Waafrika Jitafakarini Katika Hiyo Miungu Mnayoiabudu

Kama Mungu ni mmoja basi huo msemo wa kusema mungu wa waafrika hauna maana kwa sababu Mungu ni mmoja tu kwa jamii zote.
Mungu ni mmoja tu alieumba dunia na kumlaan shetan ila kinachotokea shetan anawahadaa watu kwa kuwambia mungu ni huyu kumbe sio huyoo hiko ndio kiapo cha shetan alichoapa baada ya kutimuliwa kua atawapotosha watu wa mungu maisha yao yote
 
Elewa kwanza Issa bin Marium sio Yesu Kristo kwa ushahidi wa Quran tukufu na Biblia takatifu vyote vimewaeleza tofauti.
Kama jini anaweza akajibadili umbo lolote au kuwa chochote,kwann Mungu mwenye uwezo wa juu kuzidi shetani na majini.Ulitaka Mungu aje kwa wanadamu katika umbo la moto,panya nk.Yesu ni Mungu katika umbo la mwanadamu Ili aweze wafikia wanadamu na kuwaokoa dhidi ya shetani.
Ilikuwa ni lazima asubirie tena msalabani kwa desturi za Wayahudi aliyesulubiwa msalabani amelaaniwa thus akafafuka kufufuka means ni tendo la kuishinda laana,asingefufuka kusingekuwepo kwa Ukristo duniani, Ukristo means wanaoamini katika Yesu Kristo kwamba ndie mwokozi wao dhidi ya mateso ya shetani, yeye amefanyika Kafara kupitia kafara ya damu yake sisi tunawekwa UHURU kwa jina na damu yake na hatuhitaji tena kutoa kafara za damu za wanyama au kutambika Ili kupata upatanisho Kati yetu na Mungu
Una ushahidi kuwa jini anaweza kuibadilisha na kuwa kiumbe chochote utupatie ushahidi huo !? Swali langu kwako imekuaje mungu Ambadilishe mtu mwingine sura na kumuacha aangamizwe huyo mtu alimkosea Nini mungu !? Wewe hauoni kuwa huo ni uonevu !? Mungu muweza wa yote mwenye upendo Kwa wote anawezaje kuwa katili kiasi hicho huo upendo wake Kwa wote uko wapi ??
 
Elewa kwanza Issa bin Marium sio Yesu Kristo kwa ushahidi wa Quran tukufu na Biblia takatifu vyote vimewaeleza tofauti.
Kama jini anaweza akajibadili umbo lolote au kuwa chochote,kwann Mungu mwenye uwezo wa juu kuzidi shetani na majini.Ulitaka Mungu aje kwa wanadamu katika umbo la moto,panya nk.Yesu ni Mungu katika umbo la mwanadamu Ili aweze wafikia wanadamu na kuwaokoa dhidi ya shetani.
Ilikuwa ni lazima asubirie tena msalabani kwa desturi za Wayahudi aliyesulubiwa msalabani amelaaniwa thus akafafuka kufufuka means ni tendo la kuishinda laana,asingefufuka kusingekuwepo kwa Ukristo duniani, Ukristo means wanaoamini katika Yesu Kristo kwamba ndie mwokozi wao dhidi ya mateso ya shetani, yeye amefanyika Kafara kupitia kafara ya damu yake sisi tunawekwa UHURU kwa jina na damu yake na hatuhitaji tena kutoa kafara za damu za wanyama au kutambika Ili kupata upatanisho Kati yetu na Mungu
Mimi nimekulia ktk mazingira ya dini kuliko unavyodhania ktk Quran yesu ndiye issa Quran Ina mtaja Mariam (maria) kama ambavyo bible inavyomtaja na baba yake mlezi Jacob na bwana wake yusuph ,
 
