Waafrika Jitafakarini Katika Hiyo Miungu Mnayoiabudu

Habarini Ndugu.

Afrika Afrika Afrika na pande baadhi Duniani kwa Ujumla Tumevurugwa na Vichwa Vyetu vimeoza kwa Kupotoshwa kwa Makusudi na Kwq Wengine kwa Ulazima wa Nguvu za Mabavu

Tumekubali Kuabudu Miungu badala ya Mungu mwenye Vyote . Sasa Tunaabudu Miungu ya Watu na Makabila ya Kale.

Leo hii Mtu kutoka Ulaya akija Kukusimulia Amemuona Malaika Kashuka Kutoka Mbinguni Akamwambia Moja Mbili Tatu. Na Jina Lake ni Fulani. Mwafrika Bila Kufikiria Anaanza Kumwomba Huyo Malaika Kwa Maneno tu Ya Jmaa mmoja Mwenye Ndevu nyingi aliyetoka Huko kumwambia Hivyo.

Mwafrika anajikuta anaanza Kuabudu kitu asichokijua wala hajawahi kukiona . mwisho wa siku anaharibikiwa Maishani anaanza Kulaumu Dunia Imeoza . wakati Yeye kumbe ndie kaoza kwa Kuabudu vitu Alivyoambiwa na Kuandikiwa tu kwenye Karatasi. Na Tena Hata Bila Kutumia Akili Timamu Anaanza Kukitetea Kitu ambacho hajawahi Kukiona zaidi ya Kuambiwa Na Kuandikiwa kwenye Karatasi.

Mwisho wa Siku mnajikuta Mnaabudu Viumbe Malaika na Mnaacha Njia Sahihi za Maisha Yenu. Chunguzeni mtagundua Kwamba Nyie Mnaabudu Viumbe Malaika, maana Ndio waliowapotosha kwa Kuwaleteni Ujumbe na Wakasingizia Umetoka Kwa Mungu

Hebu Chukulia mfano huu. Kama Kweli mmefunga Na Mna-utaratibu wa Kuabudu ulio sawa basi Mngefungua Wote na Mkawa na Umoja Ulio sawa ila Angelieni Mlivyovurugwa. Huku mnasema Hivi Kule Wanasema Vile. Kma Kweli mnaabudu Mungu Mmoja Inakuwaje Leo Mnapingana?

Ndio mmjue Kwamba hamuabudu Huyo Mola mmoja Bali mna Ma mola Wengi wasioelewana. Maana Mola Si Mungu na Mungu si Mola.

Jambo Jingine

Leo hii Mwafrika Atakubali utafiti wa Mtu kutoka Nje kuliko Yeye Mwenyewe kujitafakari Ki Akili Timamu. Leo hii Watanzania Wengine wanaamini Eti mtu wa Kwanza Fuvu lake Lilikuwa Tanzania. Hivi kama Kweli Mtu wa Kwanza Alikuwa Tanzania , Mngehitaji Mtu mwingine aje Awaambie Hivyo kwani Nyie Hamkuwepo Tanzania(Tanganyika)? Mkamuona Huyo Mtu wa Kwanza Na Kizazi chake mpka Mtu mwingine Aje eti awaambie Mtu wa Kwanza Alikuwaga Hapa

Kwa Akili Timamu Haiingii akilini Wewe mwafrika Uje Usimuliwe Kama Vile Wewe hunaga Akili za Kutafakari. Kazi yako ni kupokea tu vitu usivyovijua Vimetokea wapi. Ukiangalia Mambo yao Mengi wanayowaandikia kwenye Vitabu mnavyovisoma Vingi ni Nadharia tu(Theory) maana Yake Bado hawana Uhakika na Wanayokuandikia Wewe uyasome. Ndio maana Leo hii Kitu ulichokisoma Miaka 5 nyuma Kishabadilika Hakipo vile ulivyokisoma Leo hii na Sometimes Ulidanganywa Huko miaka 5 nyuma.

Waafrika Tujitafakari Kabla Hatujapokea pokea Vitu Na Tukaviweka Vifuani Mwetu na Kuvitetea .

ASANTE
Hebu nyooka sasa, tuambie mu gu wa kweli ni yupi tumfuate na uliwezaje kumjua kwa kutafakari bila kuambiwa habari zake?
 
Hivi Afrika tuna mungu wetu wa waafrika tu na jamii zengine wana miungu yao kwa jamii zao tu au ikoje?
Hakuna Mungu wetu. Wote tumeumbwa na Mungu mwenye Vyote.

Ni ukengeufu wa Viumbe wengine kama Majini na Malaika kushirikiana na Binadamu kuleta Elimu za Miungu na Ndio tunaiabudu hiyo Miungu ya Hao Majini na Malaika

Ni sawa na Binadamu wa Kale walipokuwa wanalazimisha Watumwa Wao kuwaabudu kama Mungu. Mfano Mzuri Misri na Nero aliyekuwa anaabudiwa kama Mungu.
 
