Mungu hakai Na Viumbe Wake na Mungu hawaokoi Watu Kutoka Utumwani Mwa Mtu Yeyote Yule. Na Hakuna Mungu wa Afrika wala Wa China wala Wa Amerika. Mungu ni Mwenye Vyote ambaye Aliumba kila Kitu kinachoonekana na KisichoonekanaMungu wa kaiafrika ameshindwa kutuokoa kuchukuliwa utumwani na kutawaliwa
Chukua Hii ElimuMungu ni mmoja tu alieumba dunia na kumlaan shetan ila kinachotokea shetan anawahadaa watu kwa kuwambia mungu ni huyu kumbe sio huyoo hiko ndio kiapo cha shetan alichoapa baada ya kutimuliwa kua atawapotosha watu wa mungu maisha yao yote
Ngoja Mie NikujibuUna ushahidi kuwa jini anaweza kuibadilisha na kuwa kiumbe chochote utupatie ushahidi huo !?
Swali langu kwako imekuaje mungu Ambadilishe mtu mwingine sura na kumuacha aangamizwe huyo mtu alimkosea Nini mungu !? Wewe hauoni kuwa huo ni uonevu !? Mungu muweza wa yote mwenye upendo Kwa wote anawezaje kuwa katili kiasi hicho huo upendo wake Kwa wote uko wapi ??
Hatupo Nyuma Ila Akili Zetu Zimelala. Wewe ushaenda Kununua Gari la Masudi Kipanya ukaacha Kuagiza magari ya Japan?
Ngoja Mie Nikujibu
1. Kwani Makanisani Wale watu mnaowatoa Majini Huwa Ni Wao Au Wamevamiwa na Majini na Kuvaa Miili yao? Mkiyatoaga Halafu mkawauliza Wale waliopandwa na Majini Hayo huwa wanajua Walikuwa wanasema Nini?
Watakuwaambia Sijui Nilikuwa nasema Nini. Basi Jua hilo Kwamba Jini Alibeba Mwili wa Huyo Muumini na Akajisemesha anavyotaka Yeye
HUO NDIO USHAHIDI USIO NA UTATA. Hata Yesu Aliwatia Mapepo kwa Njia Hiyo hiyo
USHAHIDI WA PILI.
Huu utahitaji uwe na Elimu na Macho ya Kuwatambua Majini hasa Nyakati za Usiku na Kwenye Wingi wa Watu( Club,Sehemu malaya wanapojiuza,Pamoja na Bar za Pombe na Vileo) huko Pia Wanaonekana Sana na Wanadamu wazinzi wengi wanatembea nao Na Kufanya Nao Uzinzi
Sasa Ukiwa na Macho Ya Kuwatambua Utaona Unazini na Mbwa au Fisi lakini kwa Macho ya Kawaida Unamuona ni Binadamu Mrembo
Hayo ni Masimulizi tu Ndugu yangu.. baada ya Maswali kukosa Majibu wanakuja Na Majibu yao Ya Kufikirika
Hii Dhana Ya Mungu wa Kweli na Mungu wa Uongo Ni Elimu ya Viumbe hao Majini na MalaikaBado haujaeleza una uhakika gani kuwa huyo Mungu unayemuamini kuwa ndio Mungu wa kweli? Achana na habari za uislamu na ukristo nataka huyo Mungu wako ueleze ni vp kuwa ndio wa kweli?
Kwa kweli inashangaza sana, unaona mtu anamuita mwanaye Mohammed wakati Mohammed huyo huyo alikuwa mbakaji na muuwaji, why Waafrika tuko wajinga hivi?Habarini Ndugu.
Afrika Afrika Afrika na pande baadhi Duniani kwa Ujumla Tumevurugwa na Vichwa Vyetu vimeoza kwa Kupotoshwa kwa Makusudi na Kwq Wengine kwa Ulazima wa Nguvu za Mabavu
Tumekubali Kuabudu Miungu badala ya Mungu mwenye Vyote . Sasa Tunaabudu Miungu ya Watu na Makabila ya Kale.
Leo hii Mtu kutoka Ulaya akija Kukusimulia Amemuona Malaika Kashuka Kutoka Mbinguni Akamwambia Moja Mbili Tatu. Na Jina Lake ni Fulani. Mwafrika Bila Kufikiria Anaanza Kumwomba Huyo Malaika Kwa Maneno tu Ya Jmaa mmoja Mwenye Ndevu nyingi aliyetoka Huko kumwambia Hivyo.