Kama nyumba za ibada zipo kwann Mungu asiwepo.Pili watu zaidi ya bilioni 6 wanaoamini uwepo wake hawawezi wote kuwa wajinga.Tatu kutoamini kwako hakumaanishi hayupo.
Nne kama huna elimu kuhusu Roho huwezi amini Mungu yupo.
Tano kama uamini juu ya uwepo wa nguvu,asili huwezi amini uwepo wa Mungu.Sita kama huoni mpangilio na mpangiko mzima wa vyote vinavyoonekana duniani huwezi amini kuhusu Mungu
Ndio Nini!? Uwepo wa nyumba za ibada na watu billion 6 kuamini hiyo ndio reference ya ukweli , Kuna mamia ya watu wangapi walikuwa Wana amini kuwa kikombe Cha Babu waloliondo ni tiba za magonjwa mbali mbali na kumbe walikuwa gizani , kitu Ambacho usichokijua ni kwamba uongo unapo pewa nafasi ya kurudiwa rudiwa mara nyingi ktk masikio ya watu uongo huo hugeuka kuwa kweli , Ni mabilion ya watu wangapi walikuwa Wana amini kwamba Osama ni gaidi na ana tetea uislam pasipo kujua kwamba wapo kizani

Nimpaka pale Edward Snowden alipojitokeza nakutangaza kuwa Osama alikuwa ana tumika na USA ktk mission za kukamilisha malengo ya USA Kwa kupitia CIA ,, akili mtu wangu [emoji1787][emoji1787]
 
Halafu inatakiwa tujadiliane Kwa kujibu hoja na sio kama tuko kijiweni pitia comment yangu upya Kisha ujibu maswali niliyo kuuliza
 
Habarini Ndugu.

Afrika Afrika Afrika na pande baadhi Duniani kwa Ujumla Tumevurugwa na Vichwa Vyetu vimeoza kwa Kupotoshwa kwa Makusudi na Kwq Wengine kwa Ulazima wa Nguvu za Mabavu

Tumekubali Kuabudu Miungu badala ya Mungu mwenye Vyote . Sasa Tunaabudu Miungu ya Watu na Makabila ya Kale.

Leo hii Mtu kutoka Ulaya akija Kukusimulia Amemuona Malaika Kashuka Kutoka Mbinguni Akamwambia Moja Mbili Tatu. Na Jina Lake ni Fulani. Mwafrika Bila Kufikiria Anaanza Kumwomba Huyo Malaika Kwa Maneno tu Ya Jmaa mmoja Mwenye Ndevu nyingi aliyetoka Huko kumwambia Hivyo.

Mwafrika anajikuta anaanza Kuabudu kitu asichokijua wala hajawahi kukiona . mwisho wa siku anaharibikiwa Maishani anaanza Kulaumu Dunia Imeoza . wakati Yeye kumbe ndie kaoza kwa Kuabudu vitu Alivyoambiwa na Kuandikiwa tu kwenye Karatasi. Na Tena Hata Bila Kutumia Akili Timamu Anaanza Kukitetea Kitu ambacho hajawahi Kukiona zaidi ya Kuambiwa Na Kuandikiwa kwenye Karatasi.

Mwisho wa Siku mnajikuta Mnaabudu Viumbe Malaika na Mnaacha Njia Sahihi za Maisha Yenu. Chunguzeni mtagundua Kwamba Nyie Mnaabudu Viumbe Malaika, maana Ndio waliowapotosha kwa Kuwaleteni Ujumbe na Wakasingizia Umetoka Kwa Mungu

Hebu Chukulia mfano huu. Kama Kweli mmefunga Na Mna-utaratibu wa Kuabudu ulio sawa basi Mngefungua Wote na Mkawa na Umoja Ulio sawa ila Angelieni Mlivyovurugwa. Huku mnasema Hivi Kule Wanasema Vile. Kma Kweli mnaabudu Mungu Mmoja Inakuwaje Leo Mnapingana?

Ndio mmjue Kwamba hamuabudu Huyo Mola mmoja Bali mna Ma mola Wengi wasioelewana. Maana Mola Si Mungu na Mungu si Mola.

