Waafrika Jitafakarini Katika Hiyo Miungu Mnayoiabudu

Kwahiyo waafrika tulikuwa na utaratibu mmoja wa kumuabudu Mungu mmoja?
Afrika ya kati Mpaka Huku kwetu Ndio tulikuwa na Utaratibu Mmoja katika Kuabudu.

Maana Ukisema Afrika Yote Misri walikuwa hawana Mungu walikuwa na Miungu Mingi
 
Malaika ni Viumbe kama Wewe kiumbe Binadamu . Wameumbwa Na Kuwekwa Katika Sayari yao Na Wewe kuwekwa Katika Sayari ya Kwako

Majini Ni Viumbe Pia kama Walivyo Malaika na Wewe Binadamu nao Wanakaa Katika Sayari yao waliyoumbiwa Kuishi Huko

Malaika Si Watumishi wa Kitu chochote kile ni kiumbe kama Wewe wanaishi na Kuzaliana Kama Wewe unavyozaliana. Kwahiyo Wanatumana Wao kwa Wao kama Wewe unavyotumwa Na Mkuu wako wa Kitengo kama Vile Raisi anavyotuma Wasaidizi wake. Na Hivyo hivyo Malaika na Majini Ndivyo yanavyotumana

Kazi wanazozifanya ni Zao Binafsi. Wanatumana Wao kwa Wao. Yaani Mkuu wao Ndie anayewatuma Wakafanye Hizo Kazi ndio hao Ma Mola Wao . Ni kama Vile Sisi Tunavyotuma Binadamu Waende Mwezini Wakifika Huko Kama Kuna Viumbe Wengine Hao Viumbe Watawaona Binadamu ni Tofauti na Wao na Kama Watawapachika Majina wanaweza Kusema Wametokewa na Mungu au Malaika. Kumbe ni Binadamu tu waliotokea Duniani wakafika Mwezini.

Wanatukwa na Wakuu wao wa Kazi. Hawatumwi na Mungu. Kama Vile Wewe ukimtuma Mfanyakazi wako akafanye kazi Fulani

Hao ni Viumbe walioumbwa kama Wewe ulivyoumbwa .. Kama Mbwa alivyoumbwa...kama Paka Alivyoumbwa na Kama Fisi au Kuku walivyoumbwa na Wote hao ni Viumbe walio na Tawala zao na Kuzaliana Kivyao vyao.

Kasome Mwanzo 20:6
Kasome Kisa Cha Paulo alivyotokewa na Malaika na Akawa Kipofu.
Ok. Vizuri, Naomba udhibitisho wa kisayansi uwepo wa majini na Malaika katika ulimwengu wa kiharisia. 1. Sayari wanayoishi 2. Kuonekana kwao kwa macho ya kibinadamu ili kuthibitisha Kuwa ni viumbe Kama binadamu.

Kwa mjibu wa biblia Malaika ni

Waebrania 1:7,14
[7]Na kwa habari za malaika asema,
Afanyaye malaika wake kuwa pepo,
Na watumishi wake kuwa miali ya moto.
[14]Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu?
 
Pointi yangu imegawamyika
1. Kama Vitabu hivyo Vinanasibiwa ni vya Mungu na Vimeandikwa kwa Uwezo wake kwa Njia ya Roho mtakatifu. Ndugu yangu Haviwezi kuwa na Makosa Kiuandishi wala Ki mantiki yeyote yule kwa Vile vimetokana na Yeye kuwa mkamilifu. Kwahiyo akiandika kitabu chenye makosa basi Hana Ukamilifu tena

2. Mungu kwenye Vitabu ameandika kwamba Wamwabudu ila hakuwekaga Muongozo wake wa Jinsi Gani aabudiwe. Kwahiyo Kwenye Vitabu Hivyo watu wameweka Miongozo yao Binafsi tu. Mungu kaandika usimwabudu Mungu mwingine ila Mimi. Sasa Wanaabuduje kama Hujawapa Muongozo
Ingekuwa vizuri ukataja na jina la kitabu kabisa kuliko hivyo ulivyorundika, kwa sababu umeweka pamoja vitabu kutoka kwenye dini tofauti.
 