Mwafrika anajikuta anaanza Kuabudu kitu asichokijua wala hajawahi kukiona . mwisho wa siku anaharibikiwa Maishani anaanza Kulaumu Dunia Imeoza . wakati Yeye kumbe ndie kaoza kwa Kuabudu vitu Alivyoambiwa na Kuandikiwa tu kwenye Karatasi. Na Tena Hata Bila Kutumia Akili Timamu Anaanza Kukitetea Kitu ambacho hajawahi Kukiona zaidi ya Kuambiwa Na Kuandikiwa kwenye Karatasi.
Mwisho wa Siku mnajikuta Mnaabudu Viumbe Malaika na Mnaacha Njia Sahihi za Maisha Yenu. Chunguzeni mtagundua Kwamba Nyie Mnaabudu Viumbe Malaika, maana Ndio waliowapotosha kwa Kuwaleteni Ujumbe na Wakasingizia Umetoka Kwa Mungu
Hebu Chukulia mfano huu. Kama Kweli mmefunga Na Mna-utaratibu wa Kuabudu ulio sawa basi Mngefungua Wote na Mkawa na Umoja Ulio sawa ila Angelieni Mlivyovurugwa. Huku mnasema Hivi Kule Wanasema Vile. Kma Kweli mnaabudu Mungu Mmoja Inakuwaje Leo Mnapingana?
Ndio mmjue Kwamba hamuabudu Huyo Mola mmoja Bali mna Ma mola Wengi wasioelewana. Maana Mola Si Mungu na Mungu si Mola.
Jambo Jingine
Leo hii Mwafrika Atakubali utafiti wa Mtu kutoka Nje kuliko Yeye Mwenyewe kujitafakari Ki Akili Timamu. Leo hii Watanzania Wengine wanaamini Eti mtu wa Kwanza Fuvu lake Lilikuwa Tanzania. Hivi kama Kweli Mtu wa Kwanza Alikuwa Tanzania , Mngehitaji Mtu mwingine aje Awaambie Hivyo kwani Nyie Hamkuwepo Tanzania(Tanganyika)? Mkamuona Huyo Mtu wa Kwanza Na Kizazi chake mpka Mtu mwingine Aje eti awaambie Mtu wa Kwanza Alikuwaga Hapa
Kwa Akili Timamu Haiingii akilini Wewe mwafrika Uje Usimuliwe Kama Vile Wewe hunaga Akili za Kutafakari. Kazi yako ni kupokea tu vitu usivyovijua Vimetokea wapi. Ukiangalia Mambo yao Mengi wanayowaandikia kwenye Vitabu mnavyovisoma Vingi ni Nadharia tu(Theory) maana Yake Bado hawana Uhakika na Wanayokuandikia Wewe uyasome. Ndio maana Leo hii Kitu ulichokisoma Miaka 5 nyuma Kishabadilika Hakipo vile ulivyokisoma Leo hii na Sometimes Ulidanganywa Huko miaka 5 nyuma.
Waafrika Tujitafakari Kabla Hatujapokea pokea Vitu Na Tukaviweka Vifuani Mwetu na Kuvitetea .
ASANTE
Ndugu kama Yesu kakuokoa Na Shetani Inakuwaje Sasa Hivi Unatenda Dhambi ? Na Bado unaenda Kanisani?
Yesu alikuokoaje Wewe uliyeku
Brain genocideNgoja Nikupe hii Elimu Ambayo itakusaidia kidogo.
Mungu Haishi na Viumbe wake wala Kucontrol maisha Ya Viumbe wake. Viumbe kwa Viumbe ndio wanafanya Hayo.
Mfano Mungu hagawi Riziki anayegawa Riziki ni Binadamu mwenzako. Mimi ukiniomba Kitu mfano Pesa nitakupa ila Ukimuomba Mungu Hawezi kukupa Pesa. Maana Yake Kama Mimi Nikikunyima hiyo Pesa basi ndio nimekunyima Riziki yako hivyo ya Siku hiyo. Ila Kwa Vile umejaliwa akili utaenda kwa Mwingine utaomba Tena na Kuna Uwezekano huko Ukapata Hiyo Pesa.