Jambo Jingine

Leo hii Mwafrika Atakubali utafiti wa Mtu kutoka Nje kuliko Yeye Mwenyewe kujitafakari Ki Akili Timamu. Leo hii Watanzania Wengine wanaamini Eti mtu wa Kwanza Fuvu lake Lilikuwa Tanzania. Hivi kama Kweli Mtu wa Kwanza Alikuwa Tanzania , Mngehitaji Mtu mwingine aje Awaambie Hivyo kwani Nyie Hamkuwepo Tanzania(Tanganyika)? Mkamuona Huyo Mtu wa Kwanza Na Kizazi chake mpka Mtu mwingine Aje eti awaambie Mtu wa Kwanza Alikuwaga Hapa

Kwa Akili Timamu Haiingii akilini Wewe mwafrika Uje Usimuliwe Kama Vile Wewe hunaga Akili za Kutafakari. Kazi yako ni kupokea tu vitu usivyovijua Vimetokea wapi. Ukiangalia Mambo yao Mengi wanayowaandikia kwenye Vitabu mnavyovisoma Vingi ni Nadharia tu(Theory) maana Yake Bado hawana Uhakika na Wanayokuandikia Wewe uyasome. Ndio maana Leo hii Kitu ulichokisoma Miaka 5 nyuma Kishabadilika Hakipo vile ulivyokisoma Leo hii na Sometimes Ulidanganywa Huko miaka 5 nyuma.

Waafrika Tujitafakari Kabla Hatujapokea pokea Vitu Na Tukaviweka Vifuani Mwetu na Kuvitetea .

ASANTE
Gazeti la juha
 
Halafu inatakiwa tujadiliane Kwa kujibu hoja na sio kama tuko kijiweni pitia comment yangu upya Kisha ujibu maswali niliyo kuuliza
Nadhani chukua hoja inayokuhusu zingine zitawafaa wengine
 
Ndio Nini!? Uwepo wa nyumba za ibada na watu billion 6 kuamini hiyo ndio reference ya ukweli , Kuna mamia ya watu wangapi walikuwa Wana amini kuwa kikombe Cha Babu waloliondo ni tiba za magonjwa mbali mbali na kumbe walikuwa gizani , kitu Ambacho usichokijua ni kwamba uongo unapo pewa nafasi ya kurudiwa rudiwa mara nyingi ktk masikio ya watu uongo huo hugeuka kuwa kweli , Ni mabilion ya watu wangapi walikuwa Wana amini kwamba Osama ni gaidi na ana tetea uislam pasipo kujua kwamba wapo kizani

Nimpaka pale Edward Snowden alipojitokeza nakutangaza kuwa Osama alikuwa ana tumika na USA ktk mission za kukamilisha malengo ya USA Kwa kupitia CIA ,, akili mtu wangu [emoji1787][emoji1787]
Nikuweke wazi Hakuna gaidi au kundi la kigaidi linalopigania uislamu,magaidi ni wahuni SAwa na panyaroad wanapigania tumbo.
Huwezi dhibitisha uwepo wa Mungu kwa elimu ya ulimwengu unaonekana bali elimu ya ulimwengu usioonekana.
Elimu imegawanyika katika branch mbili elimu kuhusu ulimwengu unaonekana na elimu kuhusu ulimwengu usioonekana.
So kama wewe ni mweupe kuhusu elimu ya ulimwengu usioonekana hoja zako ni sahihi kwako na sio kwa ujumla.
 
Mungu ni mmoja tu alieumba dunia na kumlaan shetan ila kinachotokea shetan anawahadaa watu kwa kuwambia mungu ni huyu kumbe sio huyoo hiko ndio kiapo cha shetan alichoapa baada ya kutimuliwa kua atawapotosha watu wa mungu maisha yao yote
Sasa wewe una uhakika gani kwamba huyo mungu unayemjua wewe kuwa ndio wa kweli na si kwamba ndio mulemule umeingia mtego wa shetani?
 