Ok. Vizuri, Naomba udhibitisho wa kisayansi uwepo wa majini na Malaika katika ulimwengu wa kiharisia. 1. Sayari wanayoishi 2. Kuonekana kwao kwa macho ya kibinadamu ili kuthibitisha Kuwa ni viumbe Kama binadamu.

[
Unataka Uthibitisho wa Kisayansi Ndugu yangu kwenye Mambo haya. Sayansi Kwako ndio Ukweli?

Unataka Sayansi Kwenye Uwepo wa Viumbe wa Mungu.? Hata wewe kuna Mambo unayasimamia Hujawahi thibitisha kwa Hiyo sayansi yako umebaki kuamini tu bila Kuthibitisha kwa Sayansi,Akiwemo huyo Mungu unayemwamini kwamba Amekaa Kwenye Kiti cha Enzi wakati Hicho kiti hujawahi kukionaga

Ok tusiende mbali chukua Mfano huu

1. Najua wewe si mgeni kwwnye Mambo haya..Ushakutana na Mtu aliyepandwa na Pepo ? Au Jini Na Likaanza Kuongea Kupitia Mwili wa Liliyemuingia? Kama Ushakutana Na Jambo hilo hebu niambie Sayansi gani Hapo Inakuthibitishia Jambo Hilo?

Sasa Hilo Linaloongea Ndio Jini au Malaika Lililopo ndani ya Mwili wa Kiumbe Binadamu.

1. Sayari wanayoishi 2. Kuonekana kwao kwa macho ya kibinadamu ili kuthibitisha Kuwa ni viumbe Kama binadamu.

Wanaonekana kwa Macho Ila huwezi watambua kama Huna Elimu ya Viumbe hao na jinsi ya Kuwatambua,

Tunaishi nao Na Wanapenda Sana Kutembea Usiku na uishi Pia nasi na Huweza Kujivika Miili ya Binadamu.. paka...N.k kulingana na Wao watakavyo.

Pia Kuna Binadamu wanawafuga Hawa Viumbe na Pia Kuna Binadamu wanafuga Malaika Pia. Na Kuna Binadamu wanafugwa na Hao Viumbe

Majini Huishi kwenye Sayari Wanayochagua Kwa Uvamizi. Na Hupenda Kuishi kwenye Maficho kama Maji ya Bahari

Kwa mjibu wa biblia Malaika ni

Waebrania 1:7,14
[7]Na kwa habari za malaika asema,
Afanyaye malaika wake kuwa pepo,
Na watumishi wake kuwa miali ya moto.
[14]Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu?

Tatizo Mnasoma Biblia Bila Kujua Mnayoyasimamia. Hao Malaika ndio hao hao Waovu na Wazinzi walioshuka Wakasababisha Dhambi Duniani. Leo hii Mungu eti ndio anawatumia

Yaani Mungu na Nguvu zote alizonazo Hawezi fanya kazi na Viumbe wake na Wakamsaliti baadae. Mungu hafanyi kazi na Viumbe wake Aliwaumba hata Siku Moja. Hao walioandikwa wanatumwa na Mungu. Si kwamba Wanatumwa na Mungu bali wanatumwa na Malaika Mkuu wao(Mola wao) si Mungu
 
Afrika ya kati Mpaka Huku kwetu Ndio tulikuwa na Utaratibu Mmoja katika Kuabudu.

Maana Ukisema Afrika Yote Misri walikuwa hawana Mungu walikuwa na Miungu Mingi
Huo utaratibu ukapotelea wapi maana huwa nasikia kuhusu wazee wetu kufanya matambiko kuomba mizimu na maombi yao yalikuwa yanakubaliwa ila wazungu na waarabu walipokuja na dini zao ndio tukaacha hayo matambiko na kuomba mizimu.
 
Ingekuwa vizuri ukataja na jina la kitabu kabisa kuliko hivyo ulivyorundika, kwa sababu umeweka pamoja vitabu kutoka kwenye dini tofauti.
Vitabu Vikuu ni Hivyo Viwili Biblia na Quran.
 