Kwahiyo Vitabu hivyo Vinavyoandika Kwamba Mungu ndio Mpangaji wa Yote ni Uongo Mtupu na Utapeli mkubwa ili kumzingishia Mungu Mambo asiyoyafanya
Mungu mwenye Vyote
Namwabudu Mungu mwenye
Huyo mungu mwenye vyote yuko peke yake au wako wangapi??Mungu mwenye Vyote
Namwabudu Mungu mwenye Vyote.
Hivi unayo habari kua hata shetani ni mungu ANAABUDIWA???Hii Dhana Ya Mungu wa Kweli na Mungu wa Uongo Ni Elimu ya Viumbe hao Majini na Malaika
Mungu mwenye Vyote yupo tu hajakaa kwenye Dhana hiyo ya Mungu wa Ukweli wala Mungu wa Uongo. Viumbe ndio Vinajiwekea hiyo Dhana ya Kwamba Mungu wa Ukweli ni Huyu hapa Ili Viweze Kuabudiwa
Kwenye maelezo yako umesema Mungu ndiye aliyemtuma Yesu kristo, na yesu anamitume yeke ambao huubili injili, na nyinyi katika kuomba huwa mnatumia jina la Yesu kristo.Yesu Kristo alikuja kuuokoa ulimwengu,kwa maagizo yake aliwatuma mitume wake wakaihubiri injili duniani kote nao walifanya hivyo na hata sasa injili inahubiriwa na mitume wake duniani nzima.
Ukitenda dhambi wewe ujaokolewa bado,aliyeokolewa ujitenga na dhambi na kuwa si mtumwa wa shetani tena.
Kanisa ni kutaniko la wafuasi wa Kristo Ili kumuabudu Mungu unapokwenda kanisani unazidi kuwa na nguvu zaidi.
Mungu ndie aliyemtuma Yesu Kristo aje duniani kuwaokoa wanadamu dhidi ya shetani.
Shetani afati wala ashughuliki na wenye dhambi maana hao ni wake, upambana na waliokoka Ili awaangushe dhambini so Ili usianguke dhambini kupitia ushawishi wa shetani atumae vitendea Kazi na mawakala zake yaani wachawi, waganga,majini na mapepo yanakemewa kwa nguvu ya jina la Yesu Kristo pekee kwa maana hakuna jina jingine lenye kuweza kuwasambaratisha wachawi, mapepo, majini na takataka zote za shetani isipokuwa jina la Yesu Kristo pekee. So ukilitumia jina hilo si shetani mwenyewe achilia mawakala zake atakaekugusa.Jina la Yesu lina nguvu kubwa kuliko zote hii ni kwa ushahidi wa Biblia takatifu na elimu ya mambo ya uchawi pia zote zimethibitisha hilo, yaani hata waliofuzu elimu ya uchawi na wakapata hadi PhD ya uchawi wamekiri na kuthibitisha uKuu wa nguvu ya jina la Yesu.
Zamani desturi za Wayahudi ilikuwa wakifanya maombi uambatanisha na kafara ya kuchinja mnyama kisha anachomwa moshi ukienda juu yaani umenyooka kuelekea juu maana yake maombi yake yamekubaliwa.Hii imeigwa na shetani hadi leo wao utoa kafara ya damu ya kuku, wanyama nk kupitia waganga wa kienyeji Ili shetani akutatulie shida zako.
Alipokuwa Yesu Kristo alikomesha haya mambo ya kutoa kafara za wanyama kwa sasa kila mtu kama angetoa kafara ya kuchinja, hao mifugo si wangeisha duniani, Yesu akafanyika yeye ndie kafara kwa kumwaga damu yake kama upatanisho Kati ya mwanadamu na Mungu. So kupitia kumuamini na kumkiri Yesu Kristo uhitaji tena kafara. Anaetoa kafara kwa sasa Ili kujipatanisha na Mungu huyo ni mshirikina. Yesu Kristo ndie kafara kayatoa maisha yake Ili tuokolewe na kuwekwa huru dhidi ya shetani na malaika zake, thus tunambutua akija kwa jina la Yesu. Na mfuasi halisi wa Kristo asumbuliwi na wachawi, majini wala mapepo wala shetani vyote hivyo ni takataka. Jesus christ ana nguvu ya imani ACDs 100% shetani na malaika zake Wana 40% so ukijiconnect na Yesu unazichukua nguvu zake kwa kufunikwa na damu yake damu yake ndio kafara yenyewe, so shetan na malaika zake hawakuwezi, japo shetani ni SAwa na fisi hawezi kata tamaa ataendelea na kuendelea kukuwinda hadi siku ya maisha yako yote.
