Waafrika Jitafakarini Katika Hiyo Miungu Mnayoiabudu

Habarini Ndugu.

Afrika Afrika Afrika na pande baadhi Duniani kwa Ujumla Tumevurugwa na Vichwa Vyetu vimeoza kwa Kupotoshwa kwa Makusudi na Kwq Wengine kwa Ulazima wa Nguvu za Mabavu

Tumekubali Kuabudu Miungu badala ya Mungu mwenye Vyote . Sasa Tunaabudu Miungu ya Watu na Makabila ya Kale.

Leo hii Mtu kutoka Ulaya akija Kukusimulia Amemuona Malaika Kashuka Kutoka Mbinguni Akamwambia Moja Mbili Tatu. Na Jina Lake ni Fulani. Mwafrika Bila Kufikiria Anaanza Kumwomba Huyo Malaika Kwa Maneno tu Ya Jmaa mmoja Mwenye Ndevu nyingi aliyetoka Huko kumwambia Hivyo.

Mwafrika anajikuta anaanza Kuabudu kitu asichokijua wala hajawahi kukiona . mwisho wa siku anaharibikiwa Maishani anaanza Kulaumu Dunia Imeoza . wakati Yeye kumbe ndie kaoza kwa Kuabudu vitu Alivyoambiwa na Kuandikiwa tu kwenye Karatasi. Na Tena Hata Bila Kutumia Akili Timamu Anaanza Kukitetea Kitu ambacho hajawahi Kukiona zaidi ya Kuambiwa Na Kuandikiwa kwenye Karatasi.

Mwisho wa Siku mnajikuta Mnaabudu Viumbe Malaika na Mnaacha Njia Sahihi za Maisha Yenu. Chunguzeni mtagundua Kwamba Nyie Mnaabudu Viumbe Malaika, maana Ndio waliowapotosha kwa Kuwaleteni Ujumbe na Wakasingizia Umetoka Kwa Mungu

Hebu Chukulia mfano huu. Kama Kweli mmefunga Na Mna-utaratibu wa Kuabudu ulio sawa basi Mngefungua Wote na Mkawa na Umoja Ulio sawa ila Angelieni Mlivyovurugwa. Huku mnasema Hivi Kule Wanasema Vile. Kma Kweli mnaabudu Mungu Mmoja Inakuwaje Leo Mnapingana?

Ndio mmjue Kwamba hamuabudu Huyo Mola mmoja Bali mna Ma mola Wengi wasioelewana. Maana Mola Si Mungu na Mungu si Mola.

Jambo Jingine

Leo hii Mwafrika Atakubali utafiti wa Mtu kutoka Nje kuliko Yeye Mwenyewe kujitafakari Ki Akili Timamu. Leo hii Watanzania Wengine wanaamini Eti mtu wa Kwanza Fuvu lake Lilikuwa Tanzania. Hivi kama Kweli Mtu wa Kwanza Alikuwa Tanzania , Mngehitaji Mtu mwingine aje Awaambie Hivyo kwani Nyie Hamkuwepo Tanzania(Tanganyika)? Mkamuona Huyo Mtu wa Kwanza Na Kizazi chake mpka Mtu mwingine Aje eti awaambie Mtu wa Kwanza Alikuwaga Hapa

Kwa Akili Timamu Haiingii akilini Wewe mwafrika Uje Usimuliwe Kama Vile Wewe hunaga Akili za Kutafakari. Kazi yako ni kupokea tu vitu usivyovijua Vimetokea wapi. Ukiangalia Mambo yao Mengi wanayowaandikia kwenye Vitabu mnavyovisoma Vingi ni Nadharia tu(Theory) maana Yake Bado hawana Uhakika na Wanayokuandikia Wewe uyasome. Ndio maana Leo hii Kitu ulichokisoma Miaka 5 nyuma Kishabadilika Hakipo vile ulivyokisoma Leo hii na Sometimes Ulidanganywa Huko miaka 5 nyuma.

Waafrika Tujitafakari Kabla Hatujapokea pokea Vitu Na Tukaviweka Vifuani Mwetu na Kuvitetea .

ASANTE
So useme unachotaka kusema unazunguuuuka ..sema tu Mungu ni yule wa Mudi yaishe.
 
Angalia Kitabu kama Cha Wenzetu wale wanachosema kiliteremshwa. Anayemwambia Ni Nani? Yule wanamnasibu ni Malaika kwenye Kile Kitabu akishirikiana na Binadamu ambaye ndie Huyo mtume wao.

Sasa Jiulize Mwenyewe. Maswali hapo Mungu anaweza Kufanya Huo Ujinga na Ma Nguvu yote aliyoyatumia Kuumba Dunia leo hii Aje Amlazimishe Binadamu kumwabudu.