[
Unataka Uthibitisho wa Kisayansi Ndugu yangu kwenye Mambo haya. Sayansi Kwako ndio Ukweli?

Unataka Sayansi Kwenye Uwepo wa Viumbe wa Mungu.? Hata wewe kuna Mambo unayasimamia Hujawahi thibitisha kwa Hiyo sayansi yako umebaki kuamini tu bila Kuthibitisha kwa Sayansi,Akiwemo huyo Mungu unayemwamini kwamba Amekaa Kwenye Kiti cha Enzi wakati Hicho kiti hujawahi kukionaga

Ok tusiende mbali chukua Mfano huu

1. Najua wewe si mgeni kwwnye Mambo haya..Ushakutana na Mtu aliyepandwa na Pepo ? Au Jini Na Likaanza Kuongea Kupitia Mwili wa Liliyemuingia? Kama Ushakutana Na Jambo hilo hebu niambie Sayansi gani Hapo Inakuthibitishia Jambo Hilo?

Sasa Hilo Linaloongea Ndio Jini au Malaika Lililopo ndani ya Mwili wa Kiumbe Binadamu.

Wanaonekana kwa Macho Ila huwezi watambua kama Huna Elimu ya Viumbe hao na jinsi ya Kuwatambua,

Tunaishi nao Na Wanapenda Sana Kutembea Usiku na uishi Pia nasi na Huweza Kujivika Miili ya Binadamu.. paka...N.k kulingana na Wao watakavyo.

Pia Kuna Binadamu wanawafuga Hawa Viumbe na Pia Kuna Binadamu wanafuga Malaika Pia. Na Kuna Binadamu wanafugwa na Hao Viumbe

Majini Huishi kwenye Sayari Wanayochagua Kwa Uvamizi. Na Hupenda Kuishi kwenye Maficho kama Maji ya Bahari

Tatizo Mnasoma Biblia Bila Kujua Mnayoyasimamia. Hao Malaika ndio hao hao Waovu na Wazinzi walioshuka Wakasababisha Dhambi Duniani. Leo hii Mungu eti ndio anawatumia

Yaani Mungu na Nguvu zote alizonazo Hawezi fanya kazi na Viumbe wake na Wakamsaliti baadae. Mungu hafanyi kazi na Viumbe wake Aliwaumba hata Siku Moja. Hao walioandikwa wanatumwa na Mungu. Si kwamba Wanatumwa na Mungu bali wanatumwa na Malaika Mkuu wao(Mola wao) si Mungu
Unajichanganya sana mkuu.
 
Huo utaratibu ukapotelea wapi maana huwa nasikia kuhusu wazee wetu kufanya matambiko kuomba mizimu na maombi yao yalikuwa yanakubaliwa ila wazungu na waarabu walipokuja na dini zao ndio tukaacha hayo matambiko na kuomba mizimu.
Mtekwa Ataongea ya Aliyemtaka. Wqzee wetu walitekwa na Kupigwa na Kulazimishwa Kuabudu Miungu waliyoletewa.

Ni nani aliyepinga Dini zao akaachwa Salama ? Walieneza Dini kwa Upanga

Mmepotoshwa Sana Na Wazungu na Waarabu walipo-wakuta Wazee wetu wanasali kwa ya ya Mungu wao wakasema Wanasali kwa Mizimu na Imani Zetu ni Za Kishenzi na Kishirikina

Sasa Hebu tafsiri neno Ushirikina ndugu yangu. Ushirikina ni Kushirikiana Kufanya Jambo Fulani , Sasa Wao walisema Imani zetu ni za Kishirikina . Halafu Wao Wakakuambia Mungu Anatuma Malaika ,Mungu ana Manabii. Sasa Hapo ushirikina Mkubwa ni Upi. Maana Mungu yeye anashirikiana na Malaika zake na Manabii wake
 
Sasa mfano kama waislamu wao wana Qur'an na Sunnah ndio miongozo yao, je wewe umezingatia hayo wakati unajenga hoja zao?
Ushayajua Ya Quran yaliletwa na Kiumbe Gani?