Mada yote inauchungu wa kuwa na iddi mbili, mara madevu jamaa acha chokochoko semea dini yako!
Mimi siabudu kwenye Hizo Dini. Mie nawaambia Waafrika Mliovurugwa Akili zenu. Kama Mna Mungu mmoja Iweje Leo mnatengana na kila Mmoja Anaongea La Kwake
 
Yapo mangapi barabarani au kwenye yard na yana ubora gani?
Yataingiaje Barabarani wakati Ndugu yangu hujaenda Kununua?

Ubora huwezi ujua ukiwa humu JF. Ni wewe kwenda Mahala Husika na Kuulizia na Uende na Fundi wako unayemwamini
 
Yaani umeandika andika tu hujulikani hoja yako imesimamia wapi, haya ndo matokeo ya shule za mwendokasi....
 
Wewe ni Mtu wa 25 kupost. Sasa iulize Kwanza hiyo akili yako kwanza haijaelewa Wapi kabla hujacomment katika watu 24 waliochangia humu wa Mwanzo
 
Kwahio waache kuamini wanachokiamini ila wakufuate wewe / ushauri wako cha nini kuamini ?

Binafsi nadhani ni busara mtu kuamini chochote anachoona yeye kinamfaa na kusamidia katika maisha yake hapa duniani so long as haleti kero kwa yoyote anayemzunguka (yaani Imani yako isiwe kero kwa yoyote yule) au usitake kuwalazimisha watu waamini kama wewe...
 
Hebu nyooka sasa, tuambie mu gu wa kweli ni yupi tumfuate na uliwezaje kumjua kwa kutafakari bila kuambiwa habari zake?
Mungu wa kweli ni mwenye Sifa hizi.
1. Mungu si Wengi wala Si Mmoja kwa Maana yq Kuhesabika

2. Mungu si mshirika. Yaani ashirikiani na Viumbe vyake alivyoviumba katika kufanya kazi zake. Kwahiyo Mungu hana Mtume wala nabii anayemtumaga Kufanya kazi zake.

3. Mungu haongei ,maana Hana Wa Kufanya naye mazungumzo,labda kungekuwa na Mungu mwingine ndie angeweza Ongea naye

4. Mungu si mkubwa wala si mdogo kwa maana ya Kupimika. Kwamba Unaweza Kumpima hivi na Kusema ana ukubwa Fulani

5. Mungu hakai na Viumbe vyake. Ameviumba akaviweka Sehemu inayotakiwa na Yeye Yupo Nje ya Kuishi

LA MWISHO

Na ndio nimeambiwa na Kuzitafakari sifa hizo nami ndio nakuambia Hivyo. Maana Ili usiweze kuambiwa inabidi uwe mtu wa kwanza Kuwepo hapa Duniani
 
Kwahio waache kuamini wanachokiamini ila wakufuate wewe / ushauri wako cha nini kuamini ?

Hakuna mahala Ndugu nimesema Acheni mambo yenu nifuateni Mimi.

Lengo langu ni Mjipime kwa Akili zenu muone kama Mnafuata Vitu sahihi. Maana Vimewavuruga kiasi kwamba Hamuwezi kuwa Wamoja hata siku moja Nyie wenyewe mkiwa mnapingana. Huyu anasema Hivi yule anasema Vile. Halafu hapo hapo mnasema Mna Mungu mmoja (Mola wenu )

Hamuoni kwamba Mmeoza akili hapo

Binafsi nadhani ni busara mtu kuamini chochote anachoona yeye kinamfaa na kusamidia katika maisha yake hapa duniani so long as haleti kero kwa yoyote anayemzunguka (yaani Imani yako isiwe kero kwa yoyote yule) au usitake kuwalazimisha watu waamini kama wewe...

Sasa Hebu Kipimo hicho hicho ulichopima kuhusu Kutomlazimisha Mtu Akuamini Wewe. Kakipime kwenye hizo Dini Utakuta Haya

1. Wameshaua na Kuua watu Ili waziamini Dini zao

2. Wanatisha Watu na kuwaambia Mungu wao atawachoma moto kama Wasipomfuata

3. Mungu wao ana mtoto ambayekama Watu wasipomuamini huyo Mtoto atakuja na Kuwaangamiza wote wasioamini

Sasa Hebu Niambie Ndugu yangu Wewe unayesema Hayo maneno hizo dini ni za Ukweli na Haki?
 
Habarini Ndugu.