Yaani Mungu aliyeumbq Ulimwengu huu pamoja na Viumbe Wote hawa Waliopo Humu ,leo hii Binadamu Kiumbe mmoja Tu ndio Amuumize Kichwa



Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia makosa ya uandishi kwenye vitabu vya dini au unazungumzia suala la Mungu kutaka kuabudiwa?
 
Ndugu yangu Ukengeufu uliingia Afrika na Duniani. Na Uliingia Kwa Mabavu ya Kulazimisha watu kwa Mapanga na Bunduki kufuata Tamaduni za Watekaji. Mzungu na Mwarabu waliwalazimisha Waafrika Kufuata Wanachokiamini Wao

Hata Kwenye Vitabu Vyao Imeandikwa Kuna Malaika Waliasi na Kuna Majini waliasi pia na Ndio wanaowavuruga Hao. Na si Kwamba Walimuasi Mungu ila Waliasi kwa Wakubwa Zao wenywe kwa Wenyewe na Kuasi kwao Ndiko kukaleta Elimu Kwa Viumbe Binadamu ikiwemo Uchawi na Ushirikina pamoja na Dini hizi Zilizopo Leo hii amabzo Hazina Umoja

Afrika Jina La Mungu lilikuwepo Kabla ya Ujio wao na Ndipo Mungu alikuwa anaabudiwa(kumtii) hasa Afrika ya Kati Mpaka Huku kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nijuavyo mkuu waafrika tuna mila na tamaduni zetu tofauti tofauti kutokea kwenye makabila yetu, hivyo kinacholalamikiwa ni watu kuacha hizo mila na tamaduni za makabila yetu ila sidhani kama waafrika tulikuwa na imani moja kwa maana wote tunaamini Mungu mmoja na tuna utaratibu wa pamoja wa kumuabudu huyo Mungu.

Hebu niweke sawa.
 
Sasa kufunga imeingiaje na wapi watu wanavurugana kweny kufunga wote wamekamilisha 30
 
Watu mmekuwa na makasiriko sana kuhusu hizi dini, sijui tatizo ni nini!
 
Sasa kufunga imeingiaje na wapi watu wanavurugana kweny kufunga wote wamekamilisha 30
Jiangalie mlivyo Huko Mtaani jinsi Gani Mnavyojivuruga. Kuna Wengine Wamefungua J3 na Wengine Wamefungua j4. Halafu bado mnasema Mna Mungu Mmoja

Huyo anakuwaje Mmoja wakati ana maelekezo mawili tofauti ya Jumatatu na Jumanne
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nijuavyo mkuu waafrika tuna mila na tamaduni zetu tofauti tofauti kutokea kwenye makabila yetu, hivyo kinacholalamikiwa ni watu kuacha hizo mila na tamaduni za makabila yetu ila sidhani kama waafrika tulikuwa na imani moja kwa maana wote tunaamini Mungu mmoja na tuna utaratibu wa pamoja wa kumuabudu huyo Mungu.

Hebu niweke sawa.
Kwanza Neno Mila maana Yake ni Chakula Kilichokuwa kinaliwa na Kabila Fulani. Wachaga wana Mila Zao wasukuma wana Mila Zao hivyo hivyo na Makabila mengine ila Kwenye Swala la Imani nitakuambia hivi

Afrika Tulikuwa tunaabudu Mungu na Alikuwa anaitwa MUNU HUNGU yaani mwenye Vyote kutoka Kibantu, kwa Kiswahili cha sasa ndio MUNGU mnamwita hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiangalie mlivyo Huko Mtaani jinsi Gani Mnavyojivuruga. Kuna Wengine Wamefungua J3 na Wengine Wamefungua j4. Halafu bado mnasema Mna Mungu Mmoja

Huyo anakuwaje Mmoja wakati ana maelekezo mawili tofauti ya Jumatatu na Jumanne
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili huna ungeuliza wote wamekamilisha 30 🤣🤣🤣hamna tatizo mbona
 
Akili huna ungeuliza wote wamekamilisha 30 hamna tatizo mbona
Huoni Tatizo maana Umejifunga Akili ndugu . Hapa Mtaani Kwetu kunq Wengine Walifungua J3 na Wengine j4 na Wote ni Dini Moja. Ukiniambia tujadili kuhusu Wamekamilisha 30 nakushangaa. Maana Viongozi wenu walitangaza bado Haujaonekana ila Wengine wakakaidi .. Maanq Yake nyie si Wamoja na Mungu wenu si mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza Mungu hayupo kama Vitabu vyovyote vilivyoandika. Hivyo vitabu Vimeandikwa na Viumbe Binadamu wakishirikiana na Malaika na Majini.

Vitabu hivyo Licha ya Kuwa Vimejinasibu ni vya Mungu ila Vinapingana Venyewe kwa Vyenyewe na vina Makosa Mengi ya Kiuandishi na Kimantiki.
Kwa ukikili vitabu vimeandikwa na viumbe binadamu na kushilikiana na Malaika pamoja na majini tiyari unajichanganya mwanyewe.