Quran imeletwa na Kiumbe Jibril. Wao wamasema ni Malaika.. Sasa Jiulize kwa Akili Ndugu yangu Kitabu Kilicholetwa na Malaika Kinakuwaje Kitabu Cha Mungu

Hicho ni Kitabu cha Viumbe Malaika Si Kitabu cha Mungu mana Mungu Hafanyi kazi na Viumbe wake hata Siku Moja
 
Mtekwa Ataongea ya Aliyemtaka. Wqzee wetu walitekwa na Kupigwa na Kulazimishwa Kuabudu Miungu waliyoletewa.

Ni nani aliyepinga Dini zao akaachwa Salama ? Walieneza Dini kwa Upanga

Mmepotoshwa Sana Na Wazungu na Waarabu walipo-wakuta Wazee wetu wanasali kwa ya ya Mungu wao wakasema Wanasali kwa Mizimu na Imani Zetu ni Za Kishenzi na Kishirikina

Sasa Hebu tafsiri neno Ushirikina ndugu yangu. Ushirikina ni Kushirikiana Kufanya Jambo Fulani , Sasa Wao walisema Imani zetu ni za Kishirikina . Halafu Wao Wakakuambia Mungu Anatuma Malaika ,Mungu ana Manabii. Sasa Hapo ushirikina Mkubwa ni Upi. Maana Mungu yeye anashirikiana na Malaika zake na Manabii wake
Mkuu matambiko yapo hadi leo baadhi ya watu huyafanya na watu huomba mizimu ni vitu ambavyo vipo, na ndio mara zote tunaambiana kuwa tumeacha hayo mambo ambayo ni asili yetu na kufuata dini za kuja.

Sasa huo utaratibu mmoja wa kumuabudu Mungu mmoja mbona hakuna hata chembe za mabaki yake?

Sisemi haukuwepo ila nasema kwamba upo ushahidi kwamba wazee wetu walikuwa wakiomba mizimu maana bado hizo vitu zipo.
 
Ushayajua Ya Quran yaliletwa na Kiumbe Gani?

Quran imeletwa na Kiumbe Jibril. Wao wamasema ni Malaika.. Sasa Jiulize kwa Akili Ndugu yangu Kitabu Kilicholetwa na Malaika Kinakuwaje Kitabu Cha Mungu

Hicho ni Kitabu cha Viumbe Malaika Si Kitabu cha Mungu mana Mungu Hafanyi kazi na Viumbe wake hata Siku Moja
Unaamini katika kumuomba Mungu na Mungu kujibu maombi?
 
Surat Al-'imran
3_19.gif

19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19

3_20.gif

20. Na pindi wakikuhoji, basi sema: Mimi nimeusalimisha uso wangu kumwelekea Mwenyezi Mungu, na kadhaalika walio nifuata. Na waambie walio pewa Kitabu na wasio na kisomo: Je! Mmesilimu? Wakisilimu basi wameongoka. Na wakikengeuka basi juu yako ni kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake. 20

3_21.gif

21. Hakika wanao zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakawauwa Manabii pasipo haki, na wakawauwa watu waamrishao Haki wabashirie adhabu kali. 21

3_22.gif

22. Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika duniani na Akhera. Nao hawatapata wa kuwanusuru. 22

3_23.gif

23. Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu? Wanaitwa kukiendea Kitabu cha Mwenyezi Mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa. 23

3_24.gif

24. Hayo ni kwa sababu walisema: Hautatugusa Moto isipo kuwa kwa siku chache tu. Na yakawadanganya katika dini yao yale ambayo wenyewe waliyo kuwa wakiyazua. 24
 
[
Unataka Uthibitisho wa Kisayansi Ndugu yangu kwenye Mambo haya. Sayansi Kwako ndio Ukweli?