Mimi nimekulia ktk mazingira ya dini kuliko unavyodhania ktk Quran yesu ndiye issa Quran Ina mtaja Mariam (maria) kama ambavyo bible inavyomtaja na baba yake mlezi Jacob na bwana wake yusuph ,
Kukulia katika dini na kuijua dini ni vitu viwili tofauti.Kwenda ibadani na kuijua ibada ni vitu viwili tofauti.
Ktk biblia Yesu kazaliwa kwenye zizi la ng'ombe,ktk quran isa kazaliwa chini ya mtende.Marium ni jina la kiyahudi, kiarabu,nk ni jina kama jina kwa Jamii zote.
Biblia Yesu alisulubiwa akafa akafufuka na akapaa mbinguni, Quran Issa hakusulubiwa.
Biblia Yesu atarudi mara ya pili ataishia juu mawinguni hatogusa ardhi sababu Ina laana akija atawanyakua watu wake wasio wake awatopewa uwezo wa kupaa juu mawinguni kumlaki, then ataondoka nao, kisha atafunguliwa shetani kushughulika na waliobaki duniani ambao ni watu wake, kisha Yesu atarudi mara ya tatu kuihukumu dunia na kuifinyanga kuitupa ktk ziwa la moto wa milele. Quran kurudi kwa Issa bin Marium ndio dalili ya kiama Issa atarudi ataoa na atazaa atakuja kuibomoa misalaba na kupambana na dajal. Kwa mifano hii mitatu tuamini nani ni sahihi, Biblia imekuwepo na kuyaeleza hayo miaka 500 kabla ya Quran, na Quran ni copy na paste maandiko ya Biblia wamekopi zaburi, taurati na injili japo walibadilisha kwa makusudio yao. Maana uislamu ulianzishwa na mapadre watano walioasi ukatoliki wakipinga suala la kutokuruhusiwa kuoa na wao ndio waliocopy biblia.
 
Nimpaka pale Edward Snowden alipojitokeza nakutangaza kuwa Osama alikuwa ana tumika na USA ktk mission za kukamilisha malengo ya USA Kwa kupitia CIA ,, akili mtu wangu [emoji1787][emoji1787]
Tupe nondo za hii kitu kaka.
 
Sasa wewe una uhakika gani kwamba huyo mungu unayemjua wewe kuwa ndio wa kweli na si kwamba ndio mulemule umeingia mtego wa shetani?
Vizur mungu wa kweli sio mkristo sio muislam sio wa japan sio wa china sio wa india yupo yeye kama yeye free shida inakuja kwa hawa walio leta din kwa maslai yao yaan mwarabu na mzungu na wengine kwakupotoshwa na shetan na wao wanapotosha watu kua mungu wetu ndio wa kuabudiwa na wa kweli sio huyo wenu leo hii muislam anaamin mungu wake ndio wa kweli huyo mwingine sijui yesu sijui yehova si mungu mchina mjapan na buda nae ana mungu wake hii ni kaz ya shetan kupotosha watu
 
Bado haujaeleza una uhakika gani kuwa huyo Mungu unayemuamini kuwa ndio Mungu wa kweli? Achana na habari za uislamu na ukristo nataka huyo Mungu wako ueleze ni vp kuwa ndio wa kweli?
 
Waliokaa kimya bila kuchangia kwenye uzi wa namna hiii huwa nawaona wana busara sana kuliko waliozungumza...
 