Afrika Afrika Afrika na pande baadhi Duniani kwa Ujumla Tumevurugwa na Vichwa Vyetu vimeoza kwa Kupotoshwa kwa Makusudi na Kwq Wengine kwa Ulazima wa Nguvu za Mabavu

Tumekubali Kuabudu Miungu badala ya Mungu mwenye Vyote . Sasa Tunaabudu Miungu ya Watu na Makabila ya Kale.

Leo hii Mtu kutoka Ulaya akija Kukusimulia Amemuona Malaika Kashuka Kutoka Mbinguni Akamwambia Moja Mbili Tatu. Na Jina Lake ni Fulani. Mwafrika Bila Kufikiria Anaanza Kumwomba Huyo Malaika Kwa Maneno tu Ya Jmaa mmoja Mwenye Ndevu nyingi aliyetoka Huko kumwambia Hivyo.

Mwafrika anajikuta anaanza Kuabudu kitu asichokijua wala hajawahi kukiona . mwisho wa siku anaharibikiwa Maishani anaanza Kulaumu Dunia Imeoza . wakati Yeye kumbe ndie kaoza kwa Kuabudu vitu Alivyoambiwa na Kuandikiwa tu kwenye Karatasi. Na Tena Hata Bila Kutumia Akili Timamu Anaanza Kukitetea Kitu ambacho hajawahi Kukiona zaidi ya Kuambiwa Na Kuandikiwa kwenye Karatasi.

Mwisho wa Siku mnajikuta Mnaabudu Viumbe Malaika na Mnaacha Njia Sahihi za Maisha Yenu. Chunguzeni mtagundua Kwamba Nyie Mnaabudu Viumbe Malaika, maana Ndio waliowapotosha kwa Kuwaleteni Ujumbe na Wakasingizia Umetoka Kwa Mungu

Hebu Chukulia mfano huu. Kama Kweli mmefunga Na Mna-utaratibu wa Kuabudu ulio sawa basi Mngefungua Wote na Mkawa na Umoja Ulio sawa ila Angelieni Mlivyovurugwa. Huku mnasema Hivi Kule Wanasema Vile. Kma Kweli mnaabudu Mungu Mmoja Inakuwaje Leo Mnapingana?

Ndio mmjue Kwamba hamuabudu Huyo Mola mmoja Bali mna Ma mola Wengi wasioelewana. Maana Mola Si Mungu na Mungu si Mola.

Jambo Jingine

Leo hii Mwafrika Atakubali utafiti wa Mtu kutoka Nje kuliko Yeye Mwenyewe kujitafakari Ki Akili Timamu. Leo hii Watanzania Wengine wanaamini Eti mtu wa Kwanza Fuvu lake Lilikuwa Tanzania. Hivi kama Kweli Mtu wa Kwanza Alikuwa Tanzania , Mngehitaji Mtu mwingine aje Awaambie Hivyo kwani Nyie Hamkuwepo Tanzania(Tanganyika)? Mkamuona Huyo Mtu wa Kwanza Na Kizazi chake mpka Mtu mwingine Aje eti awaambie Mtu wa Kwanza Alikuwaga Hapa

Kwa Akili Timamu Haiingii akilini Wewe mwafrika Uje Usimuliwe Kama Vile Wewe hunaga Akili za Kutafakari. Kazi yako ni kupokea tu vitu usivyovijua Vimetokea wapi. Ukiangalia Mambo yao Mengi wanayowaandikia kwenye Vitabu mnavyovisoma Vingi ni Nadharia tu(Theory) maana Yake Bado hawana Uhakika na Wanayokuandikia Wewe uyasome. Ndio maana Leo hii Kitu ulichokisoma Miaka 5 nyuma Kishabadilika Hakipo vile ulivyokisoma Leo hii na Sometimes Ulidanganywa Huko miaka 5 nyuma.

Waafrika Tujitafakari Kabla Hatujapokea pokea Vitu Na Tukaviweka Vifuani Mwetu na Kuvitetea .

ASANTE
 
Kwanza Mungu hayupo kama Vitabu vyovyote vilivyoandika. Hivyo vitabu Vimeandikwa na Viumbe Binadamu wakishirikiana na Malaika na Majini.

Vitabu hivyo Licha ya Kuwa Vimejinasibu ni vya Mungu ila Vinapingana Venyewe kwa Vyenyewe na vina Makosa Mengi ya Kiuandishi na Kimantiki.
 
Ukijitambua hata unachokiabudu utakielewa.......wa afrika tumepoteza identity yetu ndo maana hadi maswala ya kiroho tunapigwa chenga pia
Mkuu kiuhalisia tunapozaliwa hizi imani tunazikuta kutoka kwa wazazi au jamii husika, ndio maana mwanzo nikauliza kwani kuna mungu wa kila jamii ili nijue kwamba jamii fulani wao wanamuabudu hivi mungu wa jamii yao na jamii nyengine nao humuabudu vile mungu wa jamii yao.
 