Nyongeza, kwann Mungu awaogope wanadamu.Na asimuangamize kama ilivyo kwenye gharika.
Mungu si dikteta, Mungu ni mwenye huruma na rehema kamuacha mwanadamu akampa mda wa kufanya toba thus akawaleta mitume wake ambao wote wamekuja kwa wanadamu kuwapa habari njema waache dhambi kwani mshahara wa dhambi ni mauti utakwenda jehanamu tumepewa hiari ukubali au ukatae sababu Mungu si dikteta, pili aliapa atoiangamiza tena dunia baada ya gharika, thus amewatuma mitume wake kwetu na katupa mda wa rehema ukipita huo mda hatuna lawama tena.
Hhhhhhh atulie tu ipo siku atajua hajui.Ngoja siku uambiwe ini lako limeoza ndio utajua yupo Mungu
India huko wanaabudu ngombe na mungu anawajaalia.so ww na utapumua bure mpaka siku yako ikifika.Wanaomjua mungu maini yao hayaozi?
Usitusemee ..!sema akili zako ndo zimelala kungangana na smart ya mzungu kutuharishia hapa[emoji3]hapo hapo unawakataa kua wao ndo wameku'staarabisha hivi ungekua unashinda na lubega badala ya nguo.Hatupo Nyuma Ila Akili Zetu Zimelala. Wewe ushaenda Kununua Gari la Masudi Kipanya ukaacha Kuagiza magari ya Japan?
Sasa hii mada yako hapa inazungumzia nini? Basi tuseme Mungu ni Mungu tu hakuna wa uongo.Hii Dhana Ya Mungu wa Kweli na Mungu wa Uongo Ni Elimu ya Viumbe hao Majini na Malaika
Mungu mwenye Vyote yupo tu hajakaa kwenye Dhana hiyo ya Mungu wa Ukweli wala Mungu wa Uongo. Viumbe ndio Vinajiwekea hiyo Dhana ya Kwamba Mungu wa Ukweli ni Huyu hapa Ili Viweze Kuabudiwa
Uliwahi kujiuliza moto unaopikia ugali upo kwaajili ya kupikia tu?moto ni kwaajili ya kazi nyingi sana.hata uumbaji pia moto umetumika mfano majini wameumbiwa na moto.pia moto kazi yake nyengine ni kuchoma wasiosadiki katika matendo yao.Shida wengi wanaendeshwa na negative programming.........mungu wao ni wavitisho tuu kwa namna hio lazima hata wafuasi wake wanakua wameathirika na hizo negative programming, angalia watu wengi kwenye hizo nyumba zao za ibada wengi wamejaa unafiki tu na kujazana hofu huku hawaelewi wanachokiabudu..............wanakuja hapa na mtu atakachokwambia ili kuthibitisha uwepo wa huyu mungu wake ni vitisho......hakuna tofauti na wachawi kabisa.........
Afrika ndo eneo lililokumbatia sana imani za kigeni na ndo sehemu ya ovyo kuliko hata huko zilipotoka hizo imani, watu wamekaririshwa tu hawaelewi wanachoabudu
Na ndo maana nyinyi mnamaliza ufuska wenu hapa duniani.kila balaa mnawafundisha vizazi vyenu.then utarajie malipo?sasa soma kitu kinachoitwa freemason ama illumination.ndo utajitambua upo kundi gani.Tatizo machoni petu wengi tunagiza hatuoni tunapokwenda wote dini zote tunajua Mungu amekataza kunya pombe na uzinzi sasa iweje huko haela kuwe na Mto wa pombe yaani Mola ndio mlevi hivo na hao mabikra je sindo uchafu watu mtajamii ana mpaka machoni chumbani kwake mimi nashauri tuwage na vitu vya kuamini kwanza huyo allah ni mbaguzi wa jinsia na mmekuwa vipofu na hila zake kwa mambo ya kusimuliwa