka,Ndege,Fisi) na Wewe binadamu ukawaona Kwa Macho kupitia Viumbe Hivyo ila Tu kama Una Elimu ya Kuwatambua Wakiwa Kwenye Maumbo hayo. Mfano Mzuri makanisani kila Siku Yamevaa Miili ya Waumini humo Kanisani mwenu
We jamaa! Kwani kuna mtu alisema hao majini na malaika hawajaumbwa?
 
Mlevi anaweza kuvua nguo mbele ya mama yake mzazi ama mkwewe na kutoa zakary yake.pombe inaondosha ufahamu.hata binti yako ama kijana wako unaweza kumlawiti kwa akili za pombe.
Point?
 
Sasa hii mada yako hapa inazungumzia nini? Basi tuseme Mungu ni Mungu tu hakuna wa uongo.
Waongo ni Viumbe si Mungu. Ukisema Kuna Mungu halafu wa Uongo basi Kiumbe ndicho kiongo kilichojifanya Mungu.
 
Hivi unayo habari kua hata shetani ni mungu ANAABUDIWA???
Yes Nina Habari ndio. Ila Hata Akiabudiwa haimaanishi yeye ndio Yule Mungu mwenye Vyote.

Hata Binadamu wapo wanaabudiwa kama Mungu na Walikuwepo Pia Enzi na Enzi. Si Shetani Tu.

Hata Yesu anaabudiwa kama Mungu ingawa si Mungu mwenye Vyote
 
Huyo mungu mwenye vyote yuko peke yake au wako wangapi??
Hahesabiki kwa Umoja au Wingi. Maana Yeye Ni Mwenye Enzi. Enzi haina Wingi wala Umoja.

Ni sawa na nikuulize wewe namba Ya Mwisho ni ngapi Ukihesabu kuanzia 0 1 2 3 4........
 
Chukua Hii Elimu

Mungu hajawahi kugombana Na Kiumbe Chake hata Siku Moja. Waliogombana Ni Viumbe wanaofanana kwa Kila Kitu maana Ili Ugombane inabidi Mfanane kwa Maumbo au Kwa Kuonana. (Ni ngumu binadamu kuweka Chuki na Mbwa,Bata,Jiwe,Mti au Simba.. Ila Ni Rahisi sana Binadamu kwa Binadamu kuwekeana Bifu)

Kwahiyo Ili Mungu agombane Inabidi Awepo Mungu Mwenzake wa Kugombana Naye

Shetani Aligombana Na Mkuu wake au Boss wake kwa Kutofautiana Katika Mamlaka zao. Mungu anayetajwa Hapo si Mungu mwenye Vyote ila Ni Mola wake na Shetani yaani Boss wake na Shetani ambaye wanafanana naye Sema Ni Mkuu wake tu wa Kazi
Hahaaa unajitafuta sana mkuu alafu ukijisoma we mwenyewe hujipati nipe hik kitabu kinachosema hayo au ni kutoka kwa mtakatifu bysotyo 16 mstari 10 mpaka 98
 
Brain genocide

Yaani hivi vijielimu vyenu vinachekesha sana,eti riziki anatoa binadamu mwenzako

Na hewa unayovuta je,anatoa nani
Hewa si Riziki. Acha Kuchanganya Mambo . viumbe Vyote Vinavuta Huwezi sema Hewa ni Riziki wakati Hata Washenzi wanavuta ... Wachamungu wanavuta. Wazinzi wanavuta.

Riziki anatoa Binadamu mwenzako ndio kama Huamini. Panda Mlimani muombe Mungu Chakula kama atakupa.. Muombe Mungu Mavazi kama Atakupa..

Ila Binadamu mwenzako Atakupa ukimuomba Chakula au Mavazi.
 
Hahaaa unajitafuta sana mkuu alafu ukijisoma we mwenyewe hujipati nipe hik kitabu kinachosema hayo au ni kutoka kwa mtakatifu bysotyo 16 mstari 10 mpaka 98
Kitabu kipo ila si Lazima Kiwe na Mtindo unaotaka Wewe wa Mistari na Aya.

Halafu Tumia Akili yako mwenyewe si Lazima Uandikiwe na Mtu mwingine nq Wewe kuiacha Akili yako Pembeni
 
Usitusemee ..!sema akili zako ndo zimelala kungangana na smart ya mzungu kutuharishia hapa[emoji3]hapo hapo unawakataa kua wao ndo wameku'staarabisha hivi ungekua unashinda na lubega badala ya nguo.
Wewe akili yako inawaza Kwamba Mtu mweupe Basi Ndie Mzungu.. Smartphone inatengenezwa hata na Mchina ambaye hana Dini uliyonayo . Utengenezaji wa Simu hauhusiani na Walioleta Dini. Hata Wewe unaweza Tengeneza Chombo chochote kile maana Mungu amekujalia Akili wewe.
 
Uliwahi kujiuliza moto unaopikia ugali upo kwaajili ya kupikia tu?moto ni kwaajili ya kazi nyingi sana.hata uumbaji pia moto umetumika mfano majini wameumbiwa na moto.pia moto kazi yake nyengine ni kuchoma wasiosadiki katika matendo yao.
Mmepumbazwa Sana. Mnabidi Mjitafakari.

Mungu anakuchoma ili apate Faida gani Yeye? Amekuumba Ili Akuchome Mwishoni
 
Waongo ni Viumbe si Mungu. Ukisema Kuna Mungu halafu wa Uongo basi Kiumbe ndicho kiongo kilichojifanya Mungu.
Ndio nimesema Mungu ni Mungu tu, hivyo hoja yako ya kutaka tutafakari aina ya Miungu tunayoiabudu haina mashiko.
 
Uliwahi kujiuliza moto unaopikia ugali upo kwaajili ya kupikia tu?moto ni kwaajili ya kazi nyingi sana.hata uumbaji pia moto umetumika mfano majini wameumbiwa na moto.pia moto kazi yake nyengine ni kuchoma wasiosadiki katika matendo yao.
leta ushahidi
 
Ndio nimesema Mungu ni Mungu tu, hivyo hoja yako ya kutaka tutafakari aina ya Miungu tunayoiabudu haina mashiko.
Ndio maana Nikasema Huwezi Abudu Mungu mtaka Vitu ukasema Unaabudu Mungu mwenye Vyote .

Halafu ukawa Sawa Akilini
 
Yes Nina Habari ndio. Ila Hata Akiabudiwa haimaanishi yeye ndio Yule Mungu mwenye Vyote.

Hata Binadamu wapo wanaabudiwa kama Mungu na Walikuwepo Pia Enzi na Enzi. Si Shetani Tu.

Hata Yesu anaabudiwa kama Mungu ingawa si Mungu mwenye Vyote
OK,mimi mungu wangu ni ALLAH

MWENYEZIMUNGU mmoja ambae hakuzaa wala hakuzaliwa na hafananishwi na chochote

Na wewe nitajie mungu wako anaitwa nani?
 
Ndio maana Nikasema Huwezi Abudu Mungu mtaka Vitu ukasema Unaabudu Mungu mwenye Vyote .

Halafu ukawa Sawa Akilini
Nilidhani tunakubaliana kwamba Mungu ni Mungu tu sasa unaleta hoja ya Mungu mwenye vyote na Mungu mtaka vitu.
 
Back
Top Bottom