Kwanza Mungu hayupo kama Vitabu vyovyote vilivyoandika. Hivyo vitabu Vimeandikwa na Viumbe Binadamu wakishirikiana na Malaika na Majini.

Vitabu hivyo Licha ya Kuwa Vimejinasibu ni vya Mungu ila Vinapingana Venyewe kwa Vyenyewe na vina Makosa Mengi ya Kiuandishi na Kimantiki.
Yani huo muungano wa viumbe aina tatu wenye uwezo na maarifa tofauti tofauti wameandika vitabu na wakakosea uandishi?

Inawezekanaje hiyo?
 
Mimi siabudu kwenye Hizo Dini. Mie nawaambia Waafrika Mliovurugwa Akili zenu. Kama Mna Mungu mmoja Iweje Leo mnatengana na kila Mmoja Anaongea La Kwake
Unajua mkuu hata wewe unayoyaeleza hapa kuhusu mungu huyo unayemuamini tofauti na Mungu wa hizi dini basi tambua kuwa kuna wengine nao hawaamini mungu wa dini lakini huyo mungu anayeamuamini yeye anamuelezea tofauti na mungu unayemuelezea wewe.
 
Hakuna Mungu wetu. Wote tumeumbwa na Mungu mwenye Vyote.

Ni ukengeufu wa Viumbe wengine kama Majini na Malaika kushirikiana na Binadamu kuleta Elimu za Miungu na Ndio tunaiabudu hiyo Miungu ya Hao Majini na Malaika

Ni sawa na Binadamu wa Kale walipokuwa wanalazimisha Watumwa Wao kuwaabudu kama Mungu. Mfano Mzuri Misri na Nero aliyekuwa anaabudiwa kama Mungu.
Sasa kwanini mnahusisha sana uafrika mnapozungumzia habari za Mungu? Mara nyingi mnasema waafrika tumeacha asili yetu na kufuata miungu au dini za wenzetu? Kama Mungu ni mmoja ambaye ndio kamuumba muafrika mchina muarabu mzungu na kwamba utaratibu wa kumuabudu ni mmoja sasa inakuaje ninyi mnasema tunafuata miungu ya wenzetu au imani za wenzetu kana kwamba kuna taratibu tofauti za kumuabudu mungu kuendana na jamii husika?
 
Yani huo muungano wa viumbe aina tatu wenye uwezo na maarifa tofauti tofauti wameandika vitabu na wakakosea uandishi?

Inawezekanaje hiyo?
Angalia Kitabu kama Cha Wenzetu wale wanachosema kiliteremshwa. Anayemwambia Ni Nani? Yule wanamnasibu ni Malaika kwenye Kile Kitabu akishirikiana na Binadamu ambaye ndie Huyo mtume wao.

Sasa Jiulize Mwenyewe. Maswali hapo Mungu anaweza Kufanya Huo Ujinga na Ma Nguvu yote aliyoyatumia Kuumba Dunia leo hii Aje Amlazimishe Binadamu kumwabudu.

Yaani Mungu aliyeumbq Ulimwengu huu pamoja na Viumbe Wote hawa Waliopo Humu ,leo hii Binadamu Kiumbe mmoja Tu ndio Amuumize Kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini mnahusisha sana uafrika mnapozungumzia habari za Mungu? Mara nyingi mnasema waafrika tumeacha asili yetu na kufuata miungu au dini za wenzetu? Kama Mungu ni mmoja ambaye ndio kamuumba muafrika mchina muarabu mzungu na kwamba utaratibu wa kumuabudu ni mmoja sasa inakuaje ninyi mnasema tunafuata miungu ya wenzetu au imani za wenzetu kana kwamba kuna taratibu tofauti za kumuabudu mungu kuendana na jamii husika?
Ndugu yangu Ukengeufu uliingia Afrika na Duniani. Na Uliingia Kwa Mabavu ya Kulazimisha watu kwa Mapanga na Bunduki kufuata Tamaduni za Watekaji. Mzungu na Mwarabu waliwalazimisha Waafrika Kufuata Wanachokiamini Wao

Hata Kwenye Vitabu Vyao Imeandikwa Kuna Malaika Waliasi na Kuna Majini waliasi pia na Ndio wanaowavuruga Hao. Na si Kwamba Walimuasi Mungu ila Waliasi kwa Wakubwa Zao wenywe kwa Wenyewe na Kuasi kwao Ndiko kukaleta Elimu Kwa Viumbe Binadamu ikiwemo Uchawi na Ushirikina pamoja na Dini hizi Zilizopo Leo hii amabzo Hazina Umoja

Afrika Jina La Mungu lilikuwepo Kabla ya Ujio wao na Ndipo Mungu alikuwa anaabudiwa(kumtii) hasa Afrika ya Kati Mpaka Huku kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom