Waafrika Jitafakarini Katika Hiyo Miungu Mnayoiabudu

Kwenye maelezo yako umesema Mungu ndiye aliyemtuma Yesu kristo, na yesu anamitume yeke ambao huubili injili, na nyinyi katika kuomba huwa mnatumia jina la Yesu kristo.

Naomba nikuulize

Kunatofauti gani kati ya Mungu na Yesu?

Hakuna tofauti ni nafasi tu za utendaji.
Mtu mmoja anao uwezo wa kujigawa akafanya Kazi nyingi mfano mfano nne .John ni Mwalimu, ni dereva, ni mkulima ni mfanyabiashara hapa hakumaanishi John wapo wanne. John ni jina na anafanya Kazi zote au ana taaluma nne. Hapa ndo inakuja hoja ya Utatu Mtakatifu.
 
OK,mimi mungu wangu ni ALLAH

MWENYEZIMUNGU mmoja ambae hakuzaa wala hakuzaliwa na hafananishwi na chochote

Na wewe nitajie mungu wako anaitwa nani?

Mungu wangu si ALLAH . Mungu wangu Ni Mungu hivyo hivyo hana Jina Jingine .. Sifa alizonazo ni hizo hizo ulizozitaja Wewe hapo Mwishoni

Neno MUNGU linatokana na Kibantu. MUNU HUNGU maana Yake mwenye Vyote au MUNGU kwa Kiswahili cha Leo.
 
Nilidhani tunakubaliana kwamba Mungu ni Mungu tu sasa unaleta hoja ya Mungu mwenye vyote na Mungu mtaka vitu.
Tumeshakubaliana Ndio Mungu ni Mungu. Tatizo hawa wanaoabudu sasa Hivi wanaabudu Miungu Inayotaka Vitu

Mwenye Vyote ni Maana Ya Neno MUNGU Ambalo limetoolewa kwenye Kibantu MUNU HUNGU
 
Hakuna tofauti ni nafasi tu za utendaji.
Mtu mmoja anao uwezo wa kujigawa akafanya Kazi nyingi mfano mfano nne .John ni Mwalimu, ni dereva, ni mkulima ni mfanyabiashara hapa hakumaanishi John wapo wanne. John ni jina na anafanya Kazi zote au ana taaluma nne. Hapa ndo inakuja hoja ya Utatu Mtakatifu.
Anhaa nimekupata.

Maana uliposema Mungu amemtuma Yesu basi ukawa umenichanganya, Kumbe ni Yesu ndio huyohuyo Mungu ila alikuwa anajituma mwenyewe.

Ok, shukran kwa ufafanuzi.
 
Anhaa nimekupata.

Maana uliposema Mungu amemtuma Yesu basi ukawa umenichanganya, Kumbe ni Yesu ndio huyohuyo Mungu ila alikuwa anajituma mwenyewe.

Ok, shukran kwa ufafanuzi.

1. Je! Alipokufa Dunia Ilibaki Bila Mungu kwa Siku 3

2. Kama Yesu ni Mungu yule yule. Alijitoa Sadaka Ili Iweje!?

3. Kama Yesu alipokufa kwa Sababu ya Dhambi. Hizo Dhambi kwanini Hazijaisha mpka Leo?
 
Back
Top Bottom