Unataka Sayansi Kwenye Uwepo wa Viumbe wa Mungu.? Hata wewe kuna Mambo unayasimamia Hujawahi thibitisha kwa Hiyo sayansi yako umebaki kuamini tu bila Kuthibitisha kwa Sayansi,Akiwemo huyo Mungu unayemwamini kwamba Amekaa Kwenye Kiti cha Enzi wakati Hicho kiti hujawahi kukionaga

Ok tusiende mbali chukua Mfano huu

1. Najua wewe si mgeni kwwnye Mambo haya..Ushakutana na Mtu aliyepandwa na Pepo ? Au Jini Na Likaanza Kuongea Kupitia Mwili wa Liliyemuingia? Kama Ushakutana Na Jambo hilo hebu niambie Sayansi gani Hapo Inakuthibitishia Jambo Hilo?

Sasa Hilo Linaloongea Ndio Jini au Malaika Lililopo ndani ya Mwili wa Kiumbe Binadamu.

Wanaonekana kwa Macho Ila huwezi watambua kama Huna Elimu ya Viumbe hao na jinsi ya Kuwatambua,

Tunaishi nao Na Wanapenda Sana Kutembea Usiku na uishi Pia nasi na Huweza Kujivika Miili ya Binadamu.. paka...N.k kulingana na Wao watakavyo.

Pia Kuna Binadamu wanawafuga Hawa Viumbe na Pia Kuna Binadamu wanafuga Malaika Pia. Na Kuna Binadamu wanafugwa na Hao Viumbe

Majini Huishi kwenye Sayari Wanayochagua Kwa Uvamizi. Na Hupenda Kuishi kwenye Maficho kama Maji ya Bahari

Tatizo Mnasoma Biblia Bila Kujua Mnayoyasimamia. Hao Malaika ndio hao hao Waovu na Wazinzi walioshuka Wakasababisha Dhambi Duniani. Leo hii Mungu eti ndio anawatumia

Yaani Mungu na Nguvu zote alizonazo Hawezi fanya kazi na Viumbe wake na Wakamsaliti baadae. Mungu hafanyi kazi na Viumbe wake Aliwaumba hata Siku Moja. Hao walioandikwa wanatumwa na Mungu. Si kwamba Wanatumwa na Mungu bali wanatumwa na Malaika Mkuu wao(Mola wao) si Mungu
Lengo la swali langu ni kwa kulinga na jibu lako hapo. Sasa tukubaliane Malaika na majini siyo binadamu lakini ni Roho tupu na wanaweza tumia mwili wa binadamu kufanya yao. Ukweri siyo Malaika wote ni waovu na Wala siyo wote ni wema. Kwa hiyo Kama Malaika ni Roho je kwa Nini ubishe uwepo wa Mungu ambaye pia ni Roho?
 
Mleta mada anataka tuzikusanye ATR zote tukompile mambo common na tuje na dini yetu moja ya kiafrika.

Tuwe na Kitabu chetu pia cha kutuongoza.

Unaweza fungua ; wanyakyusa 2 Mstari wa tatu.

Au wamasai 4 mstari wa sita .

Namna hiyo.
 
Ni kweli mbu wapo huku kwetu na sio Ulaya lakini walioweza kutafiti na kutengeneza dawa nzuri na kinga za malaria kama vile vyandarua ni wazungu. Wakati mwingine tunahitaji kuukubali ukweli tu kwamba tupo nyuma kielimu na kiteknolojia. Mbona unatumia simu yako kutoka ulaya, umehoji hilo?
Africans are born with mental problems
 
Mtoa mada ungeanza kutufundisha huyo Mungu wa afrika yupoje na tutafaidika vipi nae kabla ujalaumu
 
Ok. Vizuri, Naomba udhibitisho wa kisayansi uwepo wa majini na Malaika katika ulimwengu wa kiharisia. 1. Sayari wanayoishi 2. Kuonekana kwao kwa macho ya kibinadamu ili kuthibitisha Kuwa ni viumbe Kama binadamu.

Kwa mjibu wa biblia Malaika ni

Waebrania 1:7,14
[7]Na kwa habari za malaika asema,
Afanyaye malaika wake kuwa pepo,
Na watumishi wake kuwa miali ya moto.
[14]Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu?
Hapo ni SAwa na kuomba kuthibitisha uwepo wa mawimbi ya sauti ya radio.
 
Back
Top Bottom