Kama wameumbwa kama mimi iweje tena kuwe na changamoto kwenye kuonekana kwao? Mimi nikitaka kukuona wewe mbona sihitaji elimu?
Kwani Ndugu yangu anikisema Umeumbwa Unaelewa nini?. Hata Jiwe Limeumbwa.. samaki wameumbwa .. Anga Limeumbwa... Maji Yameumbwa ..Hewa Imeumbwa...Upepo umeumbwa na Hauonekani

Hata Wewe Binadamu Umeumbwa kama Maji ..miti..mawe..N.k ndicho ninachomaanisha Hapo kwamba Binadamu ameumbwa Kma Vile Hewa na Upepo vilivyoumbwa sijamanisha Unachojaribu wewe kukiweka Akilini Mwako kwamba Kama Kimeumbwa kama Mimi Basi Kifanane na Mimi

Kila Kitu kimuumbwa kwa Nasaba zake. Kuna Vinavyooonekana na Visivyoonekana

Malaika Na Majini Yanaweza Kuonekana Kwa Macho kama Yakijivisha Kwenye Mwili wa Wanyama(Binadamu,Paka,Ndege,Fisi) na Wewe binadamu ukawaona Kwa Macho kupitia Viumbe Hivyo ila Tu kama Una Elimu ya Kuwatambua Wakiwa Kwenye Maumbo hayo. Mfano Mzuri makanisani kila Siku Yamevaa Miili ya Waumini humo Kanisani mwenu
 
Ndio Nini !? Inahusiana vipi na uwepo wa mungu!? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Vitabu ambavyo vina elezea uwepo wa huyo mungu vimejaa contradiction nyingi sana ktika kumuelezea mungu huyo kitu Ambacho kina pelekea watu Wenye utimamu wa kufikiri wa tambue kuwa mungu huyo ni WA mchongo

Refer -- Kuna. Baadhi ya verses Zina sema Mungu ndiye mpangaji wa Kila kitu Kila jambo , it means Yeye ndiye anaye control maisha yaliyopo Duniani Kwa Kila kiumbe (Tuna kubaliana hivyo sindio!? Kama tume kubaliana ngoja nikuulize swali )

Kama mungu ndiye mpangaji wa Kila kitu Ina maana Kwamba Kuna Watu wengine Huwa ana wa control wafanye dhambi bila watu hao kupenda kufanya dhambi hizo , so kama Huwa ana panga watu hao wafanye dhambi Kwa uwezo wake Yeye inakuaje tena mungu huyo huyo aende kuwa choma moto watu hao ilhali Yeye ndiye aliye panga watu hao wafanye dhambi , !? Je tukisema kuwa mungu huyo ni kichaa tutakuwa tuna kosea !? So hauoni kuwa maelezo yanayo elezea sifa za huyo mungu Yako na contradiction nyingi ambazo hazina logic kabisa

Ngoja Nikupe hii Elimu Ambayo itakusaidia kidogo.

Mungu Haishi na Viumbe wake wala Kucontrol maisha Ya Viumbe wake. Viumbe kwa Viumbe ndio wanafanya Hayo.

Mfano Mungu hagawi Riziki anayegawa Riziki ni Binadamu mwenzako. Mimi ukiniomba Kitu mfano Pesa nitakupa ila Ukimuomba Mungu Hawezi kukupa Pesa. Maana Yake Kama Mimi Nikikunyima hiyo Pesa basi ndio nimekunyima Riziki yako hivyo ya Siku hiyo. Ila Kwa Vile umejaliwa akili utaenda kwa Mwingine utaomba Tena na Kuna Uwezekano huko Ukapata Hiyo Pesa.

Kwahiyo Vitabu hivyo Vinavyoandika Kwamba Mungu ndio Mpangaji wa Yote ni Uongo Mtupu na Utapeli mkubwa ili kumzingishia Mungu Mambo asiyoyafanya
 
Habarini Ndugu.

Afrika Afrika Afrika na pande baadhi Duniani kwa Ujumla Tumevurugwa na Vichwa Vyetu vimeoza kwa Kupotoshwa kwa Makusudi na Kwq Wengine kwa Ulazima wa Nguvu za Mabavu

Tumekubali Kuabudu Miungu badala ya Mungu mwenye Vyote . Sasa Tunaabudu Miungu ya Watu na Makabila ya Kale.