Hebu tuambie Malaika ni Nani? Na majini ni Nani?. Je Malaika ni watumishi wa Nani? Kazi wanazifanya ni zao binafisi au wanatumwa?. Kama wanatumwa ni Nani anayewatuma?. Kama ni zao binafisi wao walitoka wapi?.

Hebu tuletee baadhi ya sehemu zinazojichanganya zenyewe?
 
Kwanza Neno Mila maana Yake ni Chakula Kilichokuwa kinaliwa na Kabila Fulani. Wachaga wana Mila Zao wasukuma wana Mila Zao hivyo hivyo na Makabila mengine ila Kwenye Swala la Imani nitakuambia hivi

Afrika Tulikuwa tunaabudu Mungu na Alikuwa anaitwa MUNU HUNGU yaani mwenye Vyote kutoka Kibantu, kwa Kiswahili cha sasa ndio MUNGU mnamwita hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo waafrika tulikuwa na utaratibu mmoja wa kumuabudu Mungu mmoja?
 
Za kuambiwa changanya na za kwako... Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Wazungu wajitafakari. Kila kukicha ohhh Afrika Afrika Afrika.

Mnahuzunika nini wakati nyie kwenu mnatia huzuni. Kulala na binamu zenu. Hamumwogopi huyu mungu wenu?

Mtuachie tunogile visanamu vyetu. wivu wivu tu umewavimbira.
 
Kwa ukikili vitabu vimeandikwa na viumbe binadamu na kushilikiana na Malaika pamoja na majini tiyari unajichanganya mwanyewe.

Hebu tuambie Malaika ni Nani? Na majini ni Nani?.
Malaika ni Viumbe kama Wewe kiumbe Binadamu . Wameumbwa Na Kuwekwa Katika Sayari yao Na Wewe kuwekwa Katika Sayari ya Kwako

Majini Ni Viumbe Pia kama Walivyo Malaika na Wewe Binadamu nao Wanakaa Katika Sayari yao waliyoumbiwa Kuishi Huko


Je Malaika ni watumishi wa Nani?

Malaika Si Watumishi wa Kitu chochote kile ni kiumbe kama Wewe wanaishi na Kuzaliana Kama Wewe unavyozaliana. Kwahiyo Wanatumana Wao kwa Wao kama Wewe unavyotumwa Na Mkuu wako wa Kitengo kama Vile Raisi anavyotuma Wasaidizi wake. Na Hivyo hivyo Malaika na Majini Ndivyo yanavyotumana

Kazi wanazifanya ni zao binafisi au wanatumwa?.

Kazi wanazozifanya ni Zao Binafsi. Wanatumana Wao kwa Wao. Yaani Mkuu wao Ndie anayewatuma Wakafanye Hizo Kazi ndio hao Ma Mola Wao . Ni kama Vile Sisi Tunavyotuma Binadamu Waende Mwezini Wakifika Huko Kama Kuna Viumbe Wengine Hao Viumbe Watawaona Binadamu ni Tofauti na Wao na Kama Watawapachika Majina wanaweza Kusema Wametokewa na Mungu au Malaika. Kumbe ni Binadamu tu waliotokea Duniani wakafika Mwezini.


Kama wanatumwa ni Nani anayewatuma?.
Wanatukwa na Wakuu wao wa Kazi. Hawatumwi na Mungu. Kama Vile Wewe ukimtuma Mfanyakazi wako akafanye kazi Fulani

Kama ni zao binafisi wao walitoka wapi?.

Hebu tuletee baadhi ya sehemu zinazojichanganya zenyewe?

Hao ni Viumbe walioumbwa kama Wewe ulivyoumbwa .. Kama Mbwa alivyoumbwa...kama Paka Alivyoumbwa na Kama Fisi au Kuku walivyoumbwa na Wote hao ni Viumbe walio na Tawala zao na Kuzaliana Kivyao vyao.

Kasome Mwanzo 20:6
Kasome Kisa Cha Paulo alivyotokewa na Malaika na Akawa Kipofu.
 
Point yako ni ipi mkuu?
Pointi yangu imegawamyika
1. Kama Vitabu hivyo Vinanasibiwa ni vya Mungu na Vimeandikwa kwa Uwezo wake kwa Njia ya Roho mtakatifu. Ndugu yangu Haviwezi kuwa na Makosa Kiuandishi wala Ki mantiki yeyote yule kwa Vile vimetokana na Yeye kuwa mkamilifu. Kwahiyo akiandika kitabu chenye makosa basi Hana Ukamilifu tena

2. Mungu kwenye Vitabu ameandika kwamba Wamwabudu ila hakuwekaga Muongozo wake wa Jinsi Gani aabudiwe. Kwahiyo Kwenye Vitabu Hivyo watu wameweka Miongozo yao Binafsi tu. Mungu kaandika usimwabudu Mungu mwingine ila Mimi. Sasa Wanaabuduje kama Hujawapa Muongozo
 
Back
Top Bottom