Leo hii Mtu kutoka Ulaya akija Kukusimulia Amemuona Malaika Kashuka Kutoka Mbinguni Akamwambia Moja Mbili Tatu. Na Jina Lake ni Fulani. Mwafrika Bila Kufikiria Anaanza Kumwomba Huyo Malaika Kwa Maneno tu Ya Jmaa mmoja Mwenye Ndevu nyingi aliyetoka Huko kumwambia Hivyo.

Mwafrika anajikuta anaanza Kuabudu kitu asichokijua wala hajawahi kukiona . mwisho wa siku anaharibikiwa Maishani anaanza Kulaumu Dunia Imeoza . wakati Yeye kumbe ndie kaoza kwa Kuabudu vitu Alivyoambiwa na Kuandikiwa tu kwenye Karatasi. Na Tena Hata Bila Kutumia Akili Timamu Anaanza Kukitetea Kitu ambacho hajawahi Kukiona zaidi ya Kuambiwa Na Kuandikiwa kwenye Karatasi.

Mwisho wa Siku mnajikuta Mnaabudu Viumbe Malaika na Mnaacha Njia Sahihi za Maisha Yenu. Chunguzeni mtagundua Kwamba Nyie Mnaabudu Viumbe Malaika, maana Ndio waliowapotosha kwa Kuwaleteni Ujumbe na Wakasingizia Umetoka Kwa Mungu

Hebu Chukulia mfano huu. Kama Kweli mmefunga Na Mna-utaratibu wa Kuabudu ulio sawa basi Mngefungua Wote na Mkawa na Umoja Ulio sawa ila Angelieni Mlivyovurugwa. Huku mnasema Hivi Kule Wanasema Vile. Kma Kweli mnaabudu Mungu Mmoja Inakuwaje Leo Mnapingana?

Ndio mmjue Kwamba hamuabudu Huyo Mola mmoja Bali mna Ma mola Wengi wasioelewana. Maana Mola Si Mungu na Mungu si Mola.

Jambo Jingine

Leo hii Mwafrika Atakubali utafiti wa Mtu kutoka Nje kuliko Yeye Mwenyewe kujitafakari Ki Akili Timamu. Leo hii Watanzania Wengine wanaamini Eti mtu wa Kwanza Fuvu lake Lilikuwa Tanzania. Hivi kama Kweli Mtu wa Kwanza Alikuwa Tanzania , Mngehitaji Mtu mwingine aje Awaambie Hivyo kwani Nyie Hamkuwepo Tanzania(Tanganyika)? Mkamuona Huyo Mtu wa Kwanza Na Kizazi chake mpka Mtu mwingine Aje eti awaambie Mtu wa Kwanza Alikuwaga Hapa

Kwa Akili Timamu Haiingii akilini Wewe mwafrika Uje Usimuliwe Kama Vile Wewe hunaga Akili za Kutafakari. Kazi yako ni kupokea tu vitu usivyovijua Vimetokea wapi. Ukiangalia Mambo yao Mengi wanayowaandikia kwenye Vitabu mnavyovisoma Vingi ni Nadharia tu(Theory) maana Yake Bado hawana Uhakika na Wanayokuandikia Wewe uyasome. Ndio maana Leo hii Kitu ulichokisoma Miaka 5 nyuma Kishabadilika Hakipo vile ulivyokisoma Leo hii na Sometimes Ulidanganywa Huko miaka 5 nyuma.

Waafrika Tujitafakari Kabla Hatujapokea pokea Vitu Na Tukaviweka Vifuani Mwetu na Kuvitetea .

ASANTE
Tuambie tumwabudu nani

Pili,wewe unamuabudu nani na kwanini
 
Elewa kwanza Issa bin Marium sio Yesu Kristo kwa ushahidi wa Quran tukufu na Biblia takatifu vyote vimewaeleza tofauti.
Kama jini anaweza akajibadili umbo lolote au kuwa chochote,kwann Mungu mwenye uwezo wa juu kuzidi shetani na majini.Ulitaka Mungu aje kwa wanadamu katika umbo la moto,panya nk.Yesu ni Mungu katika umbo la mwanadamu Ili aweze wafikia wanadamu na kuwaokoa dhidi ya shetani.

Ndugu kama Yesu kakuokoa Na Shetani Inakuwaje Sasa Hivi Unatenda Dhambi ? Na Bado unaenda Kanisani?

Yesu alikuokoaje Wewe uliyekuwepo huku wakati Yeye Yupo Israel?

Ilikuwa ni lazima asubirie tena msalabani kwa desturi za Wayahudi aliyesulubiwa msalabani amelaaniwa thus akafafuka kufufuka means ni tendo la kuishinda laana,asingefufuka kusingekuwepo kwa Ukristo duniani,

Kuna Makosa Ambayo Aliyafanya Yesu

1. Aliharibu Biashara za Watu kwa Kuvunja Vibanda Vyao vya Biashara(Sasa Hivi watu wagawiwe Vitalu vya Kufanyia Biashara halafu mtu aje Kuwabomolea bila Kujali kama Una Familia Inakutegemea na Watoto anakuja Kuvunja Biashara Yako Utajisikiaje zaidi ya Kwenda Kumrepoti Polisi huyo Mtu)

2. Alijiita Mtoto wa Mungu( Kumbuka Sheria za Kiyahudi ambazo Musa aliwapa Ilikuwa ni Kufuru kusema Hivyo)

3. Aliwaruhusu Wanafunzi kuvamia Mashamba ya Ngano na Kula Ngano za Watu (Huu ni Kufanya Wizi kwenye Mashamba Ya Watu bila Kujali Nguvu Kazi walizozitumia)

4. Alisema Hekalu ni la Baba Yake( Hii ni kama Kufuru maana Hekalu Lilijengwa na Waisrael Miaka Mingi iliyopita na Yesu alijuliakna Baba yake ni Yusufu ) Sasa Kwa Akili Timamu Hakuna Mtu atakuelewa Kwamba Ni Hekalu la Baba Yako wakati Unayemuonaga Ni Wewe peke yako

Watu wakakaa Kwemye Baraza Wakapitia makosa Yake na Wakamuweka Hatiani maana Kwa Hali ya Kawaida Hata Kama Una Mamlaka Huwezi Ruhusu Uonevu kwa Wengine

Ukristo means wanaoamini katika Yesu Kristo kwamba ndie mwokozi wao dhidi ya mateso ya shetani, yeye amefanyika Kafara kupitia kafara ya damu yake sisi tunawekwa UHURU kwa jina na damu yake na hatuhitaji tena kutoa kafara za damu za wanyama au kutambika Ili kupata upatanisho Kati yetu na Mungu

Sasa Ndugu Mbona Unazidi Jichanganya

1. Mungu anawaogopa Nini Nyie mpaka Awabembeleze Hivyo. Eti Awatolee Mtoto wake Kafara, Mmkatae anapokuja, Mmpige ,Mmtoe Sadaka halafu Hapo Ndipo mseme Ametuokoa Maana Tumempiga..Tumemuua Sasa Tumekombolewa. Yeye Mungu anawaogopa Nini Nyie. Wakati Kwemye Gharika Aliwaangamiza Bila Kuwatolea Chochote kile

2. Kama Kawaweka Huru Inakuwaje Sasa Bado Mnakemea Mapepo na Majini na Mashetani kila Siku . Hapo Mpo Huru kweli

3. Halafu Mnamtoleaje Mungu Kafara? Huyo Mungu anamapungufu Gani Mpaka Mmtolee Kafara.? Hiyo Kafara Ya Damu Inamnufaisha Nini Kama Yeye ana Uwezo wote na Nguvu zote
 
Back
Top